hofu

Hōfu (防府市, Hōfu-shi) is a city located in Yamaguchi Prefecture, Japan.
As of September 30, 2016, the city has an estimated population of 117,387 and a population density of 622.44 people per km². The total area is 188.59 km².

View More On Wikipedia.org
  1. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Tumekuwa na hofu, kwa fremu za chini ya ardhi, kikosi maalum kifanye ukaguzi wa majengo yote kko, kwa Ada ya 2.5ml,kwa kila jengo!

    Ni hekima iliyo kubwa hasa kwa ili lililotokea mamlaka husika zikapitia majengo yote kariakoo kwa ukaguzi wa kina, kuanzia ngazi ya uimara wa nguzo na mengineyo ili kutupa moyo sisi wafanyabiashara kuzama kwenye maduka ya underground, napendekeza kila jengo baada ya kukaguliwa likawekwa sticker...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Umri ni kitu kingine kinachowapa watu hofu

    Tafiti zinaonyesha wanawake huogoza kuhofia umri ila hata wanaume nao huogopa ongezeko la umri , kuna madhara makubwa usipodhibiti hofu ya umri MADHARA USIPODHIBITI HOFU YA UMRI. 1. Kukosea kwenye kuchagua 2. Kufanya maamuzi ya hovyo 3. Kupoteza msimamo. 4. Kukosa subira. 5. Kuwa na hasira za...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Barwan Salum: Walemavu watolewe hofu na wahamasishwe kuwania nafasi za uongozi

    Tanzania ni taifa ambalo katika miaka kadhaa nyuma lilikumbwa na mauaji makubwa ya watu wenye ulemavu wa ngozi (albino) haswa kipindi cha uchaguzi kilipokuwa kinakaribia. Licha ya matukio hayo mwaka 2010, historia iliandikwa na Barwan Salum baada ya kuchaguliwa kuwa mbunge wa jimbo la Lindi...
  4. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Hofu Inavyotawala Historia ya Uhuru wa Tanganyika

    Daily News 12 October 1988 Ilibakia kidogo Daily News wakatae kuchapa kumbukumbu hiyo hapo juu ya miaka 20 ya kifo cha Abdul Sykes. Reginald Mhango ambae sasa ni marehemu, aliyekuwa mhariri wa Daily News alisema hawezi kuchapa kumbukumbu ya Abdul Sykes mpaka apewe ruhusa kutoka Dodoma. Maneno...
  5. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Watu wa kipato cha kati wengi wanaishi kwa hofu za kurogwa na ndugu na marafiki waliowazidi

    Mtu akioata kazi nzuri au biashara ya kueleweka, akajenga Nyumba, Akawa na shamba, na gari la kusafiria au akamuongezea mkewe kadogo ka kutembelea wengi wanaona aliowazidi wanamuonea wivu au wanamvizia wamloge. Hasahasa wale waliokulia kwenye umasikini mkali, na akapata mwanga kuliko wenzake...
  6. U

    JamiiForums Tanzania News alert kikao cha baraza la mawaziri Israel hakitafanyika kwenye ofisi ya Waziri Mkuu wala makao makuu ya IDF kwa hofu ya Usalama.

    Wadau hamjamboni nyote? Kikao cha Baraza la mawaziri Israel hakitofanya kwenye ofisi ya Waziri Mkuu Yerusalemu wala kwenye makao makuu ya IDF Tel Aviv kama ilivyo desturi kwa sababu za Usalama Mawaziri wamearifiwa leo asubuhi kuwa kikao hicho kitafanyika eneo Salama Hawaruhusiwa kuja na...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Taasisi za kushughulika na bidhaa feki zinakula rushwa au haziwezi kazi? Kuna bidhaa feki nyingi Mtaani na expired zinauzwa kwa uhuru bila hofu

    Yani hakuna kash kash za kukamata wauzaji wa bidhaa feki, viwanda bubu vina operate kwa uhuru. Taasisi za kupambana na bidhaa feki ni kama hazipo, Je ni Rushwa ? Hawawezi kazi ?? Na kuna michezo mipya imeanza bidhaa zilizoharibika zinazotupwa dampo zinarudi mtaani, mchele ulio expire na...
  8. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Hii Hofu ya Historia ya TANU na Uhuru Inaletwa na Nini?

    https://youtu.be/Id8-WJc6ODY?si=9lzAbgoq1Vq3Fzcd
  9. F

    JamiiForums Tanzania Kardinali Pengo anawashukia wote wanaoleta hofu nchini muda huu kupitia Radio Maria na washirika wake. Anasema watu wanauawa bila hata sababu.

    Kardinali Pengo katika ibada ya kipaimara inayofanyika jimboni Dar es Salaam muda huu anazungumzia hali ya hofu iliyotanda nchini na kuifananisha na hofu waliyokuwa nayo mitume baada ya Yesu kuuwawa. Mwadhama anasema hali hii haijapata kujulikana Tanzania na sababu za mauaji haya hazijulikani...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Nina hofu, hofu yangu ni hii kuhusu maandamano ya tarehe 23/9/2024

    Polisi tunavyowajua, wanaweza kuwaua viongozi wakuu wa chadema kwa kisingizio cha vurugu. How? Wanawavurumisha watu na ku create commotion, lakini target yao ni viongozi, wanawaua na kusema hawajui aliyewapiga risasi, may be waandamanaji wengine walikuwa na visa na hao viongozi na kutumia mwanya...
  11. Troublemaker

    JamiiForums Tanzania Unamuondoleaje mtu hofu ya vitu kama wadudu

    Hello Jf. Kuna partner wangu umri ni 30+ Jinsia KE Yaani ana hofu mno na vitu kama nyuki waliorundikana, uyoga, au wadudu wowote wamerundikana rundikana au viumbe vyovyote hasa wadudu. Yaani anasisimka mpaka analia ni unaanza kumbembeleza na kumuonea horuma yaani anakuwa kama...
  12. Msanii

    JamiiForums Tanzania Tuambizane ukweli: kauli ya Nchimbi imebeba hofu kubwa iliyopo CCM kwa sasa

    Katibu Mkuu wa CCM leo tarehe 13 Septemba 2024 aliitisha kukao cha dharura na waandishi (selected) wa habari kuelezea msimamo wa CCM kuelekea maandamano ya amani ya Wananchi kupitia CHADEMA. Amekutaka chama cha CHADEMA kusitisha maandamano iliyoyaitisha. Pia ikiwataka vyama vikae mezani...
  13. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Nchi za Afrika zimeipokea Demokrasia kwa hofu ya kuogopa kuumizwa kiuchumi na kisiasa. Demokrasia ni silaha ya kikoloni

    AFRO Centric view Ni mtazamo wa kupinga unyonyaji, ukatili na uharibifu wa tamaduni za kiafrika ambapo umetolewa na wanazuoni wengi akiwemo Water Rodney, Prof Lumumba na Mandela. Kimsingi hakuna jambo jema katika dunia kama kuitunza tamaduni, ikiwa hutafanikiwa kuilinda tamaduni yako maana...
  14. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Hofu ni nini?

    Hofu ni hisia ya kisaikolojia ambayo mtu huipata anapokabiliana na hali inayotishia usalama, afya, au ustawi wake. Ni majibu ya asili ya mwili na akili kwa hali zinazochukuliwa kuwa za hatari au zisizojulikana. Hofu inaweza kuwa na viwango tofauti, kuanzia wasiwasi mdogo hadi hofu kubwa. Kwa...
  15. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Joka la mdimu na hofu ya kupondwa kichwa

    Na ripota wetu toka Pwani ya kiwengwa kitongoji cha hasira za mkizi Mnyambuliko wa habari kuu ni mrejesho wa kutoka huko bush kwa msukuma gangwe Hasira za mkizi Vs Msukuma gangwe Mambo ni mengi muda ni mchache.. Kuna adui rafiki Kuna adui adui Kuna rafiki adui Vyote vitatu vinategemea Nyakati...
  16. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Mdomo wangu umepelekea wanawake wa mtaa mzima kunitazama kila muda. Waume zao wamenijengea hofu

    Napitia kipindi kigumu ndugu zanguni katika kipindi hiki kigumu cha wanaume wazee wa vilainishi Daslamu. Mtaani naanza kuishi kwa mashaka sana Hivi karibuni imeibuka hali ya kuzubaa ambayo inaukumbuka uso wangu. Kuna muda nikitizama kitu najikuta naganda, mwisho wa masaa najisahau kabisa, kuja...
  17. G

    JamiiForums Tanzania Baada ya Rais wa Iran kumuomba Ayatollah asiishambulie Israel, Makamu wa Rais kajiuzulu, Vifo vya Rais aliepita na Kiongozi wa Hamas vyaleta hofu

    Kinachoendelea kwa sasa Iran, viongozi wa juu wanapaza sauti wasikike kwamba Israel isishambuliwe, Juhudi hizi zinawasaidia kukwepa kilichowakuta Rais aliepita na Kiongozi wa Hamas akiwa Iran. Wiki iliyopita Rais wa Iran alimsihi sana Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah khamenei asithubutu...
  18. realMamy

    JamiiForums Tanzania Jinsi Hofu inavyoweza kukwamisha mafanikio ya mtu.

    Hofu inaweza kukufanya ukaona Jambo ni kubwa kama watu wanavyolizungumzia Kumbe hata hawalijui vizuri. Mimi tangu nakua nimekutana na watu wanaojua kumtia mtu hofu ikiwamo hata wazazi wenyewe. Nakumbuka kipindi hicho nilifeli Mtihani wa Form two nikapaswa kurudia shule ile ile lakini watu...
  19. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Yanga anaanda kikosi Cha CAFCL, niwatoe hofu Simba tarehe 8 leteni timu msiogope Wala Yanga hawana tatizo na nyie, sisi ni ndugu

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Nikimnukuu kocha wa Yanga alichosema baada ya kumalizika mchezo huko Kwa Madiba Gamondi "You know Yanga & Simba are friends,so here in South Africa I prepare my team because of CACL,iam not here for Simba,So let I assure the Simba fans, we're brothers...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wazazi wajaa Shule ya Mburahati kuwachukua Watoto, hofu ya kutekwa baada ya Noah nyeusi kuonekana

    Baadhi ya Wazazi na Walezi wenye Watoto katika Shule Msingi Mburahati wamefika shuleni hapo mchana wa leo Julai 22, 2024 kwa lengo la kuwafuata Watoto wao kutokana na hofu iliyotanda ikidaiwa kuna Watu wanania ya kuwateka Inadaiwa kulitokea gari ain ya Noah nyeusi ambayo haina namba iliyokuwa...
Back
Top Bottom