Siku zote mdogo humfuata mkubwa. Putin nmemwonea huruma. Trump ana ubabe mwingi sana

Putin ameonekana mnyonge sana kuitwa na kwenda Marekani ni kuonesha Putin yupo hoi. Huo ni ukweli ambao hatutakubaliana nao sababu tulikuwa tunaamin Putin ni mbabe sana.

Miaka yote naamini Russia/Putin mjeuri sana na mbabe. Lakini nmejifunza kitu. Haya mambo si ya ushabiki.
trump ashawahi mfata kim (kiduku) korea
 
Putin ameonekana mnyonge sana kuitwa na kwenda Marekani ni kuonesha Putin yupo hoi. Huo ni ukweli ambao hatutakubaliana nao sababu tulikuwa tunaamin Putin ni mbabe sana.

Miaka yote naamini Russia/Putin mjeuri sana na mbabe. Lakini nmejifunza kitu. Haya mambo si ya ushabiki.
Kumbe Trump alipoenda kwa Kiduku alikuwa mdogo!!!
 
Putin ameonekana mnyonge sana kuitwa na kwenda Marekani ni kuonesha Putin yupo hoi. Huo ni ukweli ambao hatutakubaliana nao sababu tulikuwa tunaamin Putin ni mbabe sana.

Miaka yote naamini Russia/Putin mjeuri sana na mbabe. Lakini nmejifunza kitu. Haya mambo si ya ushabiki.
Trump kamfata Emir of Qatar ka nchi kadogo kabisa mpaa kalamu akaiba vipi hapo. Nyie si huwa mnamsifu USA ndio super power anaenda piga magoti Uarabuni mpaa anaomba anunuliwe ndege na ka nchi kadogo kama Qatar.
 
Sio kwamba anatakiwa akamatwe apelekwe kule kwa wauaji wanapohukumiwa kama tulivyokubaliana hapo nyuma kuwa akitoa tu mguu adakwe.
 
Vijana hao wasameheni tu.
Tuseme Trump kutembelea Qatar kwahiyo Trump ni mdogo kwa Emir Thamim Al Thani.
Hivi walikutana Korea au Hanoi? Nakumbuka Kiduku alisafiri kwa train
 
Ila tuongee ukweli putin ametembea umbali mrefu sana kwenye ile red carpet...wamemtesa kisaikolojia point zote zimeyeyuka hata kingereza cha mchongo alichojiandaa nako kilifutika
 
Soma upya ulichoandika
 
Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza.

Maraisi wawili Putin na Trump wamekutana eneo linaloitwa Alaska.

Kwa ambao hamjui historia mkasome vizuri mjue Alaska asili yake ni eneo la taifa gani.

Kwa taarifa yako wakati wanakutana Putin alikuwa anajiamini zaidi na comfortable na ana feel at home.

Alaska ni himaya ya Urusi.
 
  • Kicheko
Reactions: Lax

Watakua wanajuta kupapiga bei
 
Back
Top Bottom