hizi

Hizi Koyke (1902 – September 1991), born Koike Hisako, was a Japanese singer based in the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. Je, yule Mchina Mkulima tuliyemsingia 'Kipropaganda' kuwa anayatumia Maji yote ya Mto Ruvu kwa hizi Mvua nyingi lini tutamruhusu aendelee Kumwagilia?

    Kwa hizi Mvua Kubwa na nyingi zinazonyesha sasa Nchini Tanzania nimetaarifiwa kuwa tayari zimeshaanza Kujaza Mito yetu Mikubwa kiasi kwamba muda si mrefu inaweza ikaanza Kufurika na kujuta hata kwanini kwa Uwongo, Roho Mbaya na Propaganda zetu tuliamua Kumtupia lawama Mchina Mkulima wa Ruvu kuwa...
  2. Mvua zilipogoma Kunyesha tulimlilia mno Mungu, je, ni lini tutahimizana tena Kupiga Magoti mbele yake Kumshukuru kwa hizi Mvua?

    Binadamu ni Watu Wanafiki mno yaani tunamkumbuka na Kumlilia Mwenyezi Mungu pale tu tukiwa na Shida zetu ila tukifanikiwa tunamsahau ghafla.
  3. B

    Nabii Josephat Mwingira anena Mazito kwenye Salamu za Heri ya Krismasi

    Salamu za Heri zinaendelea kumiminika. Hapa chini ni kutoka kwa nabii Mwingira: Salamu za kama hizi zinapoendelea kutufikia ni vyema kujitafakari. Ni wazi kuwa kama Taifa hatuko vizuri. Walikuwapo kina Desmond Tutu, leo hatuko nao. Walifanya sehemu yao, wamekwenda. Angalia katika...
  4. A

    Wachaga: Tamaduni zao 10 zinafanana na Wana wa Israel

    Kuna chembechembe ya damu zinazokonekti kwa Wana wa Israeli na Kabila la Wachaga ambalo linapatikana Mkoa wa Kilimanjaro, Kaskazini mwa Tanzania. Yapo madai kwamba, Wachaga asili yao ni Wafalasha waliyokuwa na wanaoishi nchini Ethiopia. Inadaiwa kuwa, Wachaga hao walitokana na uzao kati ya...
  5. Je, ni rangi gani nzuri ya kupaka kati ya hizi?

    Wadau kwemaa! Tukiwa tunaelekea kufunga mwaka naomba kuuliza je NI rangi gani nzuri ambayo haipauki unapo paka ktk kuta za nyumba yako Coral Plastcon Billion Binafsi hi billion sioni Kama no nzuri milipakaa ktk Fisher body aiseee hata miezi Saba haina Lin ishaanza kubabuka. Wadau naomba...
  6. Hizi ndo akili za baadhi ya wanawake

    HUYU DADA ANAOMBA USHAURI Jamani naombeni ushauri wenu, sijui nifanye nini. Mimi ni binti wa miaka 23, nipo chuo mwaka wa tatu. Naomba ushauri wako, mwaka jana nilikua na mpenzi wangu, ni mwanafunzi mwenzangu, lakini tukagombana tukaachana na yeye akamchukua rafiki yangu. Nikiwa katika maumivu...
  7. Mataifa maskini yanayozongwa na mikopo. Hivi majirani hizi hela mlizifanyia nini cha kuonekana?

    Mataifa maskini wa kutupwa yanazongwa na mikopo ya Benki kuu ya Dunia (WB), humo nimeona majirani zetu Tanzania hawajaachwa nyuma kama kawaida yao, ikikumbukwa walikua wanajenga kwa hela yao ya ndani, na hicho walikua wanakijenga sijui kiko wapi....hivi ile SGR Dar-Moro ilishaanza kazi? Uganda...
  8. Hivi hizi habari kuhusu hati fungani ni za kweli?

    Huwa naskia tu mambo ya hati fungani huko serikalini kuwa kuna 15.6% unaweza ipata kwa kiwango ulichowekeza kila mwaka! Je, kuna ukweli wowote juu ya jambo hili maana hii serikali ya michongo isije ikawa ni mambo ya kalenda kama NSSF wakati mzigo mlikabidhiana kisheria.
  9. B

    Kaulizi hizi zimeumiza wengi,ziepuke

    1. Anakuja msoma mita ya maji numbani kwako anakukuta upo na kaka Yako anasema Leo naona Mr/ shemeji Yupo nyumbani. 2. Unaelekezwa kumpelekea mtu mzigo, unamkuta kakaa na ndugu yake wakiume au wakike unasema msalimie shemeji. Wakati unatamka hayo huyo unayemwambia kaondokewa na mwenza wake siku...
  10. M

    Sinza na Mwenge kuna matatizo makubwa sana

    Thread was deleted
  11. Kwanini wanawake wengi wa siku hizi wana makalio makubwa?

    Yaani leo nipo kkoo katika wanawake 10 unaopishana nao basi 7 wamefungasha na wana mizigo kweli. Nini siri ya mafanikio? English figure zinaanza kupotea
  12. Kampuni gani nzuri ya tiles kati ya hizi?

    1. Goodone 2. Goodwill 3. Twyfod
  13. Hivi Tumaini Makene yupo wapi siku hizi?

    Naona hatuhabarishi mambo yanayoendelea ndani ya chama sisi wanachama na wapenzi wa Chadema. Yupo wapi huyu mtu?
  14. Napenda kumtongoza Mwanamke anapokuwa na wenzake

    Ku approach ni kumfata mwanamke kwa lengo la la kuanzisha mahusiano ya mapenzi au urafiki. Iwe ni enzi hizo shuleni, chuoni, sokoni, barabarani, n.k. huwa napenda kujitosa kwa mwanamke ambae yupo na rafiki zake / yake. huwa nawasalimu kwa heshima wote kwa pamoja, kisha naweka wazi nimemfata...
  15. M

    Mnaobambikiwa watoto na kuwakubali wakizaliwa kwakuwa tu wamefanana nanyi hizi ndizo mbinu kuu za wanawake wenu

    Mwanamke yoyote akiwa ameshabeba Mimba / Ujauzito kwa Mwanaume mwingine na anataka Mtoto akizaliwa afanane nawe (Mume / Mpenzi halali) na umkubali hufanya haya. 1. Atakuvizia Usiku ukiwa Umelala Fofofo kisha anakuruka mara Mbili tu na hapo Mchezo unakuwa umeisha. 2. Atakulazimisha muende...
  16. B

    Hivi hapa Dar kuna sehemu inatoa starehe kama hizi?

    Simaanishi danguro, au guest houses, nauliza hivi Dar kuna jengo la kifahari maybe ghorofa yenye fenicha na vitu vya kifahari ndani, ambalo mwanaume unalipa pesa halafu ukiingia Ndani ya ilo jengo Unakuta wadada weengi wazuri kama ishirini hivi wote Wapo uchi wa mnyama, wasivae nguo yoyote...
  17. Hakuna maisha magumu Zama hizi; kilichopo ni watu kutaka usawa

    HAKUNA MAISHA MAGUMU ZAMA HIZI, KILICHOPO WATU WA SASA KUPENDA USAWA. Kwa Mkono wa, Robert Heriel. Hakuna maisha rahisi Kama ya Zama hizi. Siku hizi kila kitu kimerahisishwa. Sijazaliwa zamani Sana Ila miaka ya 2000 Kurudi nyuma maisha yalikuwa complicated, yalikuwa magumu jamani. Sio kwenye...
  18. Nimeacha rasmi kuwa shabiki wa mpira wa miguu na hizi ndizo sababu zangu

    1. Ushabiki wa mpira ni Aina Fulani hivi ya uwendawazimu, inahitaji akili ya mwendawazimu kuwa shabiki wa mpira wa miguu. Kwa mfano : Mashabiki wa timu kuomba mpira uishe pindi timu Yao inapokuwa inaongoza . Kwanini unataka mechi iishe haraka wakati wewe umeenda kuangalia mpira? 2. Tofauti...
  19. Simbachawene hizi rushwa za polisi zinatuumiza sisi wapenda usingizi, baa zisizo na vibali zashamili Tegeta, Boko, Bunju

    Wana Jf Nawatoe wasiwasi wapenda raha , lakini kila mtu ana raha yake kutokana na mazingira inayoishia. Wapo wanaooenda kukesha kama popo na milupo pembeni, lakini wapo pia baada ya kupata tatu na nne bariidi wanapenda wakapunzike na mama chanja. Kumekuwepo na utitiri wa baa zisizo na vibari...
  20. Wakenya mna Balaa Nyie: Eti mji wa Nakuru ni mkubwa kuliko baadhi ya majiji ya Marekani kama Atlanta

    Hii comment nimeikuta hapa hapa kwa Jf, the home of GT's. Hivi nyie wakenya huwa mnafikiri kwa kutumia nini wakati mwingine? .... Hii ndio Nakuru mdau anasema huo mji mkubwa kuliko huu hapa (Atlanta)
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…