huduma

Huduma Kenya Programme is a Kenya Vision 2030 flagship project captured under the Mid Term plan for 2013 – 2017. The Programme was launched by H.E Uhuru Kenyatta, President of the Republic of Kenya, on 7 November 2013 which coincided with the launch of the first Huduma Centre in Kenya at GPO Nairobi.
The aim of the Huduma Kenya program is to enhance the access and delivery of Government Services to all Kenyans. Ministry of Public Service, Youth and Gender Affairs is coordinating implementation of the Programme.c.Through the Huduma Kenya initiative, Kenya has been able to launch a Huduma Namba, which is equivalent to the US's Social Security Number (SSN).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania RC wa Arusha atembelea Maadhimisho ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongela (katikati), akiwasili katika Viwanja vya Sheikh Amri Abeid jijini Arusha yanapofanyika Maadhimisho ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa, yenye kauli mbiu “Elimu ya Fedha, Msingi wa Maendeleo ya Uchumi”. Kushoto ni Kamishna Msaidizi wa Idara ya Uendelezaji wa...
  2. JamiiForums Tanzania ATM Maalum ya kutolea Huduma za Vipimo vya Maambukizi ya Virusi vya Ukimwi VVU yazinduliwa Mbeya

    ATM maalum ya kutolea huduma za vipimo vya maambukizi ya Virusi vya Ukimwi VVU ijulikanayo kwa jina la “Jipime”, ( HIV Self Testing) imezinduliwa Jijini Mbeya kwa lengo la kuhamasisha wananchi kupima na kutambua afya zao ili kujilinda dhidi ya maambukizi mapya ya virusi hivyo. Huduma hiyo...
  3. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel: Viongozi wa Sekta ya Afya simamieni ubora wa Huduma za Afya Nchini

    Naibu Waziri wa Afya Dk. Godwin Mollel, amewataka Waganga Wakuu wa Mikoa na Wilaya kuhakikisha wanasimamia ubora wa huduma katika Hospitali na Vituo vya kutolea Huduma za afya na kuhakikisha wanawajengea uwezo watumishi ili kuepuka changamoto na uzembe unaofanywa na baadhi ya wataalamu wa afya...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB yafungua tawi wilayani Magu mkoani Mwanza kusogeza huduma kwa wananchi

    Magu. Tarehe 17 Novemba 2023: Siku chache baada ya kubeba tuzo za huduma bora na mtandao mpana wa mashine za kutolea fedha zinazotoa huduma, Benki ya CRDB imefungua tawi lake jipya wilayani Magu mkoani Mwanza. Tawi hilo linaloifanya Benki ya CRDB kufikisha matawi 262 nchini kote, lilizinduliwa...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Tunaishukuru MWAUWASA kwa huduma nzuri ya maji kinyume na siku za nyuma

    Binafsi niwashukuru sana MWAUWASA kwa kurudisha huduma ya maji ambayo ni endelevu kwa sasa kwa maeneo mengi Jijini Mwanza. Hongereni sana. Mjitahidi kuwa na huduma ambayo ni endelevu kwa maeneo mengi jijini Mwanza ili wananchi tuwe na imani na Mamlaka yetu. Asanteni sana.
  6. JamiiForums Tanzania Nina haja ya dhati Lamomy wa JF kwenye maisha na huduma yangu daima

    Namshukuru Mungu kwa ajili ya yako na yangu, kwa wasaa huu muhimu, ambao ni zawadi kutoka kwa Mungu kwetu sisi sote. Tumeipewa zawadi hii bure na tuitumia bure, na kwahivyo yatupasa kuitumia vizuri kadiri tuwezavyo na kwa uaminifu, huku tukimshukuru yeye pekee daima, kila wakati tunapopata...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Je naweza kupata huduma ya E-sim kwa simu ya namna hii?

    Habari waungwana! Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza. Nahitaji kutumia huduma ya E-sim ambayo siku hizi makampuni yetu ya huduma za mawasiliano yameileta nchini. Je, kwa simu aina ya samsung A04 ina support kupata huduma hii? Nimeona nije kwa wajuzi wa haya mambo. Karibuni kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Dkt. Mwamwaja: Ni 53.8% tu ya nguvu kazi ndio wanatumia Huduma rasmi za Fedha

    Kamishna wa Uendelezaji wa Sekta ya Fedha, Dkt. Charles Mwamwaja, akionesha Nyenzo ya Kufundishia Elimu ya Fedha, wakati wa mkutano na waandishi wa Habari ulioangazia Maadhimisho ya Wiki ya Huduma ya Fedha Kitaifa, uliofanyika jijini Dodoma. Serikali imekusudia kuhakikisha Wananchi wengi...
  9. JamiiForums Tanzania Tanga: Mjamzito afariki dunia kituo cha afya kwa kukosa Tsh. 150,000

    Mama mjamzito, Mariam Zahoro (30) Mkazi wa Kijiji cha Mumbwi Wilayani Handeni, Tanga amefariki dunia akiwa kwenye Kituo cha Afya Kabuku kilichopo Wilayani humo ikidaiwa kuwa alikosa huduma ya upasuaji baada ya kushindwa kulipa Tsh. 150,000 alizotakiwa kutoa kwa ajili ya huduma hiyo. Tukio hilo...
  10. JamiiForums Tanzania Hizi ni huduma ambazo Serikali ingetakiwa izitoe bure kabisa

    Hizi hapa ni huduma ambazo serikali ilitakiwa izitoe bureee kabisaa, Kuingiza umeme kwenye makazi na biashara, ukimuuliza kila mtu gharama alizotumia kuingiziwa umeme kila mtu atakupa ya kwake, Ikiwa gharama rasmi ya serikali inajulikana mfano 27000 lakini mtu anatumia 150000 inaenda kwa mtu...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Kama unaitaji huduma ya kupikwa njoo dm

    Otikii🤣😁😁
  12. JamiiForums Tanzania KCMC na TPC waungana kutoa huduma za kitabibu

    MADAKTARI BINGWA KCMC KUTUOA HUDUMA ZA KIBINGWA HOSPITAL YA TPC Moshi. Hospital yenye hadhi ya nyota nne inayomilikiwa na kiwanda cha Sukari cha TPC,ipo katika hatua za mwisho kukamilisha mchakato wa kuingia makubaliano ya ushirikiano na Hospital ya Rufaa ya KCMC kwa ajili ya kutumia madaktari...
  13. JamiiForums Tanzania Mbunge Mkundi: Serikali iwekeze kwenye huduma za Kijamii

    Mbunge wa jimbo la Ukerewe (CCM), Mhe. Joseph Mkundi ameishauri serikali kuwekeza katika huduma za kijamii ili kukuza uchumi wa taifa. Mhe. Joseph Mkundi ameyasema hayo Novemba 7,2023 bungeni jijini Dodoma wakati akichangia mapendekezo ya mwongozo wa maandalizi ya mpango na bajeti ya serikali...
  14. JamiiForums Tanzania Dar: Kijana ashushiwa kipondo na Dada poa baada ya kushindwa kulipia huduma

    Kama Kuna Watu wako hatarini kutoweka ni wanaume halisi.....jamaa kapokea kipondo heavy baada ya kushindwa kulipia huduma ya dada poa. WENYEWE WAJITETEA KUWA NI MAIGIZO, SIO UHALISIA. JAPO WAMESHINDWA KUSEMA NI MAIGIZO YA KIKUNDI GANI NA MAUDHUI YAKE NI NINI ......
  15. N

    JamiiForums Tanzania KERO BRELA huduma zao mbovu hadi uwahonge pesa ndio wanakamilisha kazi yako

    Ndugu zangu watanzania, sisi wajasiriamali tunaojaribu kufuata sheria na kuwa complied na sheria za Nchi tunapitia mengi sana. Wakati wa JPM ulikuwa ukifanya returns BRELA au mabadiliko yoyote kwenye kampuni yako ulikuwa unapata huduma kwa haraka sana. Nina miezi mitatu nimefile BRELA returns...
  16. JamiiForums Tanzania Serikali yasaini mikataba ya Tsh. Bilioni 43.3 kuboresha Taasisi 661 ili kurahisisha Huduma kwa Wananchi

    Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imeingia mikataba miwili yenye thamani ya Shilingi Bilioni 43.3 kwa ajili ya kuboresha miundombinu ya kimtandao kwenye Taasisi 661 za Serikali ili kurahisisha huduma kwa Wananchi ambao walikuwa wanakutana na changamoto kubwa wanapohitaji...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia afanya Mazungumzo na Katibu Msaidizi wa Umoja wa Mataifa Anayeshughulikia Masuala ya Kibinadamu na Naibu Mratibu wa Huduma za Dharura

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Katibu Msaidizi wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia Masuala ya Kibinadamu na Naibu Mratibu wa Huduma za Dharura Bi. Joyce Msuya, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 6 Novemba, 2023.
  18. H

    JamiiForums Tanzania Kutuma pesa mitandao ya simu ya Tanzania ukiwa Kenya

    Habari wana JF Naomba uzoefu Kwa mtu ambaye amekuwa akisafiri kwenda Kenya na ana akaunti NMB je akiwa Kenya aliweza kutumia huduma za kwenye app ya NMB mfano kutuma pesa kwenda mitandao ya simu? Kwa kifupi issue yangu iko hivi nina akaunti NMB nitaenda Kenya hivi karibuni nikiwa huko nitakuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali kupeleka huduma ya usafiri wa dharula kwenye maeneo yasiyofikika

    SERIKALI KUPELEKA HUDUMA YA USAFIRI WA DHARULA KWENYE MAENEO YASIYOFIKIKA NAIBU Waziri TAMISEMI (Afya), Mhe. Dkt. Festo Dugange amesema Serikali kwa kushirikiana na Wizara ya Afya imeandaa mpango mkakati madhubuti utakaoyawezesha maeneo magumu kufikika kupata huduma za usafiri wa dharura pindi...
  20. JamiiForums Tanzania Serikali yasitisha huduma za TIA SMILE Massage & SPA kwa kukiuka Sheria

    Ni uamuzi wa Serikali kupitia Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Doroth Gwajima ikiwa ni baada ya Video ya Tangazo la huduma za 'Massage' iliyowekwa Mitandaoni, kuripotiwa kuwa ina Vitendo vilivyo kinyume na maadili. Kwa mujibu wa taarifa ya Wizara hiyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…