hospitali ya rufaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. benzemah

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa Kanda ya Magharibi Kuanza Januari 2024

    Serikali imeeleza kuwa itaanza ujenzi wa Hospitali ya Rufaa Kanda ya Magaharibi ifikapo mwezi Januari mwaka 2024 Akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalu, Zainab Katimba, aliyeuliza ni lini Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Magharibi itaanza kujengwa, Naibu Waziri wa Afya, Godwin Mollel ametoa majibu...
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya Rufaa inayozinduliwa huko Lindi ilianza kujengwa 1978

    Ni vema tukaweka sawa hizi kumbukumbu, Hospitali hiyo ya Lindi inayozinduliwa leo na Rais Samia ni mipango ya Mwl Nyerere na ujenzi wake ulianza 1978. Wala halikuwahi kuwa wazo la awamu ya 6, Mradi mkubwa sana ulioanzishwa na Awamu ya 6 na ambao utakumbukwa milele kwa kuwakutanisha akina Ally...
  3. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa ufafanuzi kuhusu ukosefu wa Jengo la Kuhifadhia maiti Hospitali ya Rufaa Shinyanga

    Kufuatia taarifa iliyotolewa na mtandao wa Jami Forums Tarehe 14/07/2023 kuhusiana na upatikanaji wa huduma za Chumba cha Kuhifadhia Maiti (Mortuary) katika Hospitali mpya ya Rufaa ya Mkoa Shinyanga, Hospitali inapenda kutoa ufafanuzi kuhusu suala hili kama ifuatavyo:- Baada ya kuwepo kwa...
  4. B

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Hospitali ya Rufaa Shinyanga haina mochwari

    HOSPITALI mpya ya Rufani mkoani Shinyanga iliyopo Mwawaza Manispaa ya Shinyanga haina jengo la kuhifadhia Maiti, pamoja na kukabiliwa na upungufu mkubwa wa madaktari bingwa. Mganga Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Dk. Yudas Ndugile amebainisha hayo jana kwenye ziara ya Waziri wa Afya Ummy Mwalimu...
  5. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Baadhi ya wagonjwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro wanachangishwa fedha za mafuta ili wabebwe kwenye Ambulance

    Jambo lingine ni kuwa baadhi ya wagonjwa wanaopatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro wamelalamikia kuchangishwa fedha za mafuta katika magari ya kubeba wagonjwa kutoka hospitali hiyo kwenda kupata matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dar es Salaam. Wananchi wamesema...
  6. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wataalam wachache kwenye Huduma za CT-Scan katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro ni changamoto

    Baadhi ya Wagonjwa wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro wamelalamikia kuwepo kwa wataalam wachache wa kipimo cha CT-Scan kunahatarisha usalama wa wagonjwa wao. Wananchi hao wamesema mara kadhaa wanapofika hospitalini hapo wagonjwa wamekuwa wakichukua muda mrefu kupata matibabu huku...
  7. benzemah

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Awamu ya Sita inavyoimarisha Huduma za Afya Mkoa wa Simiyu, Hospitali ya Rufaa yakamilika

    Hatimaye Mkoa wa Simiyu unaingia katika kundi la mikoa yenye Hospitali za Rufaa hapa Tanzania: Simiyu ni miongoni mwa Mikoa ambayo ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ambayo imejengwa katika Wilaya ya Bariadi umekamilika na tayari vifaa muhimu, bora na vya kisasavimefikishwa hospitalini hapo...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Huduma za kibingwa za MOI kuanza kutolewa Hospitali ya rufaa Nkinga - Tabora

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) iko mbioni kusogeza huduma zake za kibingwa kwa wakazi wa Mkoa wa Tabora na mikoa jirani katika Hospitali ya Rufaa ya Nkinga ili kuwaondolea wananchi usumbufu na gharama kubwa kufuata huduma hizo Dar es Salaam. Mkurugenzi Mtendaji wa MOI, Dkt...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya Rufaa ya Tumbi kuanza kusafisha damu

    Wakati Serikali ikiweka mkazo katika huduma za kusafisha damu (dialysis), hospitali ya Rufaa ya Tumbi mkoani Pwani, inatarajiwa kuanza kutoa huduma hiyo Desemba 15, 2022. Hatua hiyo itapunguza adha ya rufaa kwa wagonjwa wanaohitaji huduma ya dialysis katika hospitali hiyo ambapo kwa wiki watu...
  10. Kalpana

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma (General Hospital) angalieni roho za watu

    Kuna hali ya sintofahamu hapa kwenye hii hospital sijui ni uzembe wa makusudi au hospital imekabidhiwa wanafunzi Case 1: kuna ajali ilitokea ya magari yaligongana na ktk hyo ajali kuna watu naowafahamu, wakapelekwa general abiria mmoja kati ya waliopata ajali alifika hapo hospital akiwa...
  11. Ushimen

    JamiiForums Tanzania Tangazo: Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Bugando

    Haya vijana, changamkieni fursa.....
  12. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa Mkoani Shinyanga unaenda kwa kasi

    Katika pitapita zangu Mkoa wa Shinyanga nimefika kushuhudia mradi mkubwa wa ujenzi wa Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Shinyanga kwa ujumla mradi unaenda kwa kasi ingawa baada ya kufanya mahojiano na wakazi wa maeneo hayo ya mradi wamesema mradi ulikaa siku nyingi tangu serikali ya awamu ya nne ndiyo...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Hospitali ya rufaa Mbeya yazuia maiti ya Eliezer Solomon Njole iliyopo Mochwari inayodaiwa Tsh.1,300,000/=

    Habari za mchana Wadau! Kuna tetesi kuwa Hospitali ya Rufaa ya kanda ya Mkoa wa Mbeya maarufu kama "Rufaa" imeuzuia Mwili wa Marehemu Eliezer Solomon Njole kutolewa Mochwari. Sababu inaonekana ni kushindwa kulipa deni la Tsh.1,300,000/= anayodaiwa. Je, kama kuna ukweli mliopo Mbeya tujuzeni...
  14. Gwajima

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mke wa Augustine Lyatonga Mrema afariki dunia

    Mke wa mzee Augustine Lyatonga Mrema amefariki dunia ktk hospitali ya Muhimbili alipokuwa akipatiwa matibabu ya shinikizo la damu. --- Mwenyekiti wa TLP, Augustino Mrema amepatwa na msiba wa kufiwa na mkewe Rose Mrema. Taarifa iliyotolewa kwa umma na Mrema imesema mkewe amefariki dunia usiku wa...
  15. Peter Madukwa

    JamiiForums Tanzania MTWARA: Ujenzi wa hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini wafikia asilimia 98

    Hapa chini ni Muonekano wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini inayojengwa eneo la Mitengo, Mtwara ambayo ujenzi wake umefikia 98% kwa gharama ya TSH Bilioni 15.8 ambapo itawekwa jiwe la msingi na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango Julai 26, 2021...
  16. Dogo G

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti gani kati ya Zahanati, Kituo cha Afya, Hospitali ya Rufaa?

    Waungwana hamjambo, Kuna maneno ya hizi taasisi huwa yananichanganya. Kuna tofauti gani kati ya zahanati, kituo cha afya, na hospitali ya rufaa?
Back
Top Bottom