Mama yetu mpendwa, najua upo humu jamvini kama ulivyosema hapo awali.
Mama, hali ya maisha huku mtaani ni mbaya sana.
Bidhaaa zote zimepanda mara dufu, sukari kilo moja kutoka 2600 hadi 4000 hivi sasa, mchele ule choka mbaya unaupata 2500 kwa kilo.
Maharage choka mbaya unayapata kwa 3600 kwa...