Huduma gani ya Virtual US address bora for shopping?

Nafaka

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
12,156
31,049
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema, ni huduma gani ambayo inatoa virtual US addresa bora na affordable for package consolidation kwa ajili ya shopping?
Nataka nikinunua vitu amazon viende huko zikifika package zote ndio waziship kuja kwangu. Na je, wakati wa shipping mimi ndio nachagua aina ya shipping au wao?
Chief-Mkwawa, unafahamu webcam external nzuru ambayo ni 4k yenye features za kumtrack mtu na features za zoom nayoweza kuitumia kurekodi lessons nikiwa nimesimama kwenye whiteboard.
 
Shop and Ship kama unataka support hapa Tanzania, huchagui Aina ya Shipping, pia Amazon wenyewe wanaship ila bei ghali kidogo. Yupo pia Mwl.RCT. Kama hujali mzigo kukaa muda mrefu sana zipo Shipping za Bei rahisi zaidi.
 
Unaweza kutumia proffesional Camera kama Sony ZV1 sema itaku cost hela za kutosha, alterntive tumia Webcam toka proved brand kama Logitech Brio 4k ama Nexigo iris. Hapo kwenye kutract sijaelewa unamaanisha ina track automatic? Ukitembea nayo izunguke ama?
 
Asante mkuu, nlikosea kutype nlimaanisha kumtrack. Kuna webcam moja niliona siikumbuki jina ina track gestures za mkono kuna gesture ukiifanya inakuwa inakutrack wewe so kama unafundisha ukihama inahama na wewe halafu kuna gesture ukiipa inazoom ile whatboard so inakuwa inaonyesha maandishi yaliyopo kwenye whiteboard. Nlikutana nayo ebay na bei yake ilikuwa less than 150 dollars... Kuna webcam unaifahamu yenye features kama hizo.
 
Nimeipenda hii post, ni constructive thinking
 
Asante mkuu, nlikosea kutype nlimaanisha kumtrack. Kuna webcam moja niliona siikumbuki jina ina track gestures za mkono kuna gesture ukiifanya inakuwa inakutrack wewe so kama unafundisha ukihama inahama na wewe halafu kuna gesture ukiipa inazoom ile whatboard so inakuwa inaonyesha maandishi yaliyopo kwenye whiteboard. Nlikutana nayo ebay na bei yake ilikuwa less than 150 dollars... Kuna webcam unaifahamu yenye features kama hizo.
Kwa hizi feature nimeona hii

Sema bei ni tofauti na uliyosema, hio ina gestures za whiteboard, kuzoom, Auto focus etc.

Dell ultrasharp webcam ni alternative sema sijaona hio whiteboard ila ina track na kuzoom bila shida angalia hapa

Uzuri wa Dell ni kampuni kubwa hawana njaa ukienda Ebay bei chee hadi $120 mpya

Pia consider Remote kama Ai inakua ghali sana.
 
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema, ni huduma gani ambayo inatoa virtual US addresa bora na affordable for package consolidation kwa ajili ya shopping?
Nataka nikinunua vitu amazon viende huko zikifika package zote ndio waziship kuja kwangu. Na je, wakati wa shipping mimi ndio nachagua aina ya shipping au wao?
Chief-Mkwawa, unafahamu webcam external nzuru ambayo ni 4k yenye features za kumtrack mtu na features za zoom nayoweza kuitumia kurekodi lessons nikiwa nimesimama kwenye whiteboard.
niliambiwa nicheck myus (website) na dikena (insta) japo sijawahi kuwatumia
 
Kwa hizi feature nimeona hii

Sema bei ni tofauti na uliyosema, hio ina gestures za whiteboard, kuzoom, Auto focus etc.

Dell ultrasharp webcam ni alternative sema sijaona hio whiteboard ila ina track na kuzoom bila shida angalia hapa

Uzuri wa Dell ni kampuni kubwa hawana njaa ukienda Ebay bei chee hadi $120 mpya

Pia consider Remote kama Ai inakua ghali sana.

Asante sana mkuu. Hii ni useful ngoja niipitie asante sana
 
ina track gestures za mkono kuna gesture ukiifanya inakuwa inakutrack wewe so kama unafundisha ukihama inahama na wewe halafu kuna gesture ukiipa inazoom ile whatboard so inakuwa inaonyesha maandishi yaliyopo kwenye whiteboard.
  • insta360 Link ( Hii ni bora zadi, inakidhi mahitaji yako)
  • Obsbot Tiny 4K

Hizi zote zina whiteboard mode, na zinafanya kazi kwa jinsi unavyohitaji, Angalia amazon utapata
 
Nataka nikinunua vitu amazon viende huko zikifika package zote ndio waziship kuja kwangu. Na je, wakati wa shipping mimi ndio nachagua aina ya shipping au wao?
1687257627815.png

=
Hawa reship watakidhi hitaji lako
 
Asante kwa tip mkuu
Muhimu | Chagua forwarder zaidi ya mmoja, kisha angali sehemu ya calculator, fanya utafiti, & then chagua yule mwenye:
  • Ghalama nafuu ukilinganisha na wengine
  • Awe na shipping option nyingi zaidi | Kila shipping option huwa imewekewa ghalama yake kulingana na taarifa za mzigo utakazojaza kwenye calculator.
 
  • insta360 Link ( Hii ni bora zadi, inakidhi mahitaji yako)
  • Obsbot Tiny 4K

Hizi zote zina whiteboard mode, na zinafanya kazi kwa jinsi unavyohitaji, Angalia amazon utapata
Asante sana mkuu
 
Muhimu | Chagua forwarder zaidi ya mmoja, kisha angali sehemu ya calculator, fanya utafiti, & then chagua yule mwenye:
  • Ghalama nafuu ukilinganisha na wengine
  • Awe na shipping option nyingi zaidi | Kila shipping option huwa imewekewa ghalama yake kulingana na taarifa za mzigo utakazojaza kwenye calculator.
samahani, ukishalipa hizo fees kuna extra fees unazolipa mzigo ukifika dar? hasa kwa dhl
 
Back
Top Bottom