humphrey polepole

Humphrey Polepole is a Young Tanzanian politician presently serving as the Chama Cha Mapinduzi's Ideology and Publicity Secretary. Before being appointed Humphrey Polepole was a District Commissioner for Ubungo district

View More On Wikipedia.org
  1. BAK

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula: Polepole ametahadharisha tusipokuwa makini, Serikali inaweza 'kutekwa nyara' na kubaki kama 'mwanasesere'

    Humphrey Polepole ameanza kujenga taasisi huru ya fikra! Hahitaji kiwanja cha kujengea taasisi hiyo wala hahitaji Wajumbe wa Bodi wa kuendesha kwani kichwa chake ndio Bodi yenyewe. Ameanza kutoa mihadhara kuhusu mustakabali wa nchi. Anatahadharisha kuwa tusipokuwa makini, Serikali inaweza...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Polepole: Nimeshahojiwa na Kamati ya Maadili ya Chama, hiki ni kikao cha ndani hivyo taarifa rasmi zitatolewa na chama

    Humphrey Polepole amemaliza kuhojiwa na kamati ya maadili ya CCM. Polepole amewaambia waandishi wa habari kuwa hicho ni kikao cha chama na taarifa rasmi kuhusu yaliyojiri kikaoni zitatolewa na chama chenyewe kwa utaratibu wake. Chanzo: Ayo tv Jumaa kareem!
  3. J

    JamiiForums Tanzania Gwajima, Polepole na Silaa waitwa Kamati ya Maadili ya CCM

    Dodoma. Wabunge watatu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) akiwamo Mbunge wa Kuteuliwa, Humpherey Polepole watawekwa kikaangoni leo na Kamati ya Maadili ya Wabunge wa CCM kuhojiwa kuhusu masuala tofauti. Wabunge wengine watakaohojiwa leo ni Askofu Josephat Gwajima (Kawe) na Jerry Silaa (Ukonga) ambao...
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole naye ameitwa mbele ya Kamati ya Maadili?

    Kama ni kweli, nimeumia sana kwamba kila anayesema kuhusu ubeberu na kuhusu ugonjwa wa corona anaitwa kwenye maadili. Freedom of expression iko wapi? Au Mbunge hana freedom of expression? Nakiona chama kipya cha upinzani chenye nguvu kubwa kikizaliwa.
  5. U

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole akiingia Bungeni

    Zaburi 23:4
  6. M

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole aelezea sababu za Kibeberu ya nchi moja kufunga ubalozi

    Pole pole ameelezea jinsi mabeberu wanavyojaribu kutudhoofisha lakini ameweka wazi sababu za nchi moja kufunga ubalozi na kusema ni Mambo ya KIUCHUMI kwani baada ya serikali hiyo kubanwa kupata maslai wameamua kuondoka, msikilize hapa akiongelea uzalendo wa Hali ya juu
  7. N

    JamiiForums Tanzania Mnauelewaje huu ujumbe wa Humphrey Polepole?

    Tutalinda Legacy mpaka tutachoka tu maisha yataendelea Wala lengo la video sio hiyo gitaa
  8. msovero

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole amepatwa na nini?

    Tangu atolewe kwenye Ukatibu wa Itikadi na Uenezi akili yake haijatulia kabisa. Ni kama anafanya vitu kwa kulazimisha ili kuupa furaha moyo wake. Je, anaweza kuwa amepatwa na tatizo gani? Au ni msongo wa mawazo 'depression'? Wataalam wa saikolojia na magonjwa ya akili tupeni somo hapa.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Siku za Humphrey Polepole na wenzake ndani ya CCM zinahesabika

    Mwanachama machachali sana ndani ya CCM ndugu Humphrey Polepole a.k.a Comred Polepole pamoja na genge lake lipo hatiani kuondoka ndani ya Chama cha mapinduzi kutokana na kwenda sawa na mfumo wa awamu ya sita. Walifanikiwa kuwakonyeza Watanzania kuwa tupo fiti na tukitaka kupindua tunaweza...
  10. Camilo Cienfuegos

    JamiiForums Tanzania Kihongosi: Polepole uwe na nidhamu na adabu kama ulivyokuwa Awamu ya Tano

    Katibu mkuu wa UVCCM, Kenani Kihongosi amemtaka Mbunge Humphrey Polepole awe na nidhamu na adabu katika serikali ya awamu ya 6 kama alivyofanya kwa serikali ya awamu ya 5. Hiyo ni baada ya Polepole kupinga chanjo, jambo linalochukuliwa kama kupingana na Rais. Una maoni gani kwa wana CCM hao...
  11. MISULI

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi Humphrey Polepole kuonesha Msimamo wake wa kutochanjwa?

    Tumeona Viongozi mbalimbali wakitumia hiari yao kuhamasisha watu wakachanjwe na wengine wamekua sehemu ya kuchanjwa kama kuonesha mfano. Polepole Naye yupo na msimamo wake wa kutochanjwa na ameenda mbali akihimiza watu wazingatie vyakula na vilevile kahoji kwanini hii chanjo haioneshi muda...
  12. Jasusi Mbobezi

    JamiiForums Tanzania Polepole aweka msimamo wake wa kutochanjwa

    Kupitia ukurasa wake rasmi wa Facebook, alipokuwa akiongelea kuhusiana na muziki wa Singeli, sentensi yake ya mwisho ilikuwa ni kutoa msimamo wake kuhusu chanjo, amesema chanjo ni hiyari na yeye hatachanja. Huyu ndiye Polepole ninayemfahamu, Mungu akujalie ufike mbali, kile kiti kinakufaa kabisa.
  13. Gwajima

    JamiiForums Tanzania Ahsante ndugu Humphrey Polepole kwa msimamo wako kuhusu CORONA

    Ahsante kijana
  14. Elitwege

    JamiiForums Tanzania Polepole: Watanzania tuendeleeni kutumia njia za asili kupambana na Corona

    Katibu mwenezi msitaafu wa CCM na mbunge wa kuteuliwa wa bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania bwana Humphrey Polepole amehoji ni kwa nini watanzania wanataka kuacha mbinu za asili zilizotusaidia mwaka jana kupambana na corona na tukaibuka na mafanikio makubwa kiuchumi na kijamii? Bwana...
  15. Replica

    JamiiForums Tanzania Polepole ataka kiwanda cha dawa za mimea kupambana na Corona, aomba kikafichwe Jeshini

    Mbunge wa Kuteuliwa na Rais, Humphrey Polepole leo Bungeni ameongelea suala la Covid na kusema wameambiwa Corona inaendelea. Polepole ametoa Rai kujenga kiwanda cha mimea dawa kulingana na Ilani ya CCM. Polepole amesema watu watatibiwa na kupona na mimea dawa lakini Rai yake kiwanda hicho...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Humphrey Polepole?

    Wakuu, Ni kitu mbaya sana kijana mdogo kama Polepole kustaafu katika umri ule, mwili bado unadai na nguvu ya kusumbua watu ipo Tangu kutenguliwa katika nafasi yake ya ukatibu uenezi, Polepole hajapata kuonekana popote pale. Si vyombo vya habari wala mitandao ya kijamii, amepotezwa kishamba...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete ashiriki mahafali ya 51 ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Leo Mei 27, 2021. Humphey Polepole naye afanikiwa kuhitimu

    Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) na Rais Mstaafu awamu ya nne, Mheshimiwa Dkt Jakaya Kikwete ameshiriki kuwatunuku Degree kwenye duru ya kwanza ya mahafali ya 51 ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam leo Mei 27, 2021. PIA SOMA: - Ridhwani: Jakaya Kikwete yupo salama wa afya nyingi...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Hongera Dkt. Bashiru na Komredi Polepole, Tuandikieni kitabu kama zawadi

    Uteuzi wa Katibu Mkuu Mpya na Katibu Mwenezi wa CCM Leo jijini Dodoma kumehitimisha utumishi wa Dkt Bashiru na Komredi Polepole katika Utumishi wa chama cha Mapinduzi. Utezi wa Dkt. Bashiru na Hamphrey Polepole katika kukiongoza Chama cha Mapinduzi ulirejesha matumaini mapya kwa watanzania...
  19. Q

    JamiiForums Tanzania Shaka Hamidu Shaka, mrithi wa Polepole nafasi ya Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM

    Shaka Hamidu Shaka, ameteuliwa kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), akichukua nafasi ya Humphrey Polepole ambaye ni Mbunge wa kuteuliwa. ======= Mwenyekiti mpya wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amemteua Shaka Hamdu Shaka kuwa Katibu wa NEC Itikadi na...
  20. GRAMAA

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole njoo umalize huu mchezo wa kitoto (Hoja za CAG, Zitto na Mbowe)

    Humphrey Polepole mimi nakuambia ukweli kabisa kwamba unahitajika uwanjani kuja kumalizana na hoja za CAG, Zitto Kabwe na Freeman Mbowe. Mbona mchezo huu kwako ni wakitoto tu na kwako unahitaji press conference moja tu ya dakika 45 kumzima CAG, Zitto na Mbowe. Mbona kupindi cha Magufuli...
Back
Top Bottom