huduma

Huduma Kenya Programme is a Kenya Vision 2030 flagship project captured under the Mid Term plan for 2013 – 2017. The Programme was launched by H.E Uhuru Kenyatta, President of the Republic of Kenya, on 7 November 2013 which coincided with the launch of the first Huduma Centre in Kenya at GPO Nairobi.
The aim of the Huduma Kenya program is to enhance the access and delivery of Government Services to all Kenyans. Ministry of Public Service, Youth and Gender Affairs is coordinating implementation of the Programme.c.Through the Huduma Kenya initiative, Kenya has been able to launch a Huduma Namba, which is equivalent to the US's Social Security Number (SSN).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Serikali iingilie kati Makanisa ya Miujiza? Watanzania masikini wa kutupwa wanakamuliwa mamilioni kwa utapeli huku wahubiri wakigeuka mamilionea

    Wanabodi Kama kawa kila nipatapo fursa huja na makala zangu elimishi za kwa maslahi ya taifa. Topic ya leo, ni kutoa wito kwa Serikali yetu kuingilia kati kitu kinachoendelea kwenye baadhi ya makanisa ya wakovu yanayojinasibu kufanya miujiza, kutoa mapepo, kutoa uchawi na kufanya miujiza ya...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB yapata Cheti cha Viwango vya Kimataifa cha Usimamizi wa Huduma za TEHAMA ISO 20000-1:2018

    Dar es Salaam 11 Desemba 2023 – Benki ya CRDB leo imekabidhiwa cheti cha viwango vya Usimamizi wa Huduma za TEHAMA cha ISO 20000-1:2018 kilichotolewa na Shirika la Viwango la Uingereza (BSI). Cheti hicho kimekabidhiwa katika hafla fupi iliyofanyika Makao Makuu ya Benki yaliyopo barabara ya Ali...
  3. M

    JamiiForums Tanzania CRDB sim banking huduma ya ovyo inayowalaza njaa wateja wao kila siku

    Benki ya isiyojali na kufikiria kero za wateja wao ni hii bank. Hawafai basi tu. Kila siku app ina matatizo huku wateja wakilala njaa kwa kukosa huduma.
  4. S

    JamiiForums Tanzania SuperFeo ya Songea-Arusha-Moshi huduma zenu ni mbovu mabasi yenu yamechoka

    Hii kampuni ya SuperFeo ruti tajwa hapo juu mabasi yake yamechoka. Yutong ya tangia mwaka 2020 mpaka leo tunaelekea 2024 unategemea nini. Halafu hawa mabasi ya kutosha, fikiria basi lililotoka jana Moshi saa 12 na kufika Songea saa 8 usiku, saa 10 leo igeuze tena kwenda Moshi. Kweli tuko...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ongezeni mabasi ya kutoa huduma ya usafiri DART Stendi Kuu ya Kimara Mwisho, watu ni wengi na mabasi ni machache

    Kero ya usafiri Kimara Termina ni kubwa sana muda wa kuanzia asubuhi mpaka saa 6 mchana. Msongamano wa watu ni mkubwa sana na mabasi yenu ni machache. Toeni tenda watu binafsi waingize mabasi kwenye hii njia yenu, maana inaonekana kazi imewashinda.
  6. JamiiForums Tanzania Sawa nauli zimepanda lakini zinaendana na ubora wa huduma?

    Shime wanajanvi, Tarehe nane inakaribia, tutaanza kulipa nauli mpya za daladala na mabasi ya mikoani. Tumeambiwa wadau walitoa maoni yao nchi nzima mimi sikuhojiwa. Ningehojiwa nisingeafiki hata kidogo, sababu ninazo lukuki tena zenye mashiko hasa kwa daladala; huduma ni mbovu mnoo, mbovu sana...
  7. JamiiForums Tanzania Karibu ujionee bidhaa na huduma mbalimbali tunazotoa

    Habari ya muda huu wakuu, naimani tuko wazima. Karibuni sana NGC inapatikana uwanja wa ndege/Kipawa barabara ya karakata karibu na hotel ya New FQ hotel. S L P 70478 DSM Email : info@nairagroup.co.tz Website: www.nairagroup.co.tz Tunauza bidhaa MBALIMBALI na huduma, kama ifuatavyo 1. Nguo za...
  8. JamiiForums Tanzania Pata huduma bora ya usafi Mwisho wa mwaka

    Karibu kupata huduma ya usafi kipindi hiki cha mwisho wa mwaka. Ninajivunia kutoa; Usafi wa kina, utapata usafi thabiti na wa kina katika kila kona ya nyumba yako. Muda ufaao, Ninazingatia muda wako mteja, yaani nakuletea huduma ya usafi bila usumbufu. Fanya sikukuu zako ziwe zenye furaha...
  9. JamiiForums Tanzania Ahadi za Viongozi kuhusu kuanza kwa Huduma za Usafiri wa Treni ya SGR zimedumu kwa miaka 5 na bado haijaanza kazi

    Kwa takriban miaka 5 kumekuwa na ahadi kutoka kwa Mamlaka mbalimbali juu ya kuanza kwa huduma za usafiri wa Treni yenye Kasi zaidi (SGR) lakini utekelezaji wake umekuwa na mabadiliko ya muda mara kwa mara yanayotajwa kusababishwa na kutokamilika kwa baadhi ya Miundombinu. Hapa kuna mtiririko wa...
  10. JamiiForums Tanzania Kampuni gani ni bora kwa huduma za web hosting Tanzania?

    Habari zenu wadau Nimekuja hapa nahitaji muongozo wenu nijue kampuni gani inafaa za hii huduma web hosting hapa Tanzania Ninataka nifungue site yangu kabla sijakulupuka nimeona ni vyema nipate muongozo
  11. JamiiForums Tanzania UDART kama mna nia ya kutoa huduma toeni hizi nauli ni upokaji

    Unavailable wazungu si ndio badi kuweni na utu. Jambo moja msilolijua nchi za mabepali, wanatufanyia ubepali wageni. Lkn kwa raia wao wanafanya welfare huduma kwa wananchi. Istoshe hata sie wageni tunapoingia mataifa haya tunaona. Tiketi ya mkato mmoja itumike kwa masaa kwann nikate kila mara...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini wafanyakazi wengi wa Serikali wanapenda kutengeneza mazingira ya kupewa hela katika huduma wanazotoa?

    Mzuka, Hivi ni Serikali haiwalipi watumishi wake au shida ni nini? Yaani unaenda kufata huduma ofisi za Serikali lakini mtoa huduma muda wote anatengeneza mazingira ya kupewa hela (rushwa). Ofisi imeandikwa kabisa huduma hiyo ni bure lakini yeye anataka umpe hela akusaidie wakati hilo ndo...
  13. JamiiForums Tanzania Kitengo cha Huduma kwa Wateja TANESCO kinafanya kazi chini ya kiwango

    Moja kati ya changamoto kubwa ambayo Watanzania tunayo kwenye huduma zenu ni kuhusu kuwahudumia wateja au watu wenye uhitaji. Niende moja kwa moja kwenye hoja yangu ya msingi, kwa miezi kadhaa nimekuwa nakwaruzana na watu wa TANESCO kuhusu huduma kwa wateja “Customer Service”. Inawezekana...
  14. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Huduma mbovu Hospitali ya Rufaa Ligula - Mtwara

    Kuanzia mapokezi, Dirisha la Malipo - hapa ndo pana shida mnooo😭😭, unayezilipa shida ni kurudi tena ili risiti iingizwe kwenye mfumo. Unaeza kaa hata masaa ma tatu hafi 10.na ukirudi tena siku nyingine unaambiwa risiti imetumika imeisha muda wake so that you must pay it again 😭. Mtandao wao...
  15. JamiiForums Tanzania Huduma kwa Wateja TANESCO yaelemewa, Simu zinazopigwa ni 40,000 zinazopokelewa ni 12,000 tu kwa siku

    Imebainika kuwa kati ya Wateja 10 wanaopiga Simu Huduma kwa Watje TANESCO, ni Wateja Watatu pekee wanaoweza kusikilizwa kwa siku katika kituo cha huduma kwa wateja cha Shirika la hilo la Umeme. Hali hiyo imefanya Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga kutaka mikakati ya muda mfupi kuboresha...
  16. JamiiForums Tanzania Snipa White Hacky "SWH" huduma ya kudukua website yako kwaajili ya usalama

    Habari Wana jukwaa snipa white hacky "SWH" ni kikundi Cha vijana kinachojihusisha na kuangalia udhaifu wa website pamoja na system mbalimbali ili kuweza kugundua udhaifu wa system au website na kutoa taarifa kwa mmiliki. Huduma hii itamwezesha mmiliki au wamiliki wa website au system husika...
  17. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Kituo cha Afya Zamzam (Bukoba) kuna huduma mbovu, Watumishi wanatengeneza mazingira ya Rushwa

    Kituo cha Afya Zamzam kilichopo Manispaa ya Bukoba huku Mkoani Kagera kinatoa huduma mbovu sana upande wa afya, hasa kwa Wanawake Wajawazito. Haijalishi kama una kadi ya Bima au la, bado huduma zao ni mbovu hasa upande wa Wodi ya Wajawazito. Watumishi wa Kituo hicho cha Serikali ambacho pia...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi Huduma za Afya za Bure kwa Wazee zinatolewa kwenye Hospitali gani? Mbona kila napoenda nakuta Wazee wanalipishwa tu

    Licha ya Serikali kutoa maelezo kuwa Huduma za Afya kwa Wazee zinatolewa Bure kwenye Vituo vya Afya, uhalisia katika utekelezaji wake umekuwa haueleweki na hivyo, kusababisha kero kwa Wazee wanaofika katika baadhi ya Vituo kupata Huduma. Mamlaka zitoe maelekezo sahihi kuhusu Huduma hizo kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Watoa huduma za fedha punguzeni riba ili wananchi wengi watumie huduma za fedha zilizo rasmi

    Waziri mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa watoa huduma za kifedha wapunguze gharama za upatikanaji wa huduma za fedha zikiwemo riba na ada ili wananchi wengi watumie huduma za fedha zilizo rasmi. Wito huo umetolewa leo (Jumatano, Novemba 22, 2023) wakati anafungua Wiki ya Huduma ya Fedha...
  20. JamiiForums Tanzania Kuweni makini na vibanda vya huduma ya pesa kwa njia ya simu, wengi hutoa hela mbovu

    Ni kama vile huwa wanaambiana au wanapeana semina. Hii imenitokea mara nyingi mpaka nilipo anza kuchukua tahadhari. Hii inawahusu zaidi wanao toa kuanzia laki 2, 3 na kuendelea lakini pia hata wanao toa chini ya hapo inawahusu pia. Ni hivi ukienda kutoa hela kuanzia lets say laki 2 au 3...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…