Habari wakuu,
Nimefuatilia hoja za watu mbalimbali humu na katika sehemu nyingine mtaani na media, nimefuatilia wengi wanaotoa hoja ya hawa ndugu 19 kutoshughulikiwa, msingi wao ni chama kupata ruzuku ili kiweze kuwa na nguvu ya fedha kujiendesha, wengine wanasema chama kiendelee kuonekana...