hizi

Hizi Koyke (1902 – September 1991), born Koike Hisako, was a Japanese singer based in the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ni lini mapendekezo ya Ripoti hizi yatafanyiwa kazi?

    Danadana zinaendelea na kuendelea kutafuna fedha za umma. Ya Nyalali yalitupwa, Kisanga alifokewa na Mkapa, Warioba akashambuliwa na Kikwete na hadi kupigwa ngwala na kijana wake Makonda ambaye alipewa zawadi ya ukuu wa wilaya ya Kinondoni. Na huyu kaja na "si amri" - danadana zinaendelea...
  2. JamiiForums Tanzania Nihudhurie usaili upi kati ya hizi mbili?

    Wakuu kwema? Tarehe 27 mwezi huu nimeitwa interview mbili kama ifuatavyo; Saa 2 kamili asubuhi natakiwa kuwa Iringa University mkoani Iringa kufanya usaili wa kuandika ya nafasi ya Uhasibu, muajiri akiwa Iringa University mwenyewe. Nafasi zinazogombaniwa hapa ni 2 kati ya watahiniwa 24...
  3. JamiiForums Tanzania Ni Mkatoliki 100% ila hizi ni sababu zangu za kwanini Sihudhurii na Sitohudhuria Jumuiya za kila Jumamosi....

    1. Jumuiya kumekuwa ni sehemu za Majungu. 2. Jumuiya imekuwa ni sehemu za Kuchunguzana Kimaisha. 3. Jumuiya imekuwa ni sehemu ya Masutano. 4. Jumuiya imekuwa ni sehemu ya Wanaume Kutongoza na Wanawake kutafuta wa Kuwachapa Nao ( Kuwabandua ) 5. Jumuiya imekuwa ni sehemu ya Kutishana kuwa...
  4. JamiiForums Tanzania Nani anasajili na kufunga hizi Line za Matapeli?

    Nikaamua nizipigie niwaambie nimeshatuma nisikie watasemaje. Kupiga namba zote hazipo. Namba hazipo zinatumaje message? Zinapata wapi Salio? CC: Airtel, TCRA na wengineo.
  5. JamiiForums Tanzania Mwinyi Zaheera; Shaban Djuma Kiwango Kimeshuka na Amekua Bonge Sana Siku Hizi

    🗣 “Namwambia mara kwa mara Djuma Shabani kwanza ananenepa sana amekuwa mzito, hawezi kucheza mechi ngumu kama na Al Ahly, Esperance, Wydad. Djuma hana tena speed kama atakutana na winga ana akili sana hawezi kugusa mpira hata mara moja.” - Mwinyi Zahera akizungumzia mlinzi wa kulia wa Yanga SC...
  6. JamiiForums Tanzania Watanzania 33,000 wanakufa kila mwaka kwa Moshi wa Kupikia

    Waziri wa Nishati January Makamba ametoa takwimu hizo wakati wa Semina ya Kuwajengea Uwezo Wabunge wanawake kuhusu matumizi ya Nishati Mbadala Nyumbani. Waziri Makamba ametoa taarifa hiyo akiwa nje ya nchi ambapo ametaja madhara mengine yanayosababishwa na Moshi wa Kupikia kuwa ni Watoto...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wengi hawataki kutambulika kama 'Wife Material' siku hizi, wanajihami kwa kukosa sifa hizo?

    "A good woman is not one size, women say" "Unahitaji kukaa vizuri kama mwanamke!" "Nani atakuoa ikiwa hujui kupika?" Haya ni baadhi tu ya maagizo ambayo wasichana hupigwa navyo wanapokua. Wasichana wanakumbushwa kwamba sifa inayotamaniwa zaidi na wanaume ni aina ya 'wifey material'...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wanaandika kwenye simu za nokia ya tochi vitufe vinalia utafikiri panya anatafuna mahindi stoo!

    Naona muda wa kulala unakaribia na wengine bado wanapiga safari moja huanzisha nyingine. Umewahi kukaa jirani na mtu mahali mnasubiri huduma labda kwenye taasisi fulani hivi halafu huyo mtu anatumia nokia ya tochi akawa anachati an anaandika msg ukasikia jinsi zile button...
  9. JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya na TBD watoe tamko kuhusu tetesi za dawa hizi za mbu

    Wanajukwaa kuna taarifa zinazidi kuenea kwamba hizi dawa zina sumu ya kuua. Hizo ni dawa za kuchoma kwa ajili ya kuua mbu. Kuna clip inatembea kwenye groups za WhatsApp ikitutaka kutotumia dawa hizi. Natoa wito kwa wizara ya afya na TBS kutoa tamko kuhusu ukweli wa dawa hizo. Ikibainika zina...
  10. JamiiForums Tanzania Picha: Hizi Ndizo Sababu za Wanaume Kufa Mapema kuliko Wanawake

    Nisikuchoshe.....
  11. S

    JamiiForums Tanzania Yanga akifanikiwa kuitoa Al Hilal, hizi ndiyo zitakuwa hoja za mashabiki wa Simba

    Katika soka, lolote linaweza kutokea na haitokuwa mara ya kwanza kwa timu isiyopewa nafasi au iliyoko ugenini kufanya maajabu na kuacha gumzo pamoja na kuandika historia. Kwa msingi huo, Yanga wanaobezwa na mashabiki wa Makolo FC wakifanikiwa kuitoa Al Hilal, wenzetu hawa watakuja na hoja hizi...
  12. JamiiForums Tanzania Hizi ndio Athari za Malezi

    Nakutana na watoto wawili wakiwa wanampiga ndege akiwa katika Kona moja ya nyumba,umri wao ni kama miaka mitano Kwa kukadiria. Mmoja anamwambia mwenzake Yule ndege ni wangu lakini tukimpata tutagawana nyama wewe nusu na Mimi nusu. Mashallah nikajikuta nawaza mbali Sana. Huwa tukiwa wadogo...
  13. JamiiForums Tanzania Hivi BoT inahusika kutapeli watanzania kupitia hizi pyramid schemes?

    Pyramid scheme iliyovuma kuliko zote ilikuwa DECI. Watu tulifahamu kuwa baada ya ile watu watajifunza na mamlaka zitajifunza na kitu kile hakitakuja tokea tena. Lakini kumbe ni kama DECI ilifungua mlango wa soko la upatu. Zimepita pyramids schemes nyingi sana hapa kati. Kila moja watu wakilia...
  14. JamiiForums Tanzania Je unataka kibali na upendeleo kutoka kwa rais? Fuata mbinu hizi rahisi za Kibiblia

    Angalizo:- Huu sio uzi wa kidini, ila nitatumia Biblia na vifungu vyake kukuelekeza ni kwa jinsi gani unaweza kupeta kibali, upended, uteuzi, vyeo nk kutoka kwa rais. KIBALI:- Kibali ni upendeleo wa Kimungu unaokupa nguvu ya kuingia popote na kupata utakacho. Ndani ya nchi rais ndiye mtu mkubwa...
  15. JamiiForums Tanzania Je, bangi si haramu? Tunaelekea wapi baada ya Morocco kuhalalisha?

    Hili limenishtua sana. Morocco ni nchi ya Kiislamu kwa asilimia 99.9 inawezaje ruhusu ulimwaji wa Bhangi kwa kusema ni zao la Biashara? Hapa mbona kama wanatuchanganya?
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini Ziara za 'Mtu' siku hizi ni za Kushtukiza, hatutangaziwi, ila akifika aendako ndiko tunajua?

    Ya kwa Mpiga Busu matata Msumbiji baada ya kutoka kupanda Dala Dala kwa Marehemu Mkoloni Wetu na hata ya sasa ya kwa Mwarabu wa Dubai ni mfano Hai wa ninachokiuliza.
  17. JamiiForums Tanzania Kwa hizi tweets za mtoto wa Museveni ni viashiria vya wazi kuwa shirikisho la siasa ndani ya EAC ni ndoto

    Kwa kipindi tofauti tofauti Jumuiya hii ya Africa ya Mashariki imekuwa inakumbana na mambo ya Ajabu ajabu kutoka kwa viongozi Awali miaka ya 2005's -2010's Tilipitia kile kilichooitwa Coalition of Willingness ambapo hapa kidogo baadhi ya wana jumuiya walitaka kumtenga Tz, hatukukaa sawa...
  18. JamiiForums Tanzania Takwimu hizi zinamaana gani kwa sera zetu za kijeshi. Tumekua kama Ujerumani?

  19. JamiiForums Tanzania Yesu Kristo angeishi nyakati hizi angepotezwa mapema sana..... Soma hapa

    Nimetafakari sana inawezekanaje kuwa na matukio maovu yanayoendelea huku kukiwa na watu wengi wanaojitambulisha kama wafuasi wa Yesu Kristo ambaye kwa imani yetu alikuwa mtu mwema asiyetenda maovu? Baada ya tafakuri yangu nimeona ni wazi kwamba Yesu angefanya kazi zake kwa wakati huu...
  20. JamiiForums Tanzania Mwanaume kamili utapanda hizi ngazi kwa style gani?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…