Myanmar: Aung San Suu Kyi ahukumiwa kifungo cha miaka minne jela

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Kiongozi wa Myanmar aliyetolewa Madarakani na Jeshi amehukumiwa kifungo cha miaka minne gerezani, ikiwa ni mwanzo wa kutolewa hukumu ambazo zinaweza kupelekea afungwe jela maisha

Aung San Suu Kyi ambaye amekuwa kifungo cha nyumbani tangu Februari 2021 baada ya Jeshi kufanya Mapinduzi anakabiliwa na Mashtaka 11 ambayo ameyakataa

Kifungo cha miaka minne ni baada ya kukutwa na hatia ya uchochezi na kuvunja Kanuni za COVID-19 chini ya Sheria ya Majanga ya Asili

=====

Ousted Myanmar leader Aung San Suu Kyi has been sentenced to four years in prison, in the first in a series of verdicts that could jail her for life.

She was found guilty on charges of inciting dissent and breaking Covid rules under a natural disasters law.

Ms Suu Kyi faces 11 charges in total, all of which she has denied.

She has been under house arrest since February when the military launched a coup, toppling her elected civilian government and detaining leaders.

It is not clear when or if Ms Suu Kyi will be placed in prison.

Co-defendant Win Myint, the former president and Ms Suu Kyi's National League for Democracy (NLD) party ally, was also jailed on Monday for four years under the same charges.

Suu Kyi 'struggling'

The 76-year-old has been slapped with an array of charges, including multiple counts of corruption and violating the official secrets act.

Little has been seen or heard of her apart from her brief court appearances.

A spokesman for the newly formed National Unity Government, a group made up of pro-democracy figures and opponents of the coup, had earlier told the BBC Ms Suu Kyi was struggling.

"She is not OK... military generals are preparing for 104 years of sentences for her in prison. They want her to die in prison," Dr Sasa said.

The military had seized power alleging voter fraud in general elections held last year in which the NLD won by a landslide.

Source: BBC
 
Huyu mama maisha yake yote ni kupambana na utawala wa kijeshi, alipambana nao mpaka wakalegeza akachukua madaraka, sasa haijapita muda tena wamempindua
 
Huyu mama heshima yake inaporomoka kama ipo hapo Victoria falls
 
Alifanya makosa kukubali as na Magenerali kumaliza kifungo chake cha nyumbani kilichodumu kwa miaka 15. Wanaharakati waliweka pressure May-mar mpaka nchi ilikosa heashima duniani.

Leo Magenerali wale wale wamemfunga miaka minne. Huyu mama ni mmoja wa wanaharakati ninaowafuatilia sana.
Jeshi la Myanmar limenogewa na siasa,jeshi halina uwezo wa uongozi popote pale
 
Na wazungu hawatamsaidia, kwasababu walimpigania alipokuwa kibaraka wao kama tundulisu, alipopata madaraka akawageuka na akawa mnyama kuliko ata waliomtangulia.
 
Your heading is in Swahili, the content in English!

Learn on how to deliver information to the audiences by considering the context and their linguistic nature!
I dislike the way the my do and it's becoming a habit now in this platform. This is a threat not just a weakness
 
Back
Top Bottom