huduma

Huduma Kenya Programme is a Kenya Vision 2030 flagship project captured under the Mid Term plan for 2013 – 2017. The Programme was launched by H.E Uhuru Kenyatta, President of the Republic of Kenya, on 7 November 2013 which coincided with the launch of the first Huduma Centre in Kenya at GPO Nairobi.
The aim of the Huduma Kenya program is to enhance the access and delivery of Government Services to all Kenyans. Ministry of Public Service, Youth and Gender Affairs is coordinating implementation of the Programme.c.Through the Huduma Kenya initiative, Kenya has been able to launch a Huduma Namba, which is equivalent to the US's Social Security Number (SSN).

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Waafrika wafurahia huduma ya bei nafuu inayotolewa na kampuni za China

    Kila Jumamosi alasiri, Levin Chama mwenye umri wa miaka 11 anakwenda kwenye Kituo cha Mtandao cha Konnect Hub kilicho kwenye mtaa wa 44 wa Githurai wa mji mkuu wa Kenya, Nairobi, ili kusikiliza masomo ya lugha, utamaduni, hisabadi yanayotolea na walimu wa nchi mbalimbali kupitia mtandao wa...
  2. JamiiForums Tanzania Fibre internet ina kasi, haina kikomo, bei chee, unawekewa bure. Wateja tupo, tunawaomba mpanue huduma zenu

    Kwa hii kasi ya mabadiliko ya vifurushi, tujipange isaikolojia, huenda tukaingia 2022 GB1 ikiwa inauzwa elf 2,500 sawa na petrol. Fibre internet ni internet inayoletwa kwako kwa njia ya waya na uutapewa bure vifaa vya kusambaza internet kwa njia ya wifi. Gharama zao zinaendana kwa speed na sio...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Maumivu makubwa: Halotel pia wametoa huduma hii muhimu

    Kikawaida halotel lets say umeweka gb 1 ya week uka top up tena in 3 days inajazia kifurushi cha kwanza kama kilikuwa hakijaisha na siku ya ku expire inasogea mbele, jamaa wamekitoa. Hivi hizi vurugu zote ni kodi au kukomoa watu watoke online?
  4. JamiiForums Tanzania Napata shida kuelewa kwanini Rais Samia kamuajiri Tonny Blair kuhusu COVID-19 na kurejesha jina zuri Tanzania

    Huyo Tonny Blair tuko wengi tunamuona kama mzandiki fulani. Alimuunga mkono Bush kuivamia Iraq kwa sababu za uongo eti kuna silaha za maangamizi wakati ni uongo. Nchi nyingine za Ulaya zilisita ila Tonny Blair akawa kimbelembele na wakaiangamiza Iraq tokea uchumi, watu wake hadi miundombinu...
  5. JamiiForums Tanzania CCBRT lini mtaleta HUDUMA Dodoma

    Kuna kila ISHARA kuwa magonjwa nyemelezi yatateuwa mkoa wa DODOMA kwa sababu ya shambulio la alshababu la SERIKALI KUHAMIA DODOMA... Ni vyema CCBRT MKASOGEZA huduma kwa wananchi http://www.ccbrt.or.tz/fileadmin/11_reports/CCBRT%202019%20Annual%20Report.pdf
  6. JamiiForums Tanzania Huduma mbovu Train ya Deluxe

    Wakuu heshima kwenu; Katika mashirika ya Serikali ambayo yanapaswa kuwa na huduma za kueleweka ni hili la huduma za usafiri,hasa nikimaanisha train maana ndio kuna mkono wa serikali ukitoa lile shirika lenye zile mashine zirukazo angani. Lakini katika hali ya kushangaza train ya deluxe kutoka...
  7. JamiiForums Tanzania TAWAQAL Petrol Station, Ipogolo, Iringa; huduma ya chakula mgawahani ni mbovu sana

    Kwa muda sasa nilikuwa na simama kupata msosi katika kituo hiki cha Petroli, na kupumzika kwa ingalau nusu saa kabla ya kuendelea na safari yangu ambayo huwa marathon, Dar-Mbeya. Kituo kina mandhri nzuri ingawaje sasa kimeanza kuchakaa kutokana na kukosa matunzo. Mbaya zaidi ni huduma ya...
  8. JamiiForums Tanzania Kilio cha kukosa huduma ya TANESCO kwa wananchi kitaisha lini?

    Kila Mahali wananchi wanaendelea kulia bila Msaada wa viongozi kuhusu kukoswa huduma ya Tanesco kama. 1) kukoswa huduma ya surveyor 2) zaidi ya wananchi 210000 walio lipia huduma ya kuunganishiwa umeme , Hawajaunganishiwa kwa sababu ya upungufu wa meter,nyaya na watu wakuunganisha umeme. 3)...
  9. JamiiForums Tanzania Afghanistan: Mamia wajitokeza ofisi ya kutoa passport baada ya Taliban kutangaza kurejesha huduma

    Siku moja baada ya kutangazwa kuwa Hati za Kusafiria (Passport) zitaanza kutolewa, mamia ya wananchi wamejitokeza katika Ofisi hiyo Huduma hiyo ilisitishwa baada ya Taliban kuchukua madaraka mwezi Agosti, hali ambayo ilipelekea wengi waliotaka kuondoka Nchini humo kushindwa Kwa mujibu wa UN...
  10. JamiiForums Tanzania TTCL inakutakia kheri ya Wiki ya Huduma kwa Wateja

    Ndugu mteja asante sana kwa kutumia huduma za TTCL. Tarehe 4-8 Oktoba ni maadhimisho ya wiki ya Huduma kwa Wateja. Katika kusherehekea wiki ya Huduma kwa Wateja, TTCL tunapenda kuwashukuru wateja wetu kwa kutuamini. Tunakuahidi kwa kukupatia huduma nzuri zaidi. Karibu tukuhudumie
  11. N

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Serikali inawasiliana na watoa huduma wa mitandao ya WhatsApp, Facebook na Instagram kuhusu kukosekana kwa huduma

    Msemaji mkuu wa Serikali Bw. Gerson Msigwa ametoa wito kwa wananchi wote kuwa watulivu wakati serikali inawasiliana na makampuni ya WhatsApp, Facebook na Instagram kuhusu changamoto ya kukosekana kwa huduma ya mawasiliano ya mitandao hiyo. Huduma za mitandao hiyo zilikwama kwa saa kadhaa tarehe...
  12. JamiiForums Tanzania CRDB Bank rekebisheni internet upande wa huduma za uwakala

    Napenda kuwasilisha malalamiko yangu kwa Benki ya CRDB kwa hasara mnazotupatia sisi mawakala kutokana na mtandao wenu kuwa wa hovyo kushinda benki zote Mimi ni Wakala natoa huduma za uwakala wa kifedha upande wa mabenki binafsi kutokana na uzoefu kidogo katika kazi hii, nimegundua Benki ya CRDB...
  13. JamiiForums Tanzania EMS Huduma zenu sio

    Parcels zinachukua muda mrefu kumfikia mlengwa. Zamani walikuwa wanatumia ndege baadae wakaacha. Wakati huo ilikuwa inawezekana parcel kutumwa leo kutoka DSM na kesho unaipokea Mwanza. Sasa hivi EMS wanatumia magari yao, ambapo mzigo kutoka Tunduma kwenda DSM unatumia siku 4. Bukoba to Tunduma...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Suluhisho la usugu wa changamoto katika utoaji wa huduma za kijamii

    Kushindwa kukamilika kwa wakati katika miradi mbalimbali yamaendeleo na kusuasua kwa utoaji wa huduma kwa ufanisi pamoja na kukosekana kwa ufanisi na weledi katika kusimamia na utoaji wa huduma hizo ni moja kati ya changamoto kubwa nchini. Moja kati ya sababu inayopepelekea kutokea kwa hali hii...
  15. JamiiForums Tanzania Airtel mnazingua huduma yenu airtel money haifanyi malipo ya serikali

    Tangu Jumatatu najaribu kufanya malipo ya serikali kupitia Airtel Money lakini malipo yana kwamba (pending) na inachukua masaa 38 kurejesha pesa a mteja ktk account yake. Huu ni uduwanzi mnatukwamisha. Airtel kama system yenu ya malipo haipo sawa ni vyema kutoa taarifa mapema.
  16. L

    JamiiForums Tanzania Mapambano dhidi ya wanaume yanaendelea: Mkuu wa Wilaya aagiza wanawake wasitoe huduma kwa wanaume wasiotahiriwa

    Mkuu wa Wilaya ya Ruvuma ambaye ni mwanamke mwenzetu ameagiza wanawake wa Ruvuma kabla hawajafanya mapenzi na wanaume wawakague kwanza kujiridhisha kwamba wametahiriwa, ikiwa hawajatahiriwa wasitoe huduma ya mapenzi. Hii yote ni mapambano dhidi ya ugonjwa wa Ukimwi kwani utafiti unasema wanaume...
  17. JamiiForums Tanzania Msaada wa kubypass samsung galaxy a12 nitalipia huduma

    Habari wanajukwaa kama kichwa cha habari kinavyojieleza nina samsung yangu galaxy A12 ime hard setiwa nahitaji msaada wa kutolewa pass nitalipia huduma
  18. JamiiForums Tanzania NMB huduma kwa wateja muitoe kama mmeshindwa kuwajali wateja

    Leo siku nzima , najaribu kuwapigia simu huduma kwa wateja simu inaita dk 30 bila kujibiwa. Hao, mliowaajiri hiko kitengo cha huduma kwa wateja kazi yao ni ipi. Badilikeni, miamala imekwama na watu wanawapigia kupata suluhisho, simu hampokei .Hamjui mnakwamisha shughuli za watu. Ndio maana...
  19. JamiiForums Tanzania Mtandao pekee wenye huduma nzuri zaidi za malipo kwa wafanyabiashara na wauzaji Tanzania.

    Sokokuu online ni mtandao unaouza vitu online kwa mfumo mpya na wa tofauti kabisa. Na mfumo huo upo ivo ili kumrahisishia mteja namna ya kununua vitu mtandaoni. Kwanza Sokokuu online inakupa uhuru. Wa kuweka bidhaa zako mwenyewe na kupanga bei ndani ya Dashboard yetu. Hii inakuhakikishia kuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Azam Pesa: Huduma mpya ya kifedha

    Kampuni kubwa na iliyoenea katika nchi ya Tanzania pamoja na nchi jirani 'Bakhresa Group' imeleta sokoni huduma mpya ya kifedha ijulikanayo kama 'Azam Pesa'. Huduma hii ni kama zilivyo huduma nyinginezo za M-Pesa, Airtel Money, Tigo Pesa and the like. Ili kuielewa zaidi huduma hii, nitaenda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…