Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 761
- 6,985
1. Anakuja msoma mita ya maji numbani kwako anakukuta upo na kaka Yako anasema Leo naona Mr/ shemeji Yupo nyumbani.
2. Unaelekezwa kumpelekea mtu mzigo, unamkuta kakaa na ndugu yake wakiume au wakike unasema msalimie shemeji. Wakati unatamka hayo huyo unayemwambia kaondokewa na mwenza wake siku si nyingi
3. Dada wa watu ameolewa ten years back na ajajaliwa mtoto, unakutana naye nakumsalimia. Bila kujitafakari unamuaga Kwa kusema salimia watoto
Pls kabla ujasema tafakari madhara ya unachotaka kusema