Nimegundua janja ya kampuni hii ya Vodacom kuwaungaisha kwenye huduma zenye makato ya fedha bila wateja wenyewe kuwa wamejiunga kwa ridhaa yao. Nimeshangaa sms imeingia kwenye simu yangu kutoka Vodacom kunijulisha nimefanikiwa kujiunga na huduma ya chekecha hesabu na nitakatwa sh200 Kwa siku Tena kupitia akaunti ya m-pesa.
Nikajaribu kutafuta customer care nijaribu kuwauliza kuhusu kuunganishwa na huduma ambazo sizihitaji wala siku apply. Sikufanikiwa kuongea na mhudumu kutokana na utaratibu wao kuchagua huduma mbalimbali Kwa kupiga *149*01# na options nyinginezo na ndizo nilizotumia na kujiondoa kwenye hiyo huduma ya chekecha hesabu.
Na ktk kupekua huduma nilizounganishwa nikakuta pia niliunganisha kwenye huduma ya BRT ambayo hata sijui inahusika na Nini na makato yake ni sh200 hadi 800 kwa mwezi kutegemea na chaguo lako. Sasa sijajua Mimi ninakatwa sh ngapi kwenye huduma hiyo.
Na kila nilijaribu kujiondoa wanamjibu mtoa huduma hiyo hapatikani kwa sasa, kuashiria ni zuio la makusudi ili mteja asijitoe na mtoa huduma aendelee kukata fedha. Management ya Vodacom liangalieni hili jambo Maana hii ni hujuma kwa wateja wenu.