hizi

Hizi Koyke (1902 – September 1991), born Koike Hisako, was a Japanese singer based in the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. Nimeacha rasmi kuwa shabiki wa mpira wa miguu na hizi ndizo sababu zangu

    1. Ushabiki wa mpira ni Aina Fulani hivi ya uwendawazimu, inahitaji akili ya mwendawazimu kuwa shabiki wa mpira wa miguu. Kwa mfano : Mashabiki wa timu kuomba mpira uishe pindi timu Yao inapokuwa inaongoza . Kwanini unataka mechi iishe haraka wakati wewe umeenda kuangalia mpira? 2. Tofauti...
  2. Simbachawene hizi rushwa za polisi zinatuumiza sisi wapenda usingizi, baa zisizo na vibali zashamili Tegeta, Boko, Bunju

    Wana Jf Nawatoe wasiwasi wapenda raha , lakini kila mtu ana raha yake kutokana na mazingira inayoishia. Wapo wanaooenda kukesha kama popo na milupo pembeni, lakini wapo pia baada ya kupata tatu na nne bariidi wanapenda wakapunzike na mama chanja. Kumekuwepo na utitiri wa baa zisizo na vibari...
  3. Wakenya mna Balaa Nyie: Eti mji wa Nakuru ni mkubwa kuliko baadhi ya majiji ya Marekani kama Atlanta

    Hii comment nimeikuta hapa hapa kwa Jf, the home of GT's. Hivi nyie wakenya huwa mnafikiri kwa kutumia nini wakati mwingine? .... Hii ndio Nakuru mdau anasema huo mji mkubwa kuliko huu hapa (Atlanta)
  4. Hizi timu ndogo huwa zinanikosha sana siku zikicheza

    Hivi wakuu ni kawaida kurudia kuangalia goli moja siku nzima?😁😁😁 Hili goli haliniishi hamu.Yaani narudia kuliangalia hadi simu inaisha chaji kisha nachaji tena simu narudia kuangalia tena hadi chaji inaisha tena😂😂 Haya mambo ni kawaida au nimewehuka wakuu?😁
  5. Hizi nukuu za Steve Jobs zimebeba ujumbe gani?

    Huyu jamaa alikuwa na maana gani kwenye nukui zake hizi? "Stay hungry, stay foolish" "If today were the last day of my life, would I want to do what I'm about to do today?
  6. Kwanini ninachelewa kusinzia nikisikiliza hiizi nyimbo? Nipo peke yangu

    Kuna playlist yangu nikijiroga kuiweka huwa kulala ni saa tisa kama muda huu niliopost Huenda kuna wanasaikolojia hhumu waniambie chanzo Saa 2 kasoro iabidi niwe kazini, hapa kuamka saa 1 kasoro 2 berry - Na Wewe Tu Mike tee - Sintobadilika JI - Kidato Kimoja MB Dogg - Natamani Mr Paul -...
  7. M

    Wamiliki wa Mabasi ya Mikoani, kwanini mnatutesa na kutukomoa Abiria wenu katika dakika 20 za huduma mnazotupa mkisimama njiani?

    Yaani inawezekana vipi dakika hizi hizi 20 mnazotupa tukiwa tumesimama Mombo au Msamvu au Singida Sisi Abiria wenu tuweze kuzigawa Kiustadi kwa Kula, Kukojoa na Kunya wakati tukifika tu haya maeneo tunakuwa Abiria wengi na waliotutangulia pia Kihuduma? Kwani mkisema tu kuwa muda wa Kula na...
  8. Ngono ndiyo silaha kuu ya Ibilisi anayojivunia nyakati hizi

    Habari! Najua kuwa nitapingwa na baadhi yenu ila sijali. Ujumbe utakuwa umefika. Shetani amekoleza tamaa za kingono kwenye miili ya vijana mara dufu, kama haitoshi shetani amekoleza tamaa za macho kwa mabinti. Leo hii binti ambaye anaishi kwa wazazi wake anatamani Iphone macho 3. Imefika...
  9. S

    Wakili Chavula: Watake wasitake wakili wa Jamhuri ni Wakili wa Mahakama

    By Martin Maranja Masese kupitia twitter: Kibatala: OBJECTION. Mh Jaji ni kweli kwamba mahakama imebakia na sintofahamu??? Jaji: ameacha kuwa wakili wa mashtaka anataka kuwa wakili wa mahakama WS Chavula: Mheshimiwa Jaji watake wasitake ukishakuwa wakili wa Jamhuri ni pamoja na mahakama...
  10. Mimi napinga ujenzi wa bandari ya Bagamoyo kwa sababu hizi

    China anafahamu kuwa bei ya uzalishaji nchini kwake zinapanda hivyo muda si mrefu uzalishaji unaweza kuhamia nchi zingine. Hatakuwa mzalishaji mkubwa duniani siku zote. Anajenga hizo bandari na eneo la uzalishaji/viwanda ili kuhakikisha kuwa bado wanaendelea kuzalisha. Tukiwa na bandari ya...
  11. Ujerumani kuwa na Serikali mseto, vyama vyote yakubaliana Scholz kuwa Kansela, Tanzania bado hizi ni hadithi miaka 60 yaenda ya uhuru

    Chemba ndogo ya bunge au "Lower House" ya Ujerumani imepitisha kwa pamoja uamuzi wa kumfanya bwana Olaf Scholz kuwa Kansela mpya wa Ujerumani. Vyama vya SPD cha Scholz, Green na FDP kwa pamoja leo asubuhi hii vimemuidhinisha bwana Olaf Scholz kuwa kansela mpya na kuondpoa uhafidhina wa chama...
  12. Tuangalie hizi video mbili fupi tujifunze juu ya busara ya kuiongoza Tanzania yetu

    Ndugu wanabodi hapa chini nimeweka video mbili fupi sana za hotuba za marais wetu wapendwa wawili wa nyakati tofauti ambapo ndani ya hotuba hizo kuna jambo kubwa la kujifunza juu ya busara ya uongozi. Hotuba hizi mbili ni darasa zuri sana la uongozi.Tukizingatia kwa vitendo kinachosemwa humo...
  13. Ole Gunnar Solskjær afukuzwa, Manchester United watoa tamko rasmi

    Inasemekana bodi ya klabu ya Manchester United imeridhia maamuzi ya kumfukuza kazi Ole Gunnar Solskjær. Maamuzi hayo yanakuja kutokana na muenendo usioridhisha katika msimu wa mwaka 2021/22. Hatua hiyo imechukuliwa baada ya klabu hiyo kupokea kichapo cha magoli 4 kwa 1 dhidi ya Watford...
  14. T

    Tusipochagua genius position hizi hili taifa siku moja litakuwa taifa la manamba

    Taifa lolote lenye nguvu duniani ni taifa lenye watu walio wazalendo na wenye akili nyingi na walio jiwekea misingi kuongozwa na watu wenye akili. Taifa lolote duniani lililo na maendeleo na nguvu duniani limewekwa kwenye misingi ya watu wenye akili na sio watu wenye akili kidogo. Wengi...
  15. Afrika tuige siasa kama hizi

  16. Zifahamu siri za maisha

    (Toka mtandaoni) [emoji840]Soma kwa umakini sana Soma Siri zote[emoji840] [emoji3502]Maisha hayana formula lakini yana siri kibao! Kamata hizi 11, zikikufaa zichukue na unibariki kimyakimya, hazikufai futa bila kunitukana kimyakimya![emoji286][emoji286] Siri ya kwanza; [emoji1428]Tengeneza...
  17. J

    VIDEO: Hizi hapa faida za ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan nchini Misri

    Hakika nchi inafunguka kweli kweli chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, Kwawale msiopenda nchi yetu ipate maendeleo kama mtaji wenu wa kisiasa awamu hii mtateseka sana. <<<Angalia mpaka mwisho >>>
  18. Mliotumia gadgets hizi fanyeni maandalizi ya kustaafu

  19. B

    Pepsi wameharibu kabisa kuleta hizi big hazina radha. Zile chupa ndogo mwake

    Hawa Pepsi wajitafakari na soda zao za BIG aaisee hazina radha au mimi tu jamani au wanatumia maji ya wapi? AU wanachanganya na maji ya Dodoma
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…