Hongera Serikali kurudisha Ikulu Dar Es Salaam, Sasa tunakula bata jijini

Kimla

JF-Expert Member
Jun 8, 2008
3,334
5,568
Nachukua nafasi hii kuipongeza serikali kwa kuirudisha Ikulu Dar es Salaam kwa kipindi cha mwezi mzima sasa, ambapo shughuli zote kubwa za kiserikali tunazifanyia Dar es Salaam.

Hili ni jambo zuri la kupongezwa kwani hata sisi wasaidizi tunakula posho nzitonzito kwa kukaa Dar. Asante sana kiongozi wetu kwa maamuzi ya Busara
 
CCM imewatapeli wananchi wa dodoma Kuwa imehamisha makao makuu na kutumia trillion za fedha Sasa Maza ana allergy kuishi bila kuona bahari
Tunaanza kurudi Dar taratibu kimyakimya kwa kisingizo cha kuaga wafu Karimjee nakuonana na mabalozi kwa mabalozi ndo wanatuoa hera na hawataki tuhamie Dodoma, sasa kwa dhana ile ya kuimalisha mahusiano ni afadhali tuwauzi watanzania siyo.

Mabalozi wa ukaya kuwaleta Dodoma.So ikulu na viongozi wote wakubwa wanakaa dar tena kwa kilipwa posho.Hongera sana serikali ya ccm kwa maono haya
 
Hongereni sana
Sasa matumizi ya tozo yanafanya kazi, lazima badgeti ya OC itumike. Unajua sasa hivi hii korona inafanya hatusafiri nje ya nchi kama enzi za kikwete ndo maana tumehamishia shughuli Dar es Salaam kwani hapo tunaliowa posho za kufa mtu kumhudumia maza
 
Dar ndiyo mji mkuu wa Tanzania, na Tanzania ndio Dar. Dodoma haina miundombinu kama dar. Kila mtanzania hutamani afike dar, ukifika dar unaonekana umefika tanzania na ni sifa kutembelea dara urudipo mikoani. Dodoma ibaki mji wa kihistoria tu kuwa bunge hufanyia vikao vyake huko
 
Tunaanza kurudi Dar taratibu kimyakimya kwa kisingizo cha kuaga wafu Karimjee nakuonana na mabalozi kwa mabalozi ndo wanatuoa hera na hawataki tuhamie Dodoma, sasa kwa dhana ile ya kuimalisha mahusiano ni afadhali tuwauzi watanzania siyo.

Mabalozi wa ukaya kuwaleta Dodoma.So ikulu na viongozi wote wakubwa wanakaa dar tena kwa kilipwa posho.Hongera sana serikali ya ccm kwa maono haya
Hapa umeandika kitu gani?
 
Sasa matumizi ya tozo yanafanya kazi, lazima badgeti ya OC itumike. Unajua sasa hivi hii korona inafanya hatusafiri nje ya nchi kama enzi za kikwete ndo maana tumehamishia shughuli Dar es Salaam kwani hapo tunaliowa posho za kufa mtu kumhudumia maza
Hongereni,huenda nas wa pembeni tukapata nafuu
 
Me mwenyewe moyo wangu ulikua mweusi Sana serikali kuamia Dodoma nibora ibaki hapahapa Dar
 
Huyu mama hana vision yoyote wala hacommand respect kutoka wa wasaidizi wake ukianza na mawaziri wake. Sasa hivi kila mtu anajipigia tu kwa urefu wa kamba yake

CCM watafanya la maana sana kama watamuweka pembeni come 2025.
Unategemea kuna mtu atatoka ccm awe na vision!?? Pole sana
 
Back
Top Bottom