huwa

Albu Huwa (also: Albu Hawa, Qaryat Albu Hawa) is a village in Iraq, which is located in the Al Anbar Governorate south of the city of Fallujah and north of Amiriyah Fallujah, in a loop of the river Euphrates.In 2016, during the Siege of Fallujah, there was intense fighting in the area between the Iraqi army and ISIL militants. There were reports that 2,000 families were trapped in two villages, Albu Huwa and Hasai, and used as human shields.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Huwa unafanya vitu gani baada ya kutoka kazini ili kuuweka mwili sawa kwa siku nyingine?

    Huwa unafanya vitu gani baada ya kutoka kazini ili kuuweka mwili sawa kwa ajili ya siku nyingine au ukitoka kazini unaingia kazini tena huna muda wa kufanya vitu vingine kabisa Mimi huwa napumzika kidogo hata kama kuna shughuli nyingine ya kufanya siingii kuifanya moja kwa moja hasa zile nzito...
  2. Yoda

    Kwa nini waumini wa dini huwa wanafanya dua, sala au maombi?

    Maombi, Dua na sala vina matokeo yoyote au vinabadilisha chochote katika maisha ya binadamu muamini mungu? Kwa nini binadamu wasiache tu mapenzi/mipango ya mungu au kudra zake kutimia tu kama alivyopanga kwa sababu tunaambiwa kila jambo alishalipanga?
  3. Waufukweni

    Huwa mnatandikaje Kitanda Wakuu? Msinijibu vibaya naumwa!

    Wakuu, mimi sijui kabisa kutandika kitanda 😅 Huwa mnatandikaje? Naomba mnisaidie hatua za kufuata, msinijibu vibaya maana naumwa.
  4. Yoda

    Hivi wanawake huwa hawaoni kero kuvaa mavazi yanayowatesa wenyewe?

    Unakuta mtu amevaa sketi fupi mwenyewe halafu anaanza kuivuta vuta chini akiwa anakaa au anatembea! Au gauni linapeperuka anahangaika kulirudisha. Wengine unukuta kavaa nguo/juba/dera kubwa mno la kupwa limepitiliza mpaka linaburuta chini halafu anaanza kushikilia tena kwa kuning'iniza mkononi...
  5. M

    Mchawi wa kwanza wa matatizo ya gari lako ni wewe mwenyewe, ni kitu gani huwa unakitatua mwenyewe au kumpa fundi maelekezo asilete ujuaji

    Kwenye oili ya usukani huwa nipo strict sana kuiweka mwenyewe, na nikipeleka kwa fundi huwa nampa maelekezo asiweke oili ya gearbox kama walivyozoea. Air filter – hii huwa naibadilisha mwenyewe au nikiwa kwa fundi namsisitiza aweke original, si zile za bei rahisi zinazoziba haraka. Engine oil...
  6. Yoda

    Kuna kazi wanaozifanya sijawahi kuelewa huwa wanaishi vipi

    Wamachinga watembezi bidhaa barabarani, bar n.k. Wapiga debe, Wauza ice cream, Wabeba mizigo(makuli), Wachuuzi stendi, Waokota makopo(sijui hata kama ni kazi) Sijawahi kuelewa mtu anayefanya hizi kazi anawezaje kukidhi mahitaji yake ya chakula, mavazi, makazi na kuhudumia familia bila kukata...
  7. Fundi mahiri wa Ujenzi

    Ndege zinazostaafishwa huwa zinapelekwa wapi?

    Jambo la kawaida kwa mataifa tajiri kama USA na URUSI kusikia kauli hii" NDEGE VITA AINA HII ILISTAFISHWA" Je ndege za aina hii zinauzwa chuma chakavu au huwa wanazipeleka wapi? Wataalam wa mambo haya naomba nitoeni ushamba
  8. cocastic

    Kwanini hii Sheria ya shule huwa haifanyiwi kazi au haitimizwi?

    Wizara ya Elimu iliweka miongozo na sheria ktk shule zote nchini, Km bango linavyo someka hapo. Hii sheria niliyoweka vidoti, mbona sijawahi ona ikifanyiwa kazi, hata pale inapoonekana wazi na uthibitisho usio na shaka, hasa hiyo Ushoga na Usagaji. Mara nyingi suala linamalizwa kimya kimya...
  9. M

    Uraibu wa Internet: Kukosa access ya internet huwa kunaathiri vipi siku yako ?

    Leo hii watu wengi hutumia muda mwingi kwenye Internet iwe kwa smartphone, TV, games, Laptop, n.k. hasa kwa ajili ya burudani kama kuangalia videos za muziki, highlights za mpira, kucheza games, au kuperuzi mitandao ya kijamii. Je unapokosa internet, siku yako inaendelea kawaida au unahisi...
  10. figganigga

    Hivi Watu wasiokunywa pombe huwa wana akili timamu kweli?

    Salaam Wakuu, Nahisi baadhi ya watu wasiokunywa au kuonja pombe hawana akili timamu. Wana maongezi ya kindezi ndezi.. Hawana madili hata tone... Wanachojua ni Umalaya, Uasherati, Uzinzi, Umbeya, Wizi, na roho mbaya. Nahisi watu wasio kunywa pombe hawana akili timamu. Watu wanaobaka na...
  11. Chizi Maarifa

    Pamoja na kuwa huwa na enjoy lakini nataka kujua haina madhara kweli?

    Huyu demu huwa sometimes akija ofisini kwangu kwa kuwa nakuwa alone hasa jioni basi namchapa nao. Sasa msianze kusema oooooh.... Sijui mikosi sijui nini... Sitaki lecture hapa. Kwanza mikosi gani serikali haiamini ushirikina. Na huku ni nchi za watu. Hayo mambo imani zenu mbaki nazo huko huko...
  12. Equation x

    Uwepo wa majini huwa ni stori za kusadikika tu au uwa ni kweli?

    Wengi tunaamini waarabu ndio wanaongoza kwa majini; kama ni kweli majini yapo, wameshindwaje kuyatumia kwenye hizi vita vya miaka na miaka kati yao na Marekani?
  13. H

    Hivi baadhi ya wanaooa Single mothers wakiwa sio single fathers huwa Wana ujasiri wa aina gani?

    Habari wanajf Huwa ninashangaa kuona kijana asiye na mtoto hujitwisha mzigo mkubwa wa kiasi hicho. Mimi nimewahi kudate na single mother muda wa miaka Kama 2 hivi niliona rangi zote kwa kweli na sio single mother wa Kwanza na karibia wote wana changamoto zinazofanana. Mwaka wangu wa Kwanza...
  14. O

    Ukimwambia mzazi Sina, does it feel like betrayal ?

    Ukipata job Kenya, mshahara si yako peke yako. Before ujipange, kuna rent ya nyumbani, school fees ya siblings wako wadogo, hospital bill ya mzazi. Supporting family ni culture yetu na ni love. Lakini let’s be honest… How do you save or invest when every month kuna emergency? Is it...
  15. W

    Ni maeneo gani huwa yanatumika kuficha kamera za Siri?

    Vifaa vya umeme kama simu, vifaa vya alarm na smoke detectors, pamoja na Chaji ya simu (USB) kwa sababu camera hizo sa siri huwa zinahitaji kuwa na chaji mara kwa mara. Vioo hasa vinavyoruhusu mtu kuona upande wa pili ( Two way Mirror), mapambo kama vile fremu za picha, kitasa, saa za ukutani...
  16. Meja Jenerali Isamuhyo

    Kila dikteta huwa na mtu wake anaetekeleza mipango ya kimafia

    Hakuna jipya chini ya jua. Tangu enzi na enzi, kila dikteta lazma awe na mtu wa kutekeleza mipango ya kimafia au unyama. Mara nyingi watu hawa huwa hawawajibishwi na mamlaka zozote za kiserikali bali tu kwa wale wanaowatuma. Idd Amin alikuwa na Brigedia Jenerali Isaac Malyamungu. Huyu alikuwa...
  17. Joshua Mbezi

    Hivi hii misimamo na mahaba ya namna hii huwa mnayatoa wapi?

    Katika ukuaji wangu Kuna Imani na misimamo nikimuona nayo mtu nabaki namshangaa kabisa Kwa mfano; Hivi inawezekanaje kuwa chawa wa mtu kiasi Cha kushindwa kuona mabaya take?🤔 Hivi mtu unawezaje kujidhuru kwa ajiri ya mapenzi ?🤔 Hivi kipi kinacho Mfanya mtu anashindwa kumuamini Mungu au...
  18. Samia atosha tukutane2030

    Kwanini huwa napenda kuwaita wana CHADEMA na wapinzani watu wajinga?

    Prof. Suleiman au Solomon alisema hivi 👇👇👇 CHADEMA na wapinzani wana sifa ya kuitwa wajinga, tena wajinga sana. Maana kuna vitu ambavyo hata ukitumia akili ya Darasa la 3 tu unajua hiki kitu ni uongo kwa 100% lakini wao wanameza kama kilivyo. Jumapili njema.
  19. Morning Joy Motors

    JE WAJUA NI MUDA GANI UNAPASWA KUBADILI OIL FILTER YA GARI YAKO?

    Namna ya kufahamu Oil filter ya Gari yako Oil filters inapaswa kuwa replaced kila baada ya 6,000–8,000 km (ambapo kwa wengi ni 12 months), typically kila unapofanya oil change. Viashiria muhimu vinavyo ashiria oil filter yako kuwa mbovu : Pressure ndogo ya oil Engine kukosa nguvu...
  20. M

    Naipenda sana dini ya kiislam lakini kila nikifikiria aina hii ya ubaguzi kwa watu wa dini nyengine hadi kuwaua kama adhabu huwa nachoka kabisa

    Kwanza kabisa ubaguzi unauona wazi kabisa kwa majina wanaowaita wasio waislam, MAkafiri, kwa lafudhi ya neno linavyotamkwa unaweza kudhani ni jambazi sugu au muaaji mkubwa sana. Zaidi ya hapo kuna adhabu ya kuua wanaobadili dini, mtu hana nguvu ya kuamua abadili imani yake akithubutu adhabu...
Back
Top Bottom