huruma

Huruma Estate is a residential estate located in the northeast of Nairobi, the capital of Kenya. It borders Kariobangi and Dandora to the east, Moi Air Base to the south, Mathare to the north and Eastleigh to the west.
In April 2016, during Kenya's rainy season, a building collapse in Huruma resulted in the deaths of 52 people. The building's owner, Samuel Karanja Kamau, was charged with manslaughter.

View More On Wikipedia.org
  1. ankol

    JamiiForums Tanzania Wamama kuweni na huruma na watoto wenu.

    Nakatiza pande za mtaa wa Kongo. Nyomi la hapa si la mchezo. Watu tunatembea kwa kusukumana. Jua la utosi. Afu katikati ya msongamano unamkuta mama akiwa na mtoto mgongoni. Daah unaishiwa pozi.
  2. musicarlito

    JamiiForums Tanzania Ijue Rukwa na Katavi mikoa inayotia huruma kimaendeleo mtaji wa CCM

    Wasalaam Awali eneo lote hili lilikuwa mkoa mmoja mpaka hapo Katavi ilipotangazwa mkoa enzi ya utawala wa Kikwete Pinda akiwa waziri mkuu Kama umekulia Kilimanjaro...Mbeya ...Arusha...Dodoma bila kutaja Dar na Mwanza...ukienda mikoa hii unaweza kufikiri imeanzishwa hivi karibuni Ukiambiwa...
  3. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Gambo afuturisha Arusha, asema anajivunia kuwa sehemu ya shughuli hiyo ya kujenga jamii iliyojaa huruma na upendo

    Wakuu naona Iftari zinaendelea kwa wingi Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Gambo, ameandaa Iftar maalum kwaajili ya watoto yatima na viongozi wa dini, iliyofanyika jana Machi 22, 2025. Hafla hiyo ya Iftar iliwaleta pamoja watoto yatima waishio katika maeneo mbalimbali ya jiji la Arusha...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Wanawake, oneeni huruma watoto wenu basi!!!!

    Hivi, japo najua si mimi pekee, badhi ya wanawake, msio na chembe ya huruma kwa watoto wenu, japo mnasahau kuwa ipo siku mnacholingia hakitakuwa na thamani tena, mnafikilia kizazi mnachotengeneza!? Nikiwa kama single father, nimejitahidi sana, na bado naendelea, ila wazee, ukiona mwanamke...
  5. Loading failed

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake msilazimishe wanaume tuwaonee huruma sisi hatujaumbwa hivyo

    Ndugu zangu salaam. Wanawake wamekua wakiforce wanaume tuwaonee huruma ili hali hawajui sisi wanaume hatukuumbwa hivyo. Wanaume tuliumbwa kua wagumu, wenye nguvu, mamlaka , viongozi na watawala. Wanaume hatukuumbwa kua mayai mayai na laini kama mademu. Ndiyo maana mwanaume ukiwa laini unakua...
  6. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Israeli yaachana maamuzi ya kusitisha mapigano Gaza, yaua zaidi ya watu 400

    🚨BREAKING: IDF imethibitisha rasmi kuwa imefanikiwa kuwaangamiza magaidi 6 wa Hamas leo ndani ya Ukanda wa Gaza. Mmoja wao alishiriki katika mauaji ya Oktoba 7, mmoja alikuwa amevaa kama mwandishi wa habari, na mmoja alikuwa amevaa kama mpiga picha.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Dunia yenye kila aina ya maumivu inathibitisha kuwa Mungu mwenye upendo na huruma hayupo

    Dunia yenye vita, Dunia yenye kila aina ya majanga ya asili(tsunami, tetemeko n.k),Dunia yenye vichaa, Dunia yenye ukatili wa kila namna, Dunia yenye vipofu, Dunia yenye ajali, Dunia inayobagua walemavu na wazima, Dunia inayobagua makapuku na wenye navyo. Hayo yote yote yanathibitisha Mungu...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Fadhili Maganya: CCM Tutatumia Silaha Nzito Sana Kuushinda Kitakatifu Upinzani. Hatuna Huruma na Mpinzani Dhaifu.

    Ndugu zangu Watanzania, CCM yaendelea kuunguruma maeneo mbalimbali Nchini, CCM yaendelea kuchanja mbuga katika mioyo ya mamilioni ya watanzania, CCM yaendelea kujiweka karibu na watu, CCM yaendelea kutuma ujumbe mzito kwa Upinzani dhaifu na usio na mipango wala mikakati ya ushindi, CCM...
  9. Top Gun

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Single moms poleni kwa upinzani mkubwa mnaopokea humu, huruma yangu iwafikie

    Tuko pamoja, nyie ni strrong women ndio maana mnapambana kulea watoto hii midume iliokimbia. Kama unahitaji faraja nicheck inbox ujisiikie and ukumbukie usichana wako ila mind you, sina hela 😁😁😁😁😁😁😁 Mweusi, mwembaba, sura kama mimi, etc i dont discriminate (in big pun's voice)
  10. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ruvuma: Souwasa mnatupiga sana bila hata huruma

    mamlaka ya maji Safi Na usafi WA mazingira Songea(SOUWASA) mnawaumiza sana wateja wenu bill mnazotoa Ni kubwa kuliko matumizi. Nyumba ambayo imefungwa maji hayatumiki Kwa mwezi nzima mnatoa bill kuwa mteja anadaiwa laki tatu na themanini na Saba wakati matumizi yake Kwa mwezi hayajawahi kufika...
  11. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namuonea huruma mume wake

    Kuna mdada nilifahamiana naye, kazini kwake siyo mbali na kwetu, so kwenye pita pita ndo nikamfahamu, kuna wakati changamoto za usafiri huwa nampa lifti baadhi ya siku. Kama ujuavyo wanaume, nikachokoza nione vp atakubali au la. Akaniambia yeye ameolewa na ana mtoto. Nikaendelea kumbana...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Aziz Ki amemtolea Hamisa Mobetto Mahari ya Tsh. Milioni 30

    Wakuu Kama mnavyojua jambo lao ni leo (MAHARI DAY 15TH FEB 2025) Soma: Aziz Ki aachia video akimvisha pete Hamisa Mobetto na ujumbe mzito wa siku ya Valentine Afisa Habari wa Yanga Ally Kamwe ameweka wazi kuwa Aziz Ki amemtolea Hamisa Mobetto Mahari ya Shilingi Milioni 30
  13. P

    JamiiForums Tanzania Naandika, Nafuta: Viongozi tuoneeni huruma

    Kila nikikaa kuangalia maisha ya mtu mweusi ulimwenguni, moyo unauma na hakuna dalili kuwa mtu mweusi akuja kuishi kwa furaha. Tatizo lipo kwenye Ubongo wa walio wengi. Sample za kina Nyerere, Thomas Sankara, Lumumba, Nkrumah, Magufuli ni chache sana na zipinapigwa vita nje ndani. Waafrika...
  14. Augustine Aloyce

    JamiiForums Tanzania Kwanini utie huruma?

    Kwenye maisha yako avoid sana kuto kuja kutia huruma kwa watu waliofanikiwa... Siku zijazo ndani ya mwaka huu kuna watu watakuja kwa wale walioamua kuwekeza ndani ya Beastborne Ecosystem na kutia huruma sana. Wakati tumewafata kwa upendo na kuwafundisha Biashara na wakatuona ni watu...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kisaikolojia; Watu wanaoonyesha Kujali mbele za watu ndio Wakatili na wale wenye kutoonyesha kujali Mbele za watu ndio wenye Huruma

    KISAIKOLOJIA; WATU WANAOONYESHA KUJALI MBELE ZA WATU NDIO WAKATILI NA WALE WENYE KUTOONYESHA KUJALI MBELE ZA WATU NDIO WENYE HURUMA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Mara nyingi lakini sio zote. Watu wengi utakaowaona wanaonyesha kujali au kuonyesha huruma mbele za watu ndio makatili...
  16. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Sisi Yanga tunawaonea huruma sana Mikia. Mpanzu hamna kitu pale. Mwacheni

    Huyu mchezaji hafai. Ni hasara mwacheni. Nawashauri hivyo.
  17. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chanzo cha shida na matatizo mengi ya sasa yamesababishwa na huruma zetu wanaume kutaka sifa kwa wanawake walioshindikana

    Zamani mwanamke aliyeachika au kutalikiana na mmewe alikuwa hatakiwi kabisa kupewa nafasi yoyote ya uongozi katika jamii. Jamii ilifanya hivyo ili kupeleka meseji kwa wengine kuepuka kuishi maisha ya kisingle maza pasipo sababu ya msingi. Wanaume ambao hawakutimiza majukumu yao ya kulisha...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe historia: Leo Wilbrod Slaa anataka atetewe, aonewe huruma? All in all, dhamana ni haki yake

    Anaandika Lieratus Mwangombe Yesterday, the High Court ordered the Kisutu Court to hear and process Amb. Dr. Slaa's bond today. Shockingly, President Samia's Govt has maliciously failed to bring Dr. Slaa to court, citing a vehicle breakdown as an excuse. Dr. Slaa has been detained for over 20...
  19. W

    JamiiForums Tanzania Huruma Katika Vita: Msaada wa Rwanda kwa Wanajeshi wa Kongo

    Wanajeshi wa Rwanda wanawahudumia wanajeshi wa Kongo wanaokimbilia Rwanda, ambao ni majeruhi wa vita. Jana, walipewa chakula, maji, na juisi. Licha ya yote, hawaonyeshi hasira wala kinyongo kwa kile ambacho serikali yao imewaambia. Rwandan soldiers are treating Congolese soldiers fleeing to...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Trump awaonea huruma mateso wanayopata wapalestina, aagiza misri na jordan kubadili sera zao na kuanza kuwahamishia wengi zaidi nchini mwao!

    Wadau hamjamboni nyote? Rais trump atoka maagizo mazito ya kiutendaji kwa nchi za Jordan na misri Jisomeeni wenyewe hapo chini kwa kimombo: January 26, 2025 By Agencies Today, 4:32 am US President Donald Trump says that Jordan and Egypt should take more Palestinians from Gaza, where...
Back
Top Bottom