Mapema leo wachezaji wa Norwich city wakati wakicheza mchezo wao wa mwisho, england premier league dhidi ya totenham.
Wamevaa tishert zenye rangi za
kishoga wakimsapoti mchezaji wa Blackpool fc inayoshiriki ligi ya daraja la tatu huko wingereza aliyejitangaza kuwa ni shoga.
Wapo wengi tu...
Ukikaa na kusikiliza watu unaweza kufikiri Tanzania ilisimama kwa miaka 5 na hakuna kilichofanyika lakini uchumi unaongea tofauti.
Bank ya crdb imetoa taarifa ya faida kwa miaka 5 iliyopita, faida imeongezeka kwa zaidi ya asilimia 300.
2018 Bilioni 64
2019 Bilioni 120
2020 Bilioni 165
2021...
Naanza kwa masikitiko ya kinachoendelea katika timu hizi nikiona dalili ya kufa kwa hizi timu kutokana na kupoteza wachezaji wengi sana pasi na kufanya usajili mpaka sasa
1. Chelsea
Timu hii tayari wachezaji kadhaa wahaondoka ikiwemo Antonio Rudiger na Andreas Christensen na huku rumors...
Haya matukio ya watoto kufanyiwa unyama wa kulawitiwa na hawa wakufunzi wa madrasa yamekuwa yakishamiri sana hapa nchini.
Hii inafikirisha sana maeneo ambayo mzazi anaamini mtoto wake ndio anaenda kupata misingi bora ya dini, ndio panaenda kuwa kaa la moto.
Huu ukatili kwa watoto wetu...
Kiufupi hii kitu sina ujuzi nayo kabisa yaani ni 0%
Naona kila siku kwenye mitandao watu wanaongelea sasa sielewi kabisa.
Je, ni biashara?
Bitcoin ni nini?
Crypocurreny ni nini?
Watu gani wanaruhusiwa kujiunga/kumiliki?
Gharama zake na faida zake je?
Naombeni muongozo
Wakuuu kama kuna member ambae kiukweli hajawahi zama kwenye hizi thread I swear it will be easy kwake kuiona mbingu.
Nawasilisha.
(1)Uzi wa watoto wazuri worldwide.
Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies
(2)Uzi wa wazee wa kula tunda...
Ni kawaida kukuta reservation kwenye mabar, ma pub na maeneo mengi mashuhuri. Hawa wanaokutana as if ni jambo la maana Sana hivi mdg zangu wanachangia au Ndio mambo ya kifahari.
Naenda Zang maeneo nakuta Kuna reservation imewekwa🧐💅💅baada ya Muda naona mabox ya keki yakiingia. Ukiuliza ni nn eti...
Wakuu Habari ya Mda Poleni na Heka Heka ya Timuana ya Mlimani City Juzi.
.
Wakuu naomba kufahamishwa hizi alama kwenye dawa ya mswaki huwa zina maanisha nini?
Kwa kweli simu zinaweza kuonekana na umuhimu wake lakini kuna uharibifu pia zimeleeta katika suala zima la mahusiano.
Zamani ile process ya kumsubiria binti chini ya mti kwa masaa ukiombea labda atapita, kujua watu anaoishi nao pale unaporusa jiwe batini na aje kufungua mlango mtu mwengine...
Nimeshangaa sana Chama ambacho ndo ventilation yetu kwenye nchi tunaanza kuonekana Kama ka kundi fulani ambako hakana dira!
Weka kichwani waza nchi ilojaa nyimbo za kizalendo nyingi, wao pia wenyewe wana nyimbo zao za uzalendo Lakin Mkutano mkuu wanaruka rege nankukanyaganaa
Ni ama kuna Uhuni...
Habari wakuu…
Mama anaupiga mwingi kuelekea golini kwake.
Sasa Wakuu mimi sijajiunga na huduma zozote tigo kuomba hizi sms. Cha ajabu kila baada ya dakika kadhaa natumiwa sms "PATAPATA"
Nimeajaribu kublacklist lakini sms hazina namba imeniwia vigumu.
Last week jamaa angu alikua anaoa,so kwenye sherehe nikachapa tungi sana then nikakamatia mtoto flani wa kike nikaruka nae debe sana, kumbe mle ukumbini wife alikua na makachero wake ambao walimtumia picha za kila tukio nililofanya.
So baada ya kuona picha zangu nimekamatia kiuno cha mtoto wa...
Tangu kuanza kwa msimu huu sisi mashambiki wa simba tulikua na matumaini makubwa sana na timu yetu, na hii ilitokana na ukweli kwamba takribani misimu minne tulikua na timu bora sana na hivyo tulifanikiwa kudominate soka la bongo na hata katika medali za kimataifa tulijaribu kupambana kidogo na...
Zamani hii nembo ilibaki hata baada ya sabuni kuisha. Lakini siku hizi nembo inaaanza kutoka na kuiacha sabuni bila jina la brand? Au gundi zimepanda bei?🤣🤣
Unaposena Kila kitu kitapanda bei...
Muuzaji unamjengea mtazamo wa kupandisha bidhaa bei kiholela....hii inamuumiza mnunuzi au mfuata huduma!
Unaposema hata Marekani umeme hukatikakatika....
Unamuandaa mtoa huduma ya umeme (Tanesco) asione haja ya kufanya Kila liwezekanalo kuepuka umeme...
Mafuta yamepanda tena Bei, Dar Lita ya petrol kuanzia kesho ni 3148, dizeli 3258
Bei za mafuta kuanzia April 4, 2022
Bei ya petrol kwa Dar itakuwa ni Tsh 3,148 kwa lita. Kwa watu wa Tanga watanunua kwa Tsh 3,161 na kwa watu wa Mtwara kwa 3,177 kwa lita.
Dizeli itauzwa Tsh. 3,258 kwa lita kwa...
bei
bei juu
bei mpya
bei ya mafuta
bei za mafuta
ewura
hizi
kadhia
kibajaji
kutumika
macho
mafuta
mei
mpya
parking
petroli
picha
tuungane
updates
wahuni
yaipiku
yangu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.