huwa

Albu Huwa (also: Albu Hawa, Qaryat Albu Hawa) is a village in Iraq, which is located in the Al Anbar Governorate south of the city of Fallujah and north of Amiriyah Fallujah, in a loop of the river Euphrates.In 2016, during the Siege of Fallujah, there was intense fighting in the area between the Iraqi army and ISIL militants. There were reports that 2,000 families were trapped in two villages, Albu Huwa and Hasai, and used as human shields.

View More On Wikipedia.org
  1. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ila Ujenzi wa bongo huwa ni pure comedy! Tunaanzaga kwanza na fundi MAIKO alafu akizungua ndio tuna mtafuta fundi MICHAEL 🤣

    Ujenzi wetu upo sana katika misingi ya kufinya bajeti. Siwezi kulaumu yoyote kwa maana hali ni ngumu kiukweli. Ila hali hii isitengeneze kama jadi fulani hivi sasa maana tunaishia kugharamika hata zaidi ya pesa tungeempa fundi aliehitaji pesa ndefu. (MICHAEL)
  2. Knock life

    JamiiForums Tanzania Ni kweli watu wafupi huwa ni wabishi ?

    Ni kweli watu wafupi huwa ni wabishi ?
  3. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Kuna watu kabla hawaja Log in JF huwa wanafanya hili jambo. Utakuja kuwasoma unashangaa

    Akiona ana data anawasha. Kisha anaenda kwenye address au kwenye app ya explore au chrome. Kabla haja sign in anatoa ubongo anaweka pembeni kwenye kibakuli kichafu au kopo la chooni. Ndo anakuja kuanzisha thread au kuchangia. Kuna mtu anaweza andika jambo ukasema huyu inawezekana kichwani...
  4. WiNice

    JamiiForums Tanzania Jamani hivi wanawake nao huwa wanasahau vitu vidogo vidogo kama sisi wanaume?

    JAMANI HIVI WANAWAKE NAO HUWA WANASAHAU VITU VIDOGO VIDOGO KAMA SISI WANAUME? Mimi kuna muda nasahau kupiga maswaki,nasahau kufunga zipu ya suruali au kifungo cha shati,nasahau kabisa kuchana nywele wakati wa mtoko.... Wewe huwa unajisahau wapi mdau? Au ulishawahi kuona mtu kajisahau kitu gani...
  5. Tman900

    JamiiForums Tanzania Huwa sipendi kumpa mtu pesa

    Leo ndo ninemegundua Tatizo langu kubwa ni kutopenda kumpa mtu pesa. Nimeombwa pesa ya Kununulia umeme nikamwambia Tuma miter namba, kilichofuata mtu kaka kimya hajibu sms Wala simu Hapokei. Baada muda akatuma sms "Yaani wewe ni Mgumu sana kumpa mtu pesa, mtu akikuambia anashida unamuuliza...
  6. sangaone98

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu jamaa huwa anatumia muda gani kuandika mistari yake sio kwa ufikirishi huu

    Heshima yenu wakuu, niende direct kwenye mada. Alizongwa na zimwi aliskika jirani akitoa hoja kwa kijiji, sababu ya kukosa elimu ya maambukizi walihisi kulogwa ndio tafsiri ya gonjwa la ukimwi. Huo ni ugonjwa jamani kama magonjwa mengine alisema mwalimu, Mwenyekiti alifoka na kumwambia kaa...
  7. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Hiki kisa changu cha mwaka 2004 huwa nikikumbuka huwa kinanifanya nicheke kwa sauti hata nikiwa peke yangu

    Shalom jukwaa! Nilipokuwa mwanfunzi nilikuwa nina tabia ya kutofika shuleni kwa sababu nilikuwa sipendi shule kuliko kitu chochote kwa kipindi kile lakini wazazi walikuwa wananilazimisha kwenda shule hata kwa fimbo wakati mwingine (nawashukuru sana kwa hilo). Kule kutokupenda shule kulinifanya...
  8. Nitaenda Misaa yaTatu

    JamiiForums Tanzania Napenda kuuliza Serikali Huwa inawapeleka wapi watu wanaokufa na kuzikukwa Kisha wanapatikana wakiwa hai?

    Mapendo Daima..... Hiki kitu Huwa najiuliza mara nyingi sana Kila akipatikana mtu wa aina hii serikali huwachukua na kwenda nao na Huwa sijui inawapeleka wapi na kamwe Huwa hawarudi maisha Yao yote. Kuna tukio lilitokea Gaita kijijini miaka kadhaa imepita nikiwa Moja ya mashuhuda wa tukio...
  9. tang'ana

    JamiiForums Tanzania Hivi shanga za wanawake kiunoni huwa zinaongeza nini wakati wa sex?

    Kuna mtu nilikua namshughulikia usiku wa leo,kavaa mashanga kiunoni..binafsi mimi hayajanivutia,nimeona kama ni uchafu tu. So maybe help me to understand, hiyo mishanga huwa inaongeza nini wakti wa kukulana?
  10. MABATI YA SUNBAK TANZANIA

    JamiiForums Tanzania Ni kweli watu wenye vichwa vidogo huwa hawana akili ?

    Ni kweli watu wenye vichwa vidogo huwa hawana akili ? Mfano wale ndugu zetu wa kale kanchi kadogo. Jaku boy n.k
  11. Youbettersleep

    JamiiForums Tanzania Mkilala usiku huwa mnasali?

    Hivi utaratibu wa kulala usiku umebadilika au ni kama miaka ya 1990-2009 maana siku hizi wadau wanazima moto tu shwaaah tukutane kwenye kahawa kumsema SAMIA. hebu niambie huwa unasali???
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kwa wanawake-Hivi huwa Mnafanyaje mkigombana na wapenzi wenu halafu upwiru umekushika

    Kwa wanawake ambao hawapendi kubadilisha wanaume hiyo hali ikikukuta unafanyaje?? Nimegombana na mpenzi wangu sijui wetu week ya pili sasa hatusemeshanii.. Mgomvi ni yeye,, nilimfumania kwenye simu.. toka siku hiyo sijamtafuta naye hajanitafuta.. na mimi siwezi kumtafuta maana hakuna kosa...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Nampenda Rais wangu mana huwa anaongea ukweli. Hatakagi kuongea fix ili kuwafurahisha watu kama mtangulizi wake.

    Samia is real an icon of this particular country and world at large. She speaks her mind truthfully with no lies to make people happy even if they are not happy During the magufuli's regime the government was run on fixes and proxies such that no one was allowed to query even though there...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Eti ni kweli uchawi huwa hauvuki bahari?

    Wataalam wa mambo ya jadi embu tusaidieni, kwa mfano inawezekana Mchawi wa Zanzibar kuja kuwanga bara na kinyume chake?
  15. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Huwa ukimuona huyu jamaa akisema kwenye column yake ya "MASWALI MAGUMU", tambueni lipo jambo linakuja..

    https://youtu.be/YdxCYOdO3Sg?si=4huBSJheX28CD2YC Huyu jamaa niligundua kuwa ni mtu wa mfumo wa serikali wakati wa uchaguzi wa uenyekiti wa CHADEMA taifa.. Sikutarajia kama angeweza ku - side na CCM chini ya ufuasi wa FAM na kupiga vita ukombozi na haki kupitia Tundu Lissu.. Hapa haina shaka...
  16. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Hivi watu Wanaonunua hizi sarafu za zamani huwa wanaenda kuzifanyia nini?

    Hizi pesa nimewahi kusikia zikitafutwa sana Leo nimekaa nikajiuliza je huwa hizi pesa wananaonunua kwa value ya juu huenda kuzifanyia nini?
  17. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini mabinti huwa hawakomi kwenda kufanya kazi uarabuni pamoja na mateso yote?

    Habari za ukatili dhidi ya wafanyakazi wa ndani ni jambo la kawaida sana huko uarabuni ila ajabu ni kwamba mabinti Waafrika huwaambii kitu kuhusu kwenda huko uarabuni kuteseka!
  18. Camilo Cienfuegos

    JamiiForums Tanzania Tuambie kwanini huwa unazima simu usiku?

    Habari machalii… Leo nazungumza na jamaa zangu mnaozima simu ikifika usiku. Kwanini unapenda kuzima simu ikifika usiku? Ikitokea dharura watu wakitaka kukujulisha usiku huo watakupataje? Haya tuambie kwanini unapendelea kuzima simu?
  19. R

    JamiiForums Tanzania Harufu Ina nafasi Sana kwenye mahusiano,ni vile huwa tunachukulia poa!

    Umewahi kujiuliza kwanini dume la ng'ombe Huwa linanusa!!?kwanini Kuna baadhi Huwa wananusa hata nguo za ndani hata kama ni chafu tu!!?hivi unajua Kuna baadhi yetu tuliwahi nusa harufu TU ikadinda kabla hujaona hata paja!?na Kuna baadhi yetu ililalala na hatukutaka kuendelea Tena kisa harufu...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Hivi Sunda International huwa wanalipa mishahara kweli?

    Wakuu Huu ni mwezi wa pili since march 2025 toka niajiriwe lakini watu ni masikini sio poa. Hii kampuni ina vituko sana. Wana revenue kubwa ila mpaka leo mshahara hatujalipwa
Back
Top Bottom