Mwanasayansi Kalivubha
JF-Expert Member
- Feb 4, 2024
- 465
- 1,208
#.Ukikubali kila kitu unaitwa mpole.
#.Ukikubali kutumwa kila saa unaitwa mnyenyekevu.
#.Ukikubali kulipwa kidogo unaitwa mvumilivu.
Kumbe wanakufurahia na kukuita majina mazuri kwa sababu huna msimamo.
Anayependwa na kila mtu hana msimamo kwani
Mwenye msimamo lazima kuna watu watakuchukia.
#Mwanasayansi Saul kalivubha
#Malenga wa Kiha.