Ushawahi kusoma kisa changu cha mrembo Joyce? Sasa leo yananikuta sababu ya huruma yangu.
Joyce bana niliendeleza uhusiano nae, amenieleza shida zake nyingi na kujutia aliyowahi kuyafanya na kusema sasa anataka kutulia, mimi nikajifanya baba huruma nikamwambia usijali mama nitakusaidia kadri ya...