YANGA VS BERNARD MORRISON: UELEWA WANGU WA UAMUZI WA CAS
Jumatatu tarehe 22 Novemba, 2021.
Tarehe 12 Agosti, 2020 Kamati ya Sheria na Hadhi ya Wachezaji ya TFF ilitoa uamuzi wa shauri la Yanga dhidi ya Morrison na kuamuru kuwa Mkataba wa Pili wa Yanga na Morrison haukuwa halali na hivyo...