News alert kikao cha baraza la mawaziri Israel hakitafanyika kwenye ofisi ya Waziri Mkuu wala makao makuu ya IDF kwa hofu ya Usalama.

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
3,479
7,933
Wadau hamjamboni nyote?

Kikao cha Baraza la mawaziri Israel hakitofanya kwenye ofisi ya Waziri Mkuu Yerusalemu wala kwenye makao makuu ya IDF Tel Aviv kama ilivyo desturi kwa sababu za Usalama

Mawaziri wamearifiwa leo asubuhi kuwa kikao hicho kitafanyika eneo Salama
Hawaruhusiwa kuja na wasaidizi wao kwenye kikao wala kuja na silaha za moto

Eneo la ambalo kikao kikao kitafanyika hakuna sehemu ya kupaki magari wala sehemu ya kukaa wasaidizi wa mawaziri

=================================================================

Ministers told they cannot bring advisers to cabinet meeting at secure location – report

The Ynet news site says ministerial advisers will not be permitted to attend the cabinet meeting today, which is being held at a new location amid security concerns.

According to the outlet, ministers were surprised to receive a message this morning informing them that the location for the cabinet meeting has moved and that the new site does not have parking available or a waiting area for aides.

Ministers were told that if they arrive armed, they will not be permitted to enter the building with a weapon, the outlet reports.

Ynet says that despite the security threats, the meeting is not being held at the newly built underground bunker outside Jerusalem.

The decision to not hold the cabinet meeting at the Prime Minister’s Office in Jerusalem or IDF headquarters in Tel Aviv was reportedly made in response to the Hezbollah drone attack on Prime Minister Benjamin Netanyahu’s private residence in Caesarea earlier this month
 
Waziri wa Vita wa Israel Gallant aliandika barua muhimu kwa Netanyahu na wajumbe wa baraza la mawaziri.

Tunapigana bila mwelekeo wowote, kubadilishana mapigo na Iran huongeza hitaji la kusasisha malengo ya vita.

Hali tuliyonayo bila dira na bila kuhuisha malengo ya vita inaumiza usimamizi wa vita na maamuzi ya baraza la mawaziri.

Gallant alielezea maoni yake juu ya mipaka ya vita:

Kwa upande wa Gaza, alipendekeza kuleta utulivu wa ukweli bila vitisho vya kijeshi, kuzuia kuimarishwa kwa vikundi vya upinzani, kuwarudisha wafungwa wote na kukuza mbadala wa serikali ya Hamas.

Kwa Lebanon, alifafanua lengo la kuunda ukweli wa usalama ambao ungeruhusu wakaazi wa kaskazini kurudi makwao haraka iwezekanavyo.

Kuhusu Iran, alisisitiza ulazima wa kuizuia na kuizuia Iran isiingie katika vita.

Pia alitaja umuhimu wa kuimarisha usalama na uhalali wa kimataifa wa Israel.

Inafurahisha kutambua kwamba barua hii inaonekana haikutumwa kwa Waziri wa Usalama wa Ben Gvir kutokana na hofu ya ufichuzi wa habari.

Ofisi ya Netanyahu kumjibu Gallant: Barua hii inachanganya. Dira ni moja tu nayo ni malengo ya vita yaliyowekwa na Baraza la Mawaziri. Zinapitiwa mara kwa mara na hata kupanuliwa hivi karibuni.
 
Juma Nature "Si ulitaka chai cha, mbona sasa unalalamika unaungua... Si ulitaka chai chai, mbona sasa unalalamika unaungua 😂😂😂"

Bibi ametaka vita na babu, sasa yanini kuanza kuishi na kufanya mambo yake kwa kujificha ficha?

Inamaana hata lile pango lake la chini ya ardhi alilolojenga kwa ajili ya kujificha huko kufanyia mikutano haliamini, anajua babu Ayatollah atamshushia mzigo huko huko chini. Huu ndo ujinga wa kuchokoza vita na mtu anaekushinda nguvu. Mwisho wake anaanza kuishi kama panya you familia yake 😂😂😂
 
Jamaa wanajielewa sanaa
Si kuna mifumo imara ya THAAD na Iron Dome au?

Au na zenyewe hawaziamini baada ya makombora ya Iran kupenya katikati ya hiyo mifumo kama maji yanapopenya kwenye kiroba cha mchanga kilichowekwa kuzuia maji pale jangwani?
 
Sasa taifa teule wana mfumo mzuri wa kuzuia makombora na Hamas imeishafutwa kwa nini sasa wanafanyia mkutano maficho kama Nguchiro.
Juzi nilitoa tahadhari kwamba ukiona hili swala linaongelewa na Ayatollah basi Netanyahu aongeze kuchimba mashimo zaidi ya handaki ili ajifiche yeye na familia yake. La sivyo kitachomuangukia kichwani kitasababisha watu waitafute maiti yake miaka 10 bila kuiona. Atazikwa humo humo kifusini.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Kikao cha Baraza la mawaziri Israel hakitofanya kwenye ofisi ya Waziri Mkuu Yerusalemu wala kwenye makao makuu ya IDF Tel Aviv kama ilivyo desturi kwa sababu za Usalama

Mawaziri wamearifiwa leo asubuhi kuwa kikao hicho kitafanyika eneo Salama
Hawaruhusiwa kuja na wasaidizi wao kwenye kikao wala kuja na silaha za moto

Eneo la ambalo kikao kikao kitafanyika hakuna sehemu ya kupaki magari wala sehemu ya kukaa wasaidizi wa mawaziri

=================================================================

Ministers told they cannot bring advisers to cabinet meeting at secure location – report

The Ynet news site says ministerial advisers will not be permitted to attend the cabinet meeting today, which is being held at a new location amid security concerns.

According to the outlet, ministers were surprised to receive a message this morning informing them that the location for the cabinet meeting has moved and that the new site does not have parking available or a waiting area for aides.

Ministers were told that if they arrive armed, they will not be permitted to enter the building with a weapon, the outlet reports.

Ynet says that despite the security threats, the meeting is not being held at the newly built underground bunker outside Jerusalem.

The decision to not hold the cabinet meeting at the Prime Minister’s Office in Jerusalem or IDF headquarters in Tel Aviv was reportedly made in response to the Hezbollah drone attack on Prime Minister Benjamin Netanyahu’s private residence in Caesarea earlier this month
Sidhani kama classified information kama hii inaweza kutufikia sisi nje ya mifumo yao ya usalama
 
Back
Top Bottom