huduma

Huduma Kenya Programme is a Kenya Vision 2030 flagship project captured under the Mid Term plan for 2013 – 2017. The Programme was launched by H.E Uhuru Kenyatta, President of the Republic of Kenya, on 7 November 2013 which coincided with the launch of the first Huduma Centre in Kenya at GPO Nairobi.
The aim of the Huduma Kenya program is to enhance the access and delivery of Government Services to all Kenyans. Ministry of Public Service, Youth and Gender Affairs is coordinating implementation of the Programme.c.Through the Huduma Kenya initiative, Kenya has been able to launch a Huduma Namba, which is equivalent to the US's Social Security Number (SSN).

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania Francis Kairu: Kwa Afrika bado ni kibarua kigumu kupambana na utoroshwaji wa fedha haramu

    Je, umekua na shauku ya kutaka kujua Fedha haramu ni zipi na kwa nini zinataroshwa? Karibu ujiunge nasi katika Mjadala na Wataalamu wa Uchumi utakaofanyika Alhamisi ya Oktoba 19, 2023 kuanzia Saa 12 Jioni hadi Saa 2 Usiku kupitia Xspaces ya JamiiForums Katika Mjadala huu tutaangazia nini Maana...
  2. JamiiForums Tanzania Nini kimesababisha gharama za huduma ya choo Stendi ya Mbezi Louis ishuke kutoka Tsh. 500 hadi 200 tu?

    Tulilalamika sana tozo hii kubwa ya kutukumoa hapa Jamiiforums miaka mingi sana ila mkawa jeuri kwa kutoipunguza huku mkituambia kwa dharau nyingi kuwa kama hatuna hiyo Tsh. 500/- ya maliwatoni (chooni ) hapo tujikojolee/tujisaidie midomoni mwetu. Leo GENTAMYCINE nimeshikwa na butwaa kubwa na...
  3. JamiiForums Tanzania Namba zote za ofisi ya NACTVET hazipatikani na Hii ni ofisi ya umma inayotoa huduma

    Tangu Jana nina tatizo kubwa ambalo nahitaji msaada kwa NACTVET lakini namba zao zote zilizopo kwenye website yao hazipatikani. Inamaana mimi nitumie nauli kuvuka mikoa kwa mikoa niende ofisini kuulizia kitu tu? Na hapo nimejaribu hafi kwa njia ya email ila haijajibiwa. Mkurugenzi wa NACTVET...
  4. JamiiForums Tanzania Mwaka 2018, Tigo walitakiwa kumlipa mteja Tsh 1,000,000 kwa kumkata fedha ya huduma ambayo hakuwa amajiunga kwa ridhaa yake

    Mwaka 2018, MIC Tanzania Limited (Tigo) iliamriwa na Kamati ya Malalamiko ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania kumlipa Ogada Ogweno Tsh. 1,000,000 kama fidia ya usumbufu. Pia walitakiwa kumrudishia Tsh 450 waliyoikata kimakosa kwa huduma ambayo hakujiunga Hali ilikuwa hivi, Ogweno alitaka...
  5. I

    JamiiForums Tanzania Vodacom acheni kubambikiwa wateja wetu huduma wasizozihitaji

    Nimegundua janja ya kampuni hii ya Vodacom kuwaungaisha kwenye huduma zenye makato ya fedha bila wateja wenyewe kuwa wamejiunga kwa ridhaa yao. Nimeshangaa sms imeingia kwenye simu yangu kutoka Vodacom kunijulisha nimefanikiwa kujiunga na huduma ya chekecha hesabu na nitakatwa sh200 Kwa siku...
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini benki za Tanzania zina huduma mbovu na ukiritimba mwingi, haziendani na nyakati za sasa

    Kiukweli nasikitishwa na huduma za kibenki kwa ujumla, kwa bank za hapa TZ. Unaweza kwenda bank na shida ndogo na ya kawaida ila mlolongo unakua mrefu usio na maana wala tija yoyote. Nilikua na shida ya majina kwenye kadi yangu ya nmb, majina yalichanganywa la kati na la mwisho hivyo ishu...
  7. JamiiForums Tanzania Huduma ya Kipimo cha MRI katika Taasisi ya Mifupa MOI ni kero kwa Wagonjwa

    Niende moja kwa moja kwenye hoja yangu. Oktoba 9, 2023 nilikwenda kumpeleka Ndugu yangu pale MOI kwaajili ya kupata vipimo kutokana na hali yake kiafya kusumbua kwa muda mrefu. Kufika pale Daktari akamwandikia kipimo cha Magnetic Resonance Imaging (MRI) ili kubaini tatizo lake. Balaa likaanza...
  8. S

    JamiiForums Tanzania ONYO kwa akina dada wote kuhusu huduma ya kukuza makalio itakayoanza kutolewa Mloganzila

    Mloganzila wanajitangaza kwamba wanataka kuanza kukuza makalio. Lakini najiuliza, kwa utaalamu upi? Kwa umakini upi? Wa watu wapi? Hawa hawa wanaosahau mikasi tumboni mwa wagonjwa? Hawa hawa wanapasua kichwa badala ya mguu? Hawa hawa wanaomdunga ganzi nyingi kupitia kiasi (overdose) mama...
  9. JamiiForums Tanzania Vodacom huduma ya MGODI wanazingua sana

    Line yangu ya Vodacom haina deni nimejiwekea akiba yangu ya milioni 1 huko mgodi nataka kutoa toka last week pesa haitoki nimewapigia huduma kwa wateja option ya kuongea na watoa huduma siipati. Mwenye uzoefu kwenye hii changamoto naomba msaada.
  10. JamiiForums Tanzania Nchi 6 zilizotoa Leseni kwa Starlink kutoa huduma za Intaneti yenye Kasi zaidi Afrika

    Zambia imekuwa Nchi ya 6 barani Afrika kuridhia uwekezaji wa Kampuni ya SpaceX kuanza kutoa huduma za Intaneti yenye kasi zaidi kupitia Starlink, hatua inayotajwa kuwa itapunguza urasimu kwa Watoa huduma waliopo pamoja na kuongeza Ubora wa Mawasiliano ya Mtandao. Kampuni ya Starlink...
  11. JamiiForums Tanzania DART: Sababu ya uhaba wa mabasi ya Mwendokasi Vituoni, ni hakuna mfumo rasmi wa kuongozea mabasi, Pia mabasi ni machache

    Ofisa Mawasiliano na Uhusiano wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (Dart), Willium Gatambi ameeleza sababu za msongamano vituo vya 'Mwendokasi' jijini Dar es Salaam Leo Oktoba 11, 2023. Amesema tatizo hilo linasababishwa na watu wengi asubuhi kuelekea upande mmoja pia hakuna mfumo rasmi wa...
  12. JamiiForums Tanzania Hospitali ya Mloganzila yaanzisha huduma ya kurekebisha 'shape' ya mwili

    Swali: Je, Serikali imeridhia Kuruhusu kuanza kutoa Huduma kama hizi zinazoharibu Maadili ya Nchi na dini? Aisee Kwa Sasa kuja kupata binti natural itakuwa ni Mtihani. -- Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila kwa mara ya kwanza nchini itafanya huduma za kibingwa bobezi za upasuaji wa...
  13. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Boma linauzwa Boma Ng'ombe kwa Wasomali

    Habari za wakati huu; Kutokana na dharura hili eneo lipo Sokoni. Eneo Lipo Boma Ng'ombe kwa Wasomali Eneo lina Boma kama linavyoonekana pichani lenye vyumba 3 sebule Jiko na Dining. Pia kuna boma dogo la vyumba viwili na sebule lipo jirani. Nyumba ziko kwenye eneo la ukubwa wa 23 kwa 17 Meters...
  14. JamiiForums Tanzania Prof. Janabi akieleza Jinsi Serikali inavyochangia utoaji huduma za Figo

    Serikali imeweka mchango mkubwa katika utoaji huduma za matibabu kwa wagonjwa wa figo katika ngazi mbalimbali nchini kuanzia kwenye kusomesha watalaamu, miundombinu na mashine za usafishaji damu hadi upandikizaji. Hayo yamesemwa leo na Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH)...
  15. JamiiForums Tanzania Udhalimu kwenye huduma za Afya, watoa huduma wengi Matapeli // Sakata la Mwakinyo

    Nina mada mbili leo acha niziseme tu maana binafsi zinanikwaza sana na kunifanya nione dunia imejaa maadui na watu wabaya. Tumekuwa na kawaida ya kutoa lawama na kashfa kwa serikali, lakini Watanzania naomba tukumbuke kuwa waliokaa kwenye uwongozi ni sisi hao hao Watanzania Tamaa ya fedha...
  16. JamiiForums Tanzania Je, kwanini Tanzania hatupati huduma ya starlink nini shida?

    Wenzetu Malawi wameshaanza kutumia huduma ya starlink toka mwezi July sisi Tanzania tunasubiri nini au waziri wa mawasiliano anakazia ni nini hasa?
  17. B

    JamiiForums Tanzania Huduma za Computer

    Tunafanya huduma zifuatazo Kwa Bei nafuu zilizo na ofa za kutosha :- 1. Windows installation ( 10, 11) - 20,000 Tsh Utapata ofa ya - ms office activated - windows activation - na basic software 2. Linux installation for all distro (cent os, Ubuntu, parrot, kali Linux) - 25,000 Tsh 3...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza pata huduma ya kutengenezewa design yangu ya chupa za plastiki?

    Wapi naweza pata huduma ya kutengenezewa aina ya chupa za plastiki design ninayoitaji mwenyewe?
  19. M

    JamiiForums Tanzania Ni huduma gani zinafanyika mtandaoni?

    Huduma zipi zinatolewa online nataka kujua ili hata mtu mwenye computer na printer aanze biashara. Mfano: Rita- vyeti vya kuzaliwa
  20. JamiiForums Tanzania DOKEZO Watoa huduma wa Zahanati ya Mianzini ni jipu. Wizara ya Afya ikaangalie wanachofanyiwa Wajawazito

    Kuna hii Zahanati ya Serikali ipo Mburahati hapa Dar es Salaam, inafahamika zaidi kwa jina la Zahanati ya Mianzini, kiukweli huduma zao ni mbovu sana hasa kwa hawa mama zetu Wajawazito. Awali nilikuwa nasikia tu taarifa hizo kuhusu madai hayo lakini nimeshuhudia mimi mwenyewe, nilienda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…