Nyumba za aina hii walengwa wengi ni watu wa ulimwengu wa pili na wa kwanza ambao wanafanya shughuli zao hapa kwenye nchi yetu iliyopo ulimwengu wa tatu.Kwa nini kichwa cha habari hukuandika kwa kiswahili...
Sawa, basi yawezekana wewe ni mtaalam wa mambo hayo ila itakulazimu uwe na mtaalam wa lugha ili uwafikie vizuri walengwa.Nyumba za aina hii walengwa wengi ni watu wa ulimwengu wa pili na wa kwanza ambao wanafanya shughuli zao hapa kwenye nchi yetu iliyopo ulimwengu wa tatu.
Vijana barubaru toleo la 2000 kupanda juu wanadhani lugha ya wakoloni ni nzuri ku brand biashara zao pasi kujua wateja wao wengi ni wabantu! Tuna safari ndefu kupata uhuru wa fikraSawa, basi yawezekana wewe ni mtaalam wa mambo hayo ila itakulazimu uwe na mtaalam wa lugha ili uwafikie vizuri walengwa.
It have; teh! Ila umeelewa - semantics vs syntax.Kwa nini kichwa cha habari hukuandika kwa kiswahili...
Si umeelewa lakini? Nina hakika angekuwa mchina ameandika hivo, wala usungeuliza wala kushangaa.Vijana barubaru toleo la 2000 kupanda juu wanadhani lugha ya wakoloni ni nzuri ku brand biashara zao pasi kujua wateja wao wengi ni wabantu! Tuna safari ndefu kupata uhuru wa fikra