hukumu

Kokborok tei Hukumu Mission was formed on 10 August 1993, in Agartala, Tripura, India as a non-political, non-religious organization whose sole mission is to serve to promote to develop and to preserve the Tripuri literature, culture, tradition and its heritage.

View More On Wikipedia.org
  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya rufani ya Sabaya kupinga kifungo cha miaka 30 jela kutolewa leo Mei 6, 2022

    Mahakama Kuu Kanda ya Arusha, leo inatarajia kutoa hukumu ya rufani namba 129, katika kesi ya jinai iliyokuwa inamkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya na wenzake wa wawili. Washtakiwa wengine katika kesi hiyo ni Silvester Nyegu na Daniel Mbura, waliokuwa...
  2. BigTall

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya kunyongwa hadi kifo yaongezeka Nchini Iran

    Ripoti imetolewa leo Aprili 28, 2022 ambapo imefahamika kuwa adhabu ya kifo Nchini Iran imeongezeka kwa asilimia 25 ndani ya mwaka 2021. Katika idadi ya waliohukumiwa wamo pia wanawake 17 pamoja na walioshitakiwa kwa kesi za madawa ya kulevya Mashirika ya Haki za binaadamu IHR na ECPM ya...
  3. Saint_Mwakyoma

    JamiiForums Tanzania Nini nifanye niweze kusahau makosa niliyofanya kwa kujitakia yanayonihukumu kila siku?

    Kwa miaka sasa ninatumia nguvu kubwa kutumia njia mbali mbali japo tu, nisahau makosa yangu yaliyo haribu njia ya maisha yangu lakini naishia kupata ahueni kwa muda tu na baadaye najikuta niko na yale maumivu. Wakuu nisaidieni mbinu mbadala mlizotumia kusahau makosa yenu kwenye safari zenu za...
  4. BAKIIF Islamic

    JamiiForums Tanzania Darsa ya Ramadhan 1 (2022): Mke na Mume hawaruhusiwi kukutana kimwili, haswa katika mchana wa mwezi wa Ramadhan

    Assalam alaikum Katika darsa letu la leo tuta tazama baadhi ya hukumu nyeti zinazo ambatana na usiku wa mwezi wa Ramadhan. Tukizijua hukumu hizi swaumu zetu zitakuwa katika njia iliyo nyooka. Na kama hatutazijua hukumu hizi basi swaumu zetu zita haribika, itatubidi kulipa deni pamoja na kulipa...
  5. BigTall

    JamiiForums Tanzania Arusha: Mahakama yapanga Hukumu kesi ya Ole Sabaya, wenzake Mei 31, 2022

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imepanga Mei 31, 2022 kutoa hukumu ya kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake sita. Katika kesi hiyo washitakiwa wengine ni Enock Mnkeni, Watson Mwahomange, John Aweyo, Sylvester Nyegu, Jackson Macha na...
  6. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Kigoma: Ahukumiwa kunyongwa kwa kumuua jirani yake

    Mahakama kuu ya Tanzania kanda ya Kigoma imemuhukumu kunyongwa hadi kufa mtu mmoja aitwaye Kinyota Kabwe mkazi wa Muzye wilayani Kasulu kwa kosa la kumuua kwa makusudi jirani yake kwa kumchoma mkuki mara tatu na kusingizia alikuwa amechanganyikiwa. Kesi hiyo namba 105 ya Jamhuri dhidi ya...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya Mzee Sadalla Juma aliyembaka msichana wa kazi Zanzibar, itasomwa Jumatatu 21 Machi 2022

    HUKUMU YA MZEE SADALLA JUMA SADALLA (74) ALIYEMBAKA MSICHANA WA KAZI ZANZIBAR,ITASOMWA SIKU YA JUMATATU 21 MACHI 2022 KATIKA MAHAKAMA UA VUGA,UNGUJA. Mzee Sadalla Juma Sadalla (74)mkazi wa Bububu,Unguja anayeshitakiwa kwa kosa la kumbaka mshichana wake kazi (jina limeifadhiwa) atarajiwa...
  8. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Saudi Arabia yatekeleza hukumu ya kifo kwa watu 81 ndani ya siku moja

    Saudi Arabia imetekeleza hukumu ya kifo kwa watu 81 katika muda wa saa 24 zilizopita, wakiwemo raia saba wa Yemen na raia mmoja wa Syria, kwa tuhuma zikiwemo za "kuhusishwa na mashirika ya kigaidi ya kigeni" na kuwa na "imani potovu", Shirika la Habari la Serikali la Saudi Press Agency...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya Jaji Tiganga inaweza kupatikana?

    Pamoja na Mhe Mbowe na wenzake Kia chi wa guru baada ya DPP kueleza nia ya kutoendelea na kesi, je ile hukumu ya Jaji Tiganga iliyowakuta ya washtakiwa wana kesi ya kujibu inaweza kupatikana? Tunataka tuichambue hukumu hiyo kwenye vijiwe vyetu, kwenye vyama vya kitaaluma ya sheria, kwenye law...
  10. I

    JamiiForums Tanzania Kwa waislamu wenzangu, naombeni mnisaidie hukumu ya kusema uongo

    Naam uzi huu naulenga kwa waislamu wenzangu. Je kwa anaefahamu, ipi ni hukumu ya kusema uongo, mtu afanye nini kujitakasa na dhambi iyo baada ya kua ameshaitenda na hawezi badilisha matokeo ya uongo huo?
  11. B

    JamiiForums Tanzania Jaji kufanya uchambuzi wa kurasa 1,500 ukaweza kutoa hukumu kwa siku mbili ni jambo lisilowezekana

    Mhe. Jaji amesema tarehe 18/02/2022 atatoa maamuzi kama watuhumiwa wana Kesi ya kujibu au la. Wakati huohuo ameeleza Kwamba karani wake ameshaandika page 1400+ na Kwamba anatakiwa kiutaratibu Jaji anapaswa kusoma nakutoa maamuzi ni facts zipi zinahitajika kuprove kama Kuna kesi ya kujibu au la...
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Aliyemdanganya Rais kwamba kuna waliofungwa kwenye kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe akamatwe haraka

    Ni dhahiri sasa kwamba Mh Rais alidanganywa na kuambiwa mambo ya uongo , kwamba kabla ya kukamatwa Mbowe alikimbilia nje ya Nchi baada ya kupata taarifa kuwa miongoni mwa watuhumiwa kwenye kesi hii wamekwishahukumiwa kifungo jela baada ya kukiri makosa yao ya Ugaidi . Mh Rais alitoa kauli hii...
  13. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ikumbushe Mahakama kuanza kuandika hukumu kwa Kiswahili

    Rais Samia hii ni wiki ya Sheria. Waambie watanzania ni lini Hukumu zitaanza kuandikwa kwa lugha ya Kiswahili Ili watanzania waweze kukata rufaa kwenye kesi zao wenyewe. Jaribu kutimiza yaliyoanzishwa na Hayati Rais Magufuli kwa faida ya Watanzania. Pia soma Profesa Ibrahim Juma: Muhtasari...
  14. Msanii

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume ajipanga kukazia hukumu dhidi ya Musiba

    Mahakama Kuu ya Tanzania imempatia Fatma Karume Hukumu ya kesi yake aliyoshinda dhidi ya Musiba. Hukumu hiyo inampa haki Shangazi kukazia hukumu ili kukamilisha safari ya kupata haki zake baada ya kuchafuliwa vilivyo na bwana Musiba ambaye kwa sasa ameenda mafichoni kusikojulikana Kupitia...
  15. kamili

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Freeman Mbowe na hukumu ya mahakama tatu

    Mengi yameongelewa kwenye kesi hii ya Mbowe na tuhuma za ugaidi (wao wanasema makosa ya ugaidi). Kesi hii imevuta mahakama tatu, na mbili kati ya hizo zimeshatoa hukumu ni moja tu ndio bado haijatoa hukumu kama ifuatavyo. 1. Mahakama ya uhujumu uchumi Mahakama hii inaongozwa na inasikilizwa...
  16. beth

    JamiiForums Tanzania Mahakama yatupilia mbali mapingamizi ya utetezi, maelezo ya Mohamed Lingw'enya yapokelewa na Mahakama. Kesi kuu kuendelea Des. 15, 2021

    Usikilizwaji wa Kesi ya Uhujumu Uchumi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake watatu; Halfan Bwire Hassan, Adamu Hassan Kasekwa na Mohammed Ling'wenya inatarajiwa kuendelea leo Desemba 14, 2021 Mahakama inatarajiwa kutoa uamuzi kuhusu pingamizi la Mshitakiwa Mohammed...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe: Kuelekea hukumu kumhusu Ling'wenya

    Kuelekea hukumu ya shauri dogo linalomhusu Ling'wenya 14 Dec ukimya unaendelea kuvunjwa: 1. Kumbe mama Samia naye yamewahi kumfika ya kubambikiwa kesi na hata kutendewa ndivyo sivyo za wazi mikononi mwa polisi wetu. 2. Mheshimiwa Mbatia yeye hakuwa na Simile: Kesi ya Mbowe: Ushauri wa Mbatia...
  18. beth

    JamiiForums Tanzania Myanmar: Aung San Suu Kyi ahukumiwa kifungo cha miaka minne jela

    Kiongozi wa Myanmar aliyetolewa Madarakani na Jeshi amehukumiwa kifungo cha miaka minne gerezani, ikiwa ni mwanzo wa kutolewa hukumu ambazo zinaweza kupelekea afungwe jela maisha Aung San Suu Kyi ambaye amekuwa kifungo cha nyumbani tangu Februari 2021 baada ya Jeshi kufanya Mapinduzi...
  19. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Anaandika Abbas Mwalimu kuhusu hukumu ya CAS

    YANGA VS BERNARD MORRISON: UELEWA WANGU WA UAMUZI WA CAS Jumatatu tarehe 22 Novemba, 2021. Tarehe 12 Agosti, 2020 Kamati ya Sheria na Hadhi ya Wachezaji ya TFF ilitoa uamuzi wa shauri la Yanga dhidi ya Morrison na kuamuru kuwa Mkataba wa Pili wa Yanga na Morrison haukuwa halali na hivyo...
  20. kavulata

    JamiiForums Tanzania Hukumu kesi ya Morrison hakuna anaepaswa kujiuzulu Yanga?

    Kwanini lazima awepo mtu wa kujiuzulu? 1. Mzee Kikwete aliishauri Yanga iachane na Morrison itafute Wachezaji wengine wa kuwachukua, alipuuzwa. 2. Wanachama na mashabiki waliaminishwa uongo na viongozi wao. 3. Mashabiki walikuwa na hamu kubwa kusikia majibu ya cas yakiwa positive kwa muda...
Back
Top Bottom