Albu Huwa (also: Albu Hawa, Qaryat Albu Hawa) is a village in Iraq, which is located in the Al Anbar Governorate south of the city of Fallujah and north of Amiriyah Fallujah, in a loop of the river Euphrates.In 2016, during the Siege of Fallujah, there was intense fighting in the area between the Iraqi army and ISIL militants. There were reports that 2,000 families were trapped in two villages, Albu Huwa and Hasai, and used as human shields.
Hi chit chat,
Mimi
Mtaani
1. Cheupe
2. Wa kishua
3. Mwanachuo
JF
1. Mwanaume
2. Kuna member miaka ileeee aliniPM kuniambia "kumbe wewe ni bigmind " akimaanisha mimi na hiyo ID ni mtu mmoja
Huwa wananishangaza kwasababu sio ya kweli lakini sikerekwi
Uzi tayari...
Mtu anaweza kufunga kula chakula kwa mwaka mmoja na akabaki hai na salama. Mr Angus Barbiel, mwanaume wa Scotland, alifunga kula chakula (akiwa nyumbani kwake) kwa siku 382 kuanzia tarehe 14 June 1965 hadi tarehe 30 June 1966. Katika muda huo alikuwa anatumia tu maji, chai, kahawa na vitamins...
Mko poa wajumbe wa jukwaa hili?
Nipo hapa kuwauliza wanaofahamu utaratibu wa mashirika ya umma huwa wanachukua muda gani kuita watu kazini baada ya kufanya oral interview?
Interview husika ilisimamiwa na taasisi husika na sio psrs.
Nb:ni mashirika ya umma sio psrs,so mtu asichanganye
Serikali zilizoko madarakani huwa hazikubali kuachia madaraka kiurahisi, kwa sababu nyingi sana, mojawapo ni kulinda yale mabaya waliyoyafanya wakiwa madarakani kama kuteka watu, kujeruhi, kuua, ufisadi, kuficha mali nje ya nchi na mengineyo mengi.
Sasa wanajua chama kitakachoingia madarakani...
Huwa nikiona Memo zao zinakuwa zipo smart sana . Ni.nadra sana kuona memo kama hizi hapa Tanzania.
Imagine hata memo kutoka ikulu huwaga nyepesi sana haitoi attention ya kusoma Tuna la kujifunza hapa.
Memo za namna hii nazionaga kwenye nchi zilizoendelea mfano cheki hii hapa kutoka Bukoba.
Katika kila awamu lazima watu hawa wawepo.
1. Ambao wanamtetea rais sababu ni dini yao/dhehebu lao
2. Sababu anatoka chama chao
3. Sababu wanatafuta nao teuzi
4. Sababu hawana kazi wanajikomba wapate pate makombo
5. Sababu ni kabila lao
6. Sababu hawana uelewa wa mambo
7. Sababu wanapata...
Kwenye taasisi nyingi iwe serikalini au private sector , asilimia kubwa ya watu wa uhasibu na masijala wanasumbua sana, muhasibu kukamilisha malipo hadi umbembeleze kama vile hiyo pesa inatoka mfukoni mwake , visingizio kibao… mara mfumo , mara mtandao hadi malipo yakamilike hata kwa shughuli za...
Hellow!
1. Ni mke wa mtu, unakwnda kwenye closet, Kisha unachagua nguo nusu uchi, inayobana, au mini skirt Kisha unakwenda ofisini ukijua mumeo siye atakayekuwako huko uendako kuuangalia mwonekano wako, Nini hasa huwa umelenga?
2. Ni kijana wa kiume, unazo suruali kabatini, unachagua kipens...
Hapa sizungumzii wale watu wenye kazi kubwa walau kuanzia million 2 kwenda juu, ambao najua hawa ni wachache mno
Hapa nazungumzia hizi kazi za kati kama manesi, polisi, walimu, bank teller nk, ambazo hizi ndo kazi za watu wengi
Yaani unakaa mwezi mzima unangoja 500k na kila siku upo kazini na...
Muvi hata isifiwe iwe kali kivipi nikishaona star ni mwanamke anaetembezea kipigo wanaume huwa sina time nayo kabisa.
Kiuhalisia mwanamke mtu mzima mwenye miaka 28 anaweza kupigwa vizuri kabisa na mvulana wa form 2 mwenye miaka 15
To the point.
Japo tupo busy Sana na NRNE Ila ni muhim tungefikiri kuhusu Mambo flan ambayo hutukwamisha katika mabadiriko ikiwa marekebisho yatafanyika na uchaguzi utafanyika kwa uwepo wa CHADEMA.
Hapo nyuma nilijaribu kufanya research ndogo kwa vijana wanaoshinda vijiwe tofaut tofaut pale...
Wanaukumbi.
Katoliki tunawajua Rais asipokuwa Mkatoliki huwa mnabwabwaja sana, kuna raia aliyeminya demokrasia kama Magufuli, alipiga marufuku mikutano ya Siasa, uchaguzi wote alisimamia yeye hata matamko mbona hatukayaona, watu walitekwa wangine walipotea kabisa acheni unafiki.
Mama Samia ni...
Kwa Chama kinachojitambua na kinachoamin katika UTU, Mwijaku alitakiwa kupigwa Marufuki kushiriki Shughuli zozote za kichama Kwa jina la chama.
Ila Kwa kua ni CCM , ukiangalia CCM Kwa akili ya chekechea tu bila hata kuanza darasa la kwanza , utagundua ni chama ambacho asilimia Kubwa ya Watu...
Ujenzi wa choo kizuri na salama kwa matumizi sio jambo linalozingatiwa sana hasa kwenye nyumba za kupanga hasa hizi za bei za kawaida (10K-150K). Unakuta nyumba nzuri na mazingira n mazuri ila chooni utadhani kulisahaulika wakafosi kujenga ili choo kiwepo.
Vyoo vingi ni vidogo sana, na namna...
Kwa uzoefu wangu Hawa mabinti kuanzia umri wa balehe Hadi miaka25 au zaidi kidogo Huwa huwaambi kitu wakakusikia.
Haijarishi wewe ni mzazi wake au kaka yake vyovyote vile hata kama wewe ni kiongozi wa Dini au Dr huwezi kumpa ushauri akakusikiliza na then akaelewa.
Unapomshauri muda huo...
Utakasikia:
"Masela nina koneksheni ya vidio ikionesha mababu wa Simba wakiwa na mbuzi ndani ya basi sema niliifuta bahati mbaya"
"Dah mechi ya Arsenal juzi imenikosesha mkeka wa milioni 20"
"Niliwahi kuishi Dodoma, nilikuwga nawaitishia wabunge wale watoto wazuri wa udom"
😁
Hii nayo iwekwe kwenye maajabu ya wanawake.Hawa viumbe hawasomeki kabisa....
Wanawake bana likitokoea tukio hasa ajari wanakuwa wa kwanza kufika pale na huwakuti wanatoa msaada bali vilio tu utasikia Oooooh mungu wangu jamani hadi mkono umekatika jamaniiii jamaniiiii na wengine wakilia kwa...
Wanaume wengi wanapokuwa na “side chick” huvaa full romantic mode — kumuwekea mto, kwenda “down”, kuhakikisha yupo comfortable… na wengine hadi wanacuddle baada ya tendo!
Lakini huyu si wake halali, wala hamchukulii serious.
Swali ni moja:
Je, mwanaume akiwa na side chick, huwa anahisi kitu?
Au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.