home

  1. Tronics guru

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Uzi wa home appliances ndogo ndogo kama pasi, Cookers,a ir fryer, rice cookers, na vingine

    Tupo kariakoo ndanda na muhonda Tunauza kwa bei nafuu sana, Kama upo Dar utaletewa mzigo wako ndipo ulipie Whatsapp 0614228735 Kama unahitaji tv brands yoyote zipo Kama unahitaji subwoofer, Sound bar, speaker na mdundo wa aina yoyote ile bonyeza pia zipo Friji na friza ni pia zipo
  2. QasraNet

    JamiiForums Tanzania Innovation: Home internet (Fiber) + TV

    Habari wakuu, Ninawazo hapa mahususi kwa sisi wa developing countries. Wazo hili halitokani na Zuku Fiber + TV Device ambayo itakuwa inaweza kupokea signal za internet+tv through Fiber (SFP Slot) or internet only through WAN Port (RJ45) kisha itaweza kutoa LAN through RJ45 pamoja na kutoa...
  3. monta

    JamiiForums Tanzania Home tech32 kwa 170k tu

    Wakuu nauza tv home tech inch 32 kwa 170,000/= tu..Tv ni mpya kabisa unapewa na box lake,ipo Kinondoni.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Used tv , home theater na fridge zinauzwa

    Nauza Hisence TV 43" , Home Theater LG 1500watts na Fridge Hisence milango miwili. Bei vyote 1,500,000/=.call 0754410309
  5. U

    JamiiForums Tanzania Jamaa kaumbuka kijiweni na kingereza kibovu eti kasema I forgot my phone at home badala ya kusema I left my phone at home .

    UFAFANUZI: Forget vs. Leave I forgot my book at home. ❌ I left my book at home.✅ Many learners confuse “forget” and “leave,” but the two are not interchangeable. The phrase “I forgot my book at home” is incorrect because forget refers to failing to remember, not leaving...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Home tution

    Qn1. Rescue plane flies at 198 km/h (" 55.0 m/s) with a constant height h " 500 m toward a point directly over a victim, where a rescue capsule is to land. (a) What should be the angle f of the pilot’s line of sight to the victim when the capsule release is made? SOLUTION : KEY IDEAS Once...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Home Tuition

    ‎📢 TANGAZO MAALUM LA MASOMO YA SAYANSI NA HISABATI 📢 ‎ ‎Naitwa Mwalimu Hashimu Asiki, mwalimu mbobevu na mwenye uzoefu katika kufundisha Physics na Mathematics kwa ngazi mbalimbali: ‎ ‎✅ Primary School ‎✅ O-Level (Form I – IV) ‎✅ A-Level (Form V – VI) ‎ ‎Ninafundisha kwa lugha mbili kulingana...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Karibu Elite Home Tuition Services ambapo tunatoa huduma za ufundishaji ukiwa nyumbani

    Tunawafikia popote ulipo Tanzania! Unahitaji mwalimu wa nyumbani (home tuition) kwa mtoto wako au wewe binafsi? Tunatoa huduma bora ya kufundisha masomo yote, ngazi zote na mitaala yote (NECTA, CAMBRIDGE, n.k) Darasa la awali hadi sekondari Masomo ya sayansi, arts na biashara Mitihani ya...
  9. BUMIJA

    JamiiForums Tanzania Nini Tofauti ya Home Theatre na Sond Bar?

    Wa Salaam ndugu.kuna hawa waarabu wanapita na magari mashuleni. Wameniuzia home Thearte ya watts 210 ila napenda kujua tofauti ya Sound Bar na Home Theatre. Walinianzia 550,000 ila wakanipa kwa 500,000. Niliipenda ilivyo.
  10. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Kongwa tulijenga hata nyumba ya Heshima?

    Kongwa ndo home ila mpaka aibu. Hope pamejengwa nyumba ya Heshima. Kama VP SUMMA waende kujenga Hata room 3
  11. dist111

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Arusha Home Design ni Matapeli Wapya Mjini

    Naandika huu Uzi kama tahadhari, Hawa Jamaa " Arusha Home Design" wanaojinasibu kwa kutengeneza TV cases za kisasa na Majiko ya kisasa ni matepeli, Niliwalipa 2.5M wanitengenezee TV cases, huu ni mwezi wa 3 wameshindwa kukamilisha kazi Yao, Nikasema niwaase Wana Arusha na watanzania kwa...
  12. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Home beautification part 2

    Kwa waliojipata na wanaojitafuta na wenye kutaka kuboresha
  13. H

    JamiiForums Tanzania Tunatoa huduma za ufundishaji kwa watoto wenye mahitaji maalum

    Unamlea mwanafunzi: Mwenye changamoto ya kujifunza (slow learner) Asiyefahamu kusoma na kuandika vizuri Mwenye uhitaji wa mbinu maalum ya ufundishaji Au mwanafunzi wa Special Needs anayehitaji mwalimu mwenye uvumilivu, upendo na mbinu maalum? Tunao walimu walio bobea katika: Phonics &...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji walimu 4 wa home tuition

    Walimu wa home tuition services . Location:Upanga Daresalaaam mtaaa wa Senegal Emergency vacancy: 1.Tunahitaji Mwalimu mmoja ambaye ni mtaalamu wa mtaaala wa Cambridge curriculum masomo haya(chemistry and biology) form5&6. 2.Tunahitaji pia Mwalimu Mwingine ambaye ni mtaalamu wa physics and...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Home services

    DO YOU NEED HELP AT HOME? I am a young, educated person with experience in household work and childcare. I offer the following services on a daily payment basis: ✅ Assisting children with school homework ✅ Babysitting and child care ✅ Cooking all types of meals at home ✅ Cooking for small...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Tufanye summary ya mkutano wa Polepole: TAKE-HOME MESSAGE ni (z)ipi

    Core message Polepole would want his listerners /Tanzanians to retain 1. Ukiukwaji wa katiba na taratibu za CCM..............fomu moja ya "mgombea" (hajamtaja
  17. relis

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kiufundi ktk home theatre ya sony

    Habari wakuu,Nina home theatre ya sony spika 5 nimenunua muda mrefu kidogo tangu 2013 na ilisimama Kwa matumizi Toka 2016 kutokana na changamoto eneo nililokuwa nakaa kukosa umeme Nimekuja kuiwasha imewaka vzr changamoto spika za nyuma surround pamoja na centre haifanyi kazi na hata niikomand...
  18. Hharyson

    JamiiForums Tanzania Landscape design you need a good home, we are located at Sinza Palestina, Dar es Salaam

    A beautiful home isn’t complete without a landscape that speaks luxury. Imagine walking into your compound—your feet hitting a sleek concrete walkway, the air scented by fresh flowers blooming from elegant boxes. To your left, a serene swimming pool sparkles under the sun… and just beyond it, a...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Elite home tuitions teaching vacancies in Dar es salaam will be available here

    ATTENTION ATTENTION ATTENTION ATTENTION Mwalimu aliye tyri kufundisha Cambridge curriculum year6. Mwanafunzi yuko dar seabreeze apartment. Kwa wiki sikutano sawa na siku20 kwa mwezi na kama upo tyri kulipwa kwa siku20.za mwezi 160,000 basi njoo inbox.
  20. H

    JamiiForums Tanzania Tunatoa huduma za kumfundisha mtoto wako nyumbani

    Unahitaji mwalimu wa kumfundisha mtoto wako nyumbani? Dar Elite Home Tuition inakuletea walimu wenye uzoefu, mwenendo mzuri, na uwezo wa kufundisha kwa mtindo unaoeleweka. Tunaandaa wanafunzi wa: – KG 1 hadi Advance Level – NECTA, Cambridge & International Curriculum – Home Schooling, Special...
Back
Top Bottom