hospitali ya rufaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Hospitali ya Rufaa ya mkoa Amana; Inasemekana mtambo wa kuchemshia vifaa vya Upasuaji umekufa

    Nasikia ni muda sasa umepita mtambo wa kuchemshia vifaa vya upasuaji hapo hospitali ya mkoa Amana umekufa,ili upasuaji ufanyike vifaa vinaendea kuchemshwa sehemu nyingine nje ya hospitali. Kwa ukubwa wa hopitali ya Amana,nadhani suluhisho lingetafutwa kwa haraka.Inasemekana Mashine iliyopo...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Yas Yakabidhi Msaada wa Vifaa Tiba Hospitali ya Rufaa ya Bombo Tanga

    Mkurugenzi wa Yas Kanda ya Pwani Kaskazini, Ndugu Abdul Ally(kushoto) akikabidhi msaada wa vifaa tiba kwa Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa Tanga (Bombo Hospital), Dkt. Frank Shega ikiwa ni dhamira ya Yas kuunga mkono juhudi za Serikali na Sekta ya Afya katika kufikisha huduma bora kwa...
  3. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Billioni 19.8 Zawekezwa Hospitali ya Rufaa Simiyu

    Waziri wa Afya Jenista Mhagama amezitaka hospitali zote nchini kusimamia na kulinda miundombinu iliyopo, kwa kuwa Serikali imefanya uwekezaji mkubwa katika sekta ya afya kwa kuboresha miundombinu na vifaa tiba. Waziri Mhagama amesema hayo alipotembelea Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simuyu kwa...
  4. H

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TO wa Hospitali ya Rufaa mkoa wa Rukwa anatoza mafuta lita 120 kwa ambulance kwenda Mbeya Zonal Hospital

    TO na uongozi wa hospitali hiyo wanatoza lita 120 na chakula na posho kwa kila mgonjwa kwa mgonjwa kutumia ambulance kwenda mbeya na badae kuwasilisha receipt za mafuta na kuchukua fedha hizo serikalini.
  5. Tutu kalundji

    JamiiForums Tanzania Dr.Bahati Msacky Mganga mfawidhi hospitali ya rufaa ya mkoa wa Mwanza Sekou Toure awe kioo kwa waganga Wafawidhi wote nchini. Wajifunze kwake

    Wakuu hivi katika hospitali zote za rufaa nchini Kuna hospitali yenye mganga Mfawidhi mchapa kazi asiye na makuu kama huyu mama wa kichagga? Binafsi natamani sana kuona serikali ikiwakutanisha waganga wafawidhi nchi nzima wakutane na kupigwa semina elekezi namna ya kuboresha utoaji wa huduma...
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Namtumbo: Bilioni 3.3 Zatumika Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Ruvuma

    JIMBO LA NAMTUMBO: BILIONI 3.3 ZATUMIKA UJENZI WA HOSPITALI YA RUFAA MKOA WA RUVUMA Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Ruvuma, unaendelea kutekelezwa kwa awamu ambapo hadi sasa, kiasi cha Shilingi Bilioni 3.3 kimetumika katika ujenzi pamoja na kukamilisha jengo la huduma za mionzi pamoja...
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Aysharose Mattembe Aibana Serikali Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Singida

    MBUNGE AYSHAROSE MATTEMBE AIBANA SERIKALI UJENZI WA HOSPITALI YA RUFAA MKOA WA SINGIDA Serikali imeeleza kuwa ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida inatarajiwa kukamilika ifikapo Januari 2027, ikiwa ni baada ya utekelezwaji kwa awamu tatu za mradi huo muhimu kwa huduma za afya mkoani...
  8. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Lindi: Kisa kukosa kitanda, Hospitali ya Sokoine yadaiwa kukataa kupokea mwili marehemu, wanyeshewa na mvua

    Mwanamke aliyejulikana kwa jina la Rukia Said akikadiliwa kuwa na umri wa miaka 25-30 amekutwa na umauti ndani ya basi la abiria akisafirishwa kutoka Kilwa Pande kuelekea Hospitali ya Rufaa mkoani Lindi - Sokoine kwa lengo la kupatiwa matibabu. Katika Hali isiyo ya kawaida mwili wa marehemu...
  9. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali kuanza ujenzi na ukarabati wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga (Bombo)

    Serikali kupitia Wizara ya Afya imejipanga kuanza ujenzi na ukarabati wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga (Bombo) kwa kuanzia na jengo la wodi ya mama na mtoto kabla ya mwezi Mei mwaka huu, ili kurahisisha upatikanaji wa huduma za uzazi mama na mtoto na kuwa katika muonekano mpya. Kauli hiyo...
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mhe. Ndumbaro Akabidhi Vifaa Tiba Hospitali ya Rufaa Songea

    MHE. NDUMBARO AKABIDHI VIFAA TIBA HOSPITALI YA RUFAA SONGEA Waziri wa Katiba na Sheria na Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amekabidhi vifaa tiba vya huduma ya utengemao kwa uongozi wa Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Ruvuma, iliyopo Manispaa ya Songea mjini. Mhe. Ndumbaro...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwili wa Ulomi, Mfanyabiashara aliyedaiwa kupotea wakutwa mochwari Mwananyamala

    Mfanyabiashara Daisle Simon Ulomi, aliyepotea tangu Desemba 11, 2024 amekutwa amekufa na mwili wake kukutwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mwananyamala, jijini Dar es Salaam. Ulomi aliyekuwa akifanya biashara za fedha za mitandao ya simu maeneo yaa Sinza Kijiweni na Mwenge alipotea tangu 11...
  12. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya rufaa Iringa yaanzisha huduma ya kujifungua na mwenza, ndugu au mwenza atashuhudia namna tukio la mama akijifungua

    Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Iringa imeanzisha rasmi huduma mpya ya kujifungua, huku ndugu au mweza wako akishuhudia namna tukio hilo linavyotea. Akizungumza na mwananchi ofisini kwake December 10, 2024 Mganga Mfawidhi wa hospitali hiyo Dk Alfred Mwakalebela amesema huduma hiyo ni mpya katika...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa jengo la mapumziko la Wananchi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma waanza leo Septemba 20, 2024

    Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini, Anthony Mavunde amezindua ujenzi wa jengo la mapumziko la Wananchi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma na kusema kuwa ujenzi huo ni sehemu ya utatuzi wa changamoto zinazowakabili Wananchi. Uzinduzi huo umefanyika nje ya jengo hilo ambalo kuna eneo wanakaa...
  14. Tutu kalundji

    JamiiForums Tanzania Rais Samia mtupie jicho la tatu Mganga Mfawidhi wa Hospital ya Rufaa Mwanza Sekou Toure Dkt. Bahati Msacky

    Rais Samia Suluhu Hassan kama ulivyowahi kumuamini Dr. Ummy Mwalimu kumpa mamlaka ya uwaziri kamili wa Afya nakuomba pia umchukue huyu dada Kwa maslahi mapana ya Taifa. Hata kama siyo kumpa Uwaziri kamili mpatie Unaibu au nafasi ya Ukatibu kule Wizara ya Afya. Hii ni dhahabu iliyosahaulika...
  15. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya rufaa kitete yatangaza ajira 126 za mkataba kwa wataalamu wa afya mbalimbali

    Hospitali ya rufaa kitete mkoa wa Tabora imetangaza ajira za mkataba 126 kwa wataalamu wa afya mbalimbali mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 25/06/2024.
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando: Lifti zetu hazina Changamoto kama inavyodaiwa

    Siku chache baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kudai kuwa kuna changamoto ya lifti katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando iliyopo Jijini Mwanza, hoja hiyo imejibiwa na uongozi wa Bugando. Kusoma zaidi kuhusu Hoja ya Mdau Bonyeza hapa - Uongozi wa Hospitali ya Bugando chukueni hatua za...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Martha Mariki atoa mashuka 100 katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Katavi

    Mbunge Martha Mariki Atoa Mashuka 100 Katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Katavi MBUNGE wa Viti Maalumu Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Mariki kupitia Chama cha Mapinduzi [CCM] Mkoa wa Katavi ametoa Shuka 100 kwaajili ya kuwasidia wagojwa katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Katavi na Vituo vya afya...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Barrick yaadhimisha siku ya wanawake duniani kwa kutoa msaada wa mashine ya patient monitor Hospitali ya Rufaa Mwananyamala

    Afisa Mawasiliano wa Barrick, Neema Ndossi (kulia) akikabidhi msaada wa mashine ya Patient Monitor, kwa Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Mwananyamala,Dkt. Zavery Benella.Wengine pichani ni Wafanyakazi wa Barrick alioongozana nao. --- Katika kuelekea kilele cha maadhimisho ya Siku...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mbeya yatoa ufafanuzi madai ya kukosekana kwa Mashine ya Kuchomea Taka

    Akizungumza na Jamii Forums, Afisa Mawasiliano na Uhusiano wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mbeya, Agrey Layson Mwaijande amesema: Tuna mashine mbili, moja ya mafuta na nyingine ya umeme, kupata hitilafu ni vitu vya kawaida, faida yetu ni kuwa ikiharibika moja tunatumia nyingine. Hivyo...
  20. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Huduma mbovu Hospitali ya Rufaa Ligula - Mtwara

    Kuanzia mapokezi, Dirisha la Malipo - hapa ndo pana shida mnooo😭😭, unayezilipa shida ni kurudi tena ili risiti iingizwe kwenye mfumo. Unaeza kaa hata masaa ma tatu hafi 10.na ukirudi tena siku nyingine unaambiwa risiti imetumika imeisha muda wake so that you must pay it again 😭. Mtandao wao...
Back
Top Bottom