huwa

Albu Huwa (also: Albu Hawa, Qaryat Albu Hawa) is a village in Iraq, which is located in the Al Anbar Governorate south of the city of Fallujah and north of Amiriyah Fallujah, in a loop of the river Euphrates.In 2016, during the Siege of Fallujah, there was intense fighting in the area between the Iraqi army and ISIL militants. There were reports that 2,000 families were trapped in two villages, Albu Huwa and Hasai, and used as human shields.

View More On Wikipedia.org
  1. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya kesi hupelekwa Mahakama za chini ambazo hazina mamlaka ya kusikiliza kesi za aina hiyo?

    Salaam wakuu, Mara nyingi tumekuwa tukisikia kuwa watuhumiwa fulani wamesomewa Mashtaka lakini hawakupaswa kujibu CHOCHOTE kwa kuwa Mahakama waliyopelekwa haina uwezo/mamlaka ya kusikiliza kesi husika. Kwa mifano hai wengi tunatambua kuwa Mahakama Kuu ndio imepewa nguvu, uwezo/mamlaka ya...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Nikikumbuka enzi zile za nchi nzima kukutana uwanjani kupokea na kushangilia ndege mpya, huwa nacheka sana

    Nchi hii tumetoka mbali sana na it is as if tulikuwa washamba nchi nzima mpaka Kenya walikuwa wanatucheka. Nchi imetoka mbali hii. Ingekuwa hata mama kila anachonunua au kujenga anapiga promo zile hii nchi ingekuwa ya masela.
  3. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Kwanini Toyota IST huwa zinawahi sana kuchoka

    mKWA NINI TOYOTA IST HUWA ZINA CHOKA MAPEMA Toyota IST zina injin ambayo ina uvumilivu kwakipindi kifupi 1) INJIN KUA NA MLIO WA TOFAUT Hapa tatizo ni kutumia oil ambayo sio sahihi hivyo injin hizi zitakuvumilia kwa kipind kifupi baada ya hapo Utashangaa gari ni IST ila ina mngurumo wa...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Fixed matches zipo ila huwa ni siri ya circle ya watu wachche huzikuti kiholela, tuache kudanganyana kuna fixed matches za elfu na laki, ni utapeli,

    kubeti kumeingiliwa na matapeli wengi sana wanaojinadi kutoa fixed match Fixed matches ni mechi ambayo imepangwa timu flani ipate matokeo flani, njia rahisi huwa ni kufungwa au kutoa sare. mfano Simba anajifungisha kwa Mtibwa, wachezaji kadhaa na watu ndani ya timu na wachache sana wa nje...
  5. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Namba ipi ya jezi huwa unaipenda nje ya namba 1 mpaka namba 11?

    Mimi huwa napenda namba 39 na aliyefanya niikubali hii namba ni Toni Kroos wakati akiwa Bayern Munich. Wewe huwa unapenda ipi kubwa nje ya namba 1 mpaka 11?
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Interview ya ufadhili wa masomo inayotolewa na BoT ikoje? Huwa inakuwa na maswali ya aina gani?

    Je, kuna mtu humu ndani alishawahi kufanyaga interview ya ufadhili wa masomo inayotolewa na Bank of Tanzania (BoT)? Kama umeshawai kufanya ni maswali yapi huwa wanapendelea kuuliza? Kwa anayejua anisaidie.
  7. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Hivi mwenyekiti wa CCM huwa anajua anachokiongea?

    Kwakua ni swali naweka kwa kifupi, CCM imechukua wanachama wengi wa Chadema na kuwapa uongozi wa juu serikalini, cha ajabu mwenyekiti huyo anayewapokea na kuwateua huku akiwaacha wananaccm wa siku nyingi anadai kuwa Chadema bado wachanga! Sasa hapa nani mchanga kati ya mwenyeji(CCM) na mgeni...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Noti za tsh 1000 na 2000 zibadlishwe material ya utengenezaji huwa zinachoka sana katika mzunguko

    Salama humu. Sijui ni lini hizi noti zilianza kutengenezwa na kuanza kutumika, naona ni muda mrefu sana umepita. Na ni muda sasa muafaka wa kupata noti mpya hasa hizi za tsh 1000 na 2000. Unajua hela ya noti kwa nchi ni kama nembo ya Taifa. Zinawakilisha nchi na wageni mbalimbali wanazitumia...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Wanaume wengi tukishaachana na Wapenzi wetu na tukikutana nao wakiwa na Masela wengine huwa tunaumia Mioyo tofauti na Wao wakiachana nasi?

    Wanaume wenzangu JF katika hili wala tusibishe ukweli ni kwamba huwa tunaumia na hata kutamani Ardhi ipasuke!!!
  10. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini divai kwa Catholics huwa wanakunywa mapadri peke yao?

    Makanisa mengine kama Lutheran na Anglican divai Huwa watu wanashiriki lkn Kwa catholic Huwa wanakunywa wenyewe tena wanazinywea kitimito kabisa kwenye makazi yao
  11. L

    JamiiForums Tanzania Huwa inachukua muda gani kumpata demu

    Kwema wakuu, Vipi huwa inawachukua siku ngapi au miezi mingapi mpaka unamla demu unayemfukuzia
  12. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Hivi nyie kataa ndoa huwa mnamaanisha kutokuishi kabisa na mwanamke au mnamaanisha kutofunga ndoa kisheria (harusi )

    Aisee unajua tunaweza kuwa tunabishana kuhusu kataa ndoa sijui kubali ndoa lakini hatujui maana yake vizuri. Ndo maana Nina swali je mnachomaanisha ni hamtaki kabisa kuishi na mwanamke pika pakua au hamtaki tu kufunga ndoa kisheria. Kama ni kutoingia kisheria hata mimi nitawaunga mkono ila je...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Anthony Lusekelo adai Uwezekano wa matajiri kuingia mbinguni ni 70% na masikini kuikosa mbingu ni 99.9%,

    Wadau hamjamboni nyote? Siyo maneno yangu Bali nukuu kutoka Kwa Mtume Anthony Lusekelo "Uwezekano wa matajiri kuingia mbinguni ni 70% na uwezekano wa masikini kuikosa mbingu ni 99.9%, Mungu huwa hatembei na malofa(masikini) na amesema asiwaone malofa kanisani. Mungu amekataa watu wasije...
  14. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Hivi Mo dewji anamwaga mabilioni ya Usajili Kigwangala huwa anakuwa wapi?

    Hakika pesa inamwagika msimu huu pale msimbazi Kigwangala yuko wapi atoe pongezi ?
  15. W

    JamiiForums Tanzania Hoja za African Supremacy waafrika kujisifia ni watu bora zaidi huwa zinanichekesha, ukweli ni kwamba tunashika mkia mambo mengi yena kwa kujitakia

    Tuna uwezo mkubwa kimiujiza, wajerumani wachache waliwaua babu zetu wengi sana waliochanjwa na kinjikitilengwale dawa ya kuzuia risasi. tuna tiba asili zenye nguvu - magonjwa, magonjwa kama malaria, kipindu pindu, ebola inamaliza waafrika wengi mno. Tunapendana, achilia mbali waafrika kuwa...
  16. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Njia gani nzuri ili Tajiri ayachukulie kwa uzito mambo unayomshauri pengine huwa anayasahau kwa sababu ya ana mambo mengi

    Labda nielezee Kwa mfano ili nieleweke. Kwa mfano unafanya kazi katika kiwanda au kampuni na wewe ni kibarua tu means huonani sana na management ya juu na kila linaondelea juu hujui wala huhusiki tu kwenye mipango yoyote. Hujui uhusiano wao Kwa wao hujui wanayoyasema. Sasa nyie vibarua kuna...
  17. Bunchari

    JamiiForums Tanzania Kwanini mahotelini huduma ya maji ya kunywa huwa Bure na kwa unyenyekevu mkubwa Toka kwa mmiliki wa hoteli

    Habari wakuu I real hope you are doing good Nimekua nikijiuliza kwanini mtu anapoenda mgahawani kuomba huduma ya maji ya kunywa pasipo kuitaji hudumu upata mapokezi mazuri hita pale ambapo mmiliki wa mgahawa anapokua na mauzo yasiyoridhisha Hii imekaaje ndugu zangu?
  18. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Kila Jumamosi ya kuamkia Jumapili huwa silali kwa sababu ya makelele ya makanisa

    Bwana ni mwema! Sina shida na kumkera mtu yeyote Lakini naomba tuliangalie hili swala Kwa undani wake. Mimi nimezaliwa katika familia ya kikatoriki kubatizwa, komunyo na hata sacrament ya ndoa pia nimepata Rc. Kwa miaka ya Hivi karibuni nimekuwa sihudhurii ibada. Kwa sababu zangu binafsi...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Kwa nini serikali huwa haina bank yake ya biashara? Kuna logic gani serikali kutokuwa na bank hiyo ili kupungunza riba?

    The government is always there for welfare maximization but not profit maximization. Sasa kwa nini serikali huwa haifikiri kuwa na bank yake ya biashara ili wananchi wawese kuinjoy welfare hiyo? Kuna sababu gani za kiuchumi zinazokataza
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Unafiki na Upuuzi kama huu ndiyo huwa unanifanya niwe na Hasira na Awamu hii ya Mama yenu

    THE Tanzania Revenue Authority (TRA) has been instructed to suspend all operations involving arresting traders, as well as suspending inspections on electronic fiscal devices receipts for at least one month. Thobias Makoba, the chief government spokesman, late yesterday that this was the first...
Back
Top Bottom