hovyo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Juma Nkamia: Hayati Magufuli alitaka nifukuza CCM, kwakuwa alipenda sifa nikaja na hoja ya miaka 7 ya Urais

    Aliyekuwa Mbunge wa Chemba mkoa wa Dodoma amenukuliwa na Dar Mpya (blog) akisema kuwa alikataa Muswada wa Habari ambao ulilenga kuweka mazingira magumu kwa waandishi wa Habari. Namnukuu Magufuli alitaka kunifukuza @ccm_tanzania baada ya kukataa muswada wa habari ambao ulilenga kuwakandamiza...
  2. Ileje

    JamiiForums Tanzania Kiongozi aliyehujumu na kuua kiwanda cha TIPER ni wa ovyo kuwahi kutokea Tanzania

    Katika utawala wa Mwalimu Nyerere Tanzania tulikuwa na kiwanda cha kusafisha mafuta ghafi ambacho kilikuwa kinazalisha petroli, dizeli mafuta ya taa, lami nk. Kwa hiyo nchi ilikuwa ikinunua mafuta ghafi kwa bei nafuu na kuyasafisha kwa gharama nafuu na kufanya bei ya mafuta kuwa nafuu kwa...
  3. 2019

    JamiiForums Tanzania Airtel mtandao wa ovyo sana, mawingu kidogo tu hakuna huduma

    Hata kama wamepata balozi mzuri wa kuwatangazia matangazo yao tatizo sio matangazo bali ni huduma. Airtel money changamoto,kama una haraka huwezi kutoa pesa fasta ukaondoka. Kupiga simu,wanatoa dk nyingi sana za kuwasiliana lakini unaweza kutumia dk mpaka 5 hamuelewani mnabaki kuulizana...
  4. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Msiwe watu wa kupayuka ovyo, kama kuna ufisadi ulifanyika awamu ya tano wekeni ushahidi wazi. Tuambieni namna pesa zilivyokwapuliwa na zilipofichwa

    Mbona mnakuwa kama watoto wadogo? Mmesahau namna sakata la Escrow lilivyowekwa wazi? Tuliambiwa pesa namna zilivyo kwapuliwa na hata zilikofichwa. Vivyohivyo hata sakata la Kagoda na Epa. Mnadai kuna ufisadi mkubwa ulitokea awamu ya tano. Tuambieni namna pesa zilivyokwapuliwa , nani alikwapua...
  5. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Hoja alizoibua CAG sio ufisadi mpaka zikose majibu

    Upuuzi ni ile hali ya kutotumia busara muda wote na kujadili ujinga ili hali unatakiwa kujadili masuala ya msingi. Utaratibu wa kufanya auditting unajulikana dunia nzima. Mkaguzi huibua hoja anapokuwa anafanya kaguzi. Hoja hizi mara nyingi huwa ni mashaka juu ya muamala uliofanyika na mara...
  6. Equation x

    JamiiForums Tanzania Ukitoa namba ya simu na usipotafutwa potezea; amekuepusha kwenye matumizi ya ovyo

    Wengi tunajua mahusiano ni gharama, hasa kwa upande wa wanaume. Kutumia maelfu, milioni n.k ni kitu cha kawaida kwenye mahusiano. Mbaya zaidi, ufujaji wa hizo fedha hauendani na uingiaji wa hizo fedha katika akaunti yako. Utokaji unakuwa ni mkubwa sana kuliko uingiaji. Tunajua ni hisia pamoja...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Dstv kumbe hamna kitu, ni hovyo.Hongera Azam.

    Kwa gharama za vifurushi vyao kuacha kuonesha mechi kali kama za leo(kutoka Afrika) za kufuzu world cup ni kutothamini wateja. Congo vs Morroco Cameroon vs Algeria Ghana vs Nigeria Mechi kama hizi hamuoneshi mnabaki kuonesha mi mbio ya baiskeli, jirekebisheni.
  8. Bani Israel

    JamiiForums Tanzania Azam kupandisha bei za vifurushi kuanzia tarehe 1 Aprili, 2022

    Ndugu mteja, kuanzia 01/04/2022, kuna mabadiliko ya bei kwa baadhi ya vifurushi; cha 20,000 kuwa 23,000; 13,000 kuwa 15,000; 4,000 kuwa 5,000: na 800 Kuwa 1000. Vita ya Urusi na Ukraine inatuonyesha mambo.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu Mtangazaji Orest Kawau niliyemjua akiwa Smart alipokuwa Magic FM ndiyo huyu wa ovyo aliyeko Wasafi FM sasa?

    Na kama ni Yeye je, kabla ya ile Segment yao ya Magazeti Kuanza pale Wasafi FM kila Asubuhi huwa Kwanza anavuta Bange au huwa anakunywa labda Gongo kidogo? Simzungumzii Mtangazaji Mwenzake wa Usomaji Magazeti Hillary Daud ( Zembwela ) kwakuwa tangia alipokuwa Comedian na Marehemu Max nilijua...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Napendekeza Suzan Kaganda awe IGP ajaye

    Ingekuwa maoni yangu! Ningeshauri nafasi ya IGP ateuliwe mama mmoja anaitwa SUZAN! Huyu mama ukiweka pembeni madhaifu ya kimfumo, anaouwezo mkubwa sana wa kusimamia maswala ya usalama wa raia na Mali zake! Huyu mama hapendi kabisa kuona magwanda ya jeshi yanatumiwa na watu wenye roho za...
  11. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Sikuwahi kujua kama Msemaji wa Azam ni mtu wa hovyo

    Ninaangalia wasemaji wa Simba Sc na Azam wakizungumzia mechi ya kesho kombe la mapinduzi. Huyu Msemaji wa Azam nadhani anaitwa somebody Zacharia anazungumza kama mvuta bangi. Anampangia Ahmed Ally cha kuzungumza. Anamkatiza Ahmed kuzungumza. Anajitahidi kuweka utani wa jadi lakini utani wake...
  12. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu haondolewi kirahisi mnavyodhania. Akiondolewa Baraza la Mawaziri linavunjwa lote

    Mnapiga ramli juu ya PM Kassim kuondolewa mnadhania ni rahisi kama mnavyodhania? Akiondolewa basi mtambue kuwa baraza zima linavunjwa na raisi anateua na kuapisha upya. Someni ibara ya 57(2)(e) ya katiba ya JMT na muache kukurupuka kupiga ramli za kishamba.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wana CCM wenye nia njema na taifa na uwezo wa kuwa marais, wekeni nia mapema 2025 mliokoe taifa lenu

    Ni ushauri mzuri kwa ajili ya kulikomboa taifa la Tanzania. Taifa lipo mikononi mwa watu wasiofaa kabisa. Hakuna aliyesahau ya Escrow, kagoda Richmond na ufisadi mkubwa wa kutupa kupitia Lugumi. Wenye nia ya kuwa marais ili walikomboe taifa lao kwa uzalendo kabisa waweke nia zao hadharani...
  14. 2019

    JamiiForums Tanzania Soda za twist za ovyo sana, sitakunywa tena. Wametoa chupa ambayo haisimami kwenye meza

    Hii soda ilipendwa sana tena baada ya Mo kupunguza uzalishaji wa soda zake. Ila nimekereka kitu kidogo sana, wametoa chupa ambayo haisimami kwenye meza, yaani chini haina balansi ukiweka mezani vibaya unaweza kumwaga soda yako.
  15. gimmy's

    JamiiForums Tanzania Ndugai shughulika na Tanesco Wanakata umeme hovyo pasipo ratiba Kibaigwa achana na malumbano ya mikopo ya nchi

    Wanabodi salaam, Nianze kwakusema natambua maelekezo tunayopewa kwamba nchi yetu inakumbwa na tatizo la umeme kutokana utegemezi wa umeme wa maji na kwa sasa nchi imekumbwa na hali ya ukame hivyo kuathiri upatikanaji wa umeme maeneo mengi nchini. Hata hivyo kinachoendelea kwenye Jimbo la mh...
  16. msovero

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai amesema kuna upotoshaji mwingi unaendelea nchini, adai kuna wakati sheria za hovyo zinapitishwa bungeni

    Akiwa kwenye kongamano lililokuwa limeandaliwa na vijana wenyeji wa dodoma ambapo alialikwa kama mgeni rasmi katika kongamano hilo, spika Ndugai amedai kuwa kuna upotoshaji mwingi sana unaendelea nchini. Akitolea mfano suala la yeye kupingwa, Ndugai amesema anapingwa si kwa sababu ana pungufu...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa Makocha wa 'hovyo' kama Zubeiry Katwila wa Ihefu FC kwanini Soka la Tanzania lisiwe 'bovu' na la Simba na Yanga 24/7 tu?

    "Nimeamua kuwapumzisha Wachezaji wangu mahiri wa Kikosi cha Kwanza wasicheze Mechi hii na Yanga SC ili wasubirie Mchezo wetu muhimu wa Ligi Daraja la Kwanza ili tujiweke katika nafasi nzuri ya kurejea tena Ligi Kuu mwakani" amesema Kocha Mkuu wa Ihefu FC Zubeiry Katwila. Nami GENTAMYCINE nina...
  18. Behaviourist

    JamiiForums Tanzania Inawezekana vipi Taifa linampata Rais kama huyu?

    Katika kipande kifupi cha video hapo chini Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan katika Mkutano na wadau wa Demokrasia hivi leo ametoa hotuba inayoshangaza sana. Anasema kuwa Rais akitoa kibali cha mikutano ya hadhara, Chadema wanaenda kuvunja vunja Magari pamoja na mali nyingine za uma ndiyo...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mtani wangu Kocha Minziro wa Geita Gold FC acha Kuzurura hovyo Usiku huu, kalale Kesho Unafungwa tu hata 'mroge' vipi

    Halafu hiyo Gari aina ya Harrier Nyeusi kila mara tu inakuja hapo Hotelini Kwenu inajulikana ni ya GSM inafuata nini ikiwa na hao Wazee Watatu na huyo Mmoja ana Mguu mbovu anaishi Mbagala Charambe? Kocha Minziro endelea tu Kudanganywa na hao Watu wako wa Yanga SC ila nikuonye mapema Simba SC...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Hivi Serikali ina habari juu ya upandaji hovyo ya bei ya vitu?

    Nina masikitiko sana kuhusu kupanda hovyo kwa bei ya bidhaa mbalimbali hapa nchini. Nitoe tu mifano michache niliyoyaona. Kwa siku za karibuni nilikuwa nanunua gesi ya kupikia kilo 15 kwa Tshs.51,000 leo gesi ilipoisha nikaenda kununua na nikaambiwa bei ya gesi ya kilo 15 ni Tshs.59,000...
Back
Top Bottom