Location Dar!!
-Haves and haves not season 4 kuendelea
-Tyrant season 4
-Deep state season3
-Queen of south season4
-Condor season 3
Movie
-the witch (ile ya kizungu)
-Oblivion
-inception (2010)
Mode of payment
-Exchange : Tunabadilishana series mi nakupa nilizonazo naww unanipa hizo
-Nalipia...
Kipindi kimekosa mvuto kabisa, kimekuwa kipindi cha majungu, tunakumbuka jana hoja kubwa ilikuwa ni tukio la Yanga kutangaza CEO mpya na Afisa habari wake lakini cha kushangaza kipindi kizima kilijikita kwenye malumbano ya mijinga kabisa, wamejikita kwenye hojabdhaifu kabisa eti Manara hajawahi...
Hi gentlemen and ladies!
Hapo chini kuna video ya viongozi wa dini waliokusanywa na viongozi wa serikali kwenda kukemea ajali huko Inyala Mbeya.
Hapo serikali ambayo inakusanya kodi ilipaswa kupanua barabara, kuondoa vichocheo vya ajali na kuweka alama muhimu za barabarani.
Ina maana wataalamu...
Ila nikikumbuka hizi nyimbo nafurahi Ila Kuna mda napata huzuni Kuna watu tulikua tunaimba nao sasa hivi ni marehemu time flies
Wachuja nafaka yaleo Kali
Hardman-tamala
Adili ft Domo kaya pekee yangu
Fid Q mshika mawili
Jay mo cheza kwa step
Jaffarai Niko bize
Afande Sele mtizamo
Proff jay ndio...
Salaam
Kitendo cha Kumnywesha juisi Mwanaume kwa glasi anayotumia na yeye akatumia hapo hapo mwanaume alipotoa Mdomo, imetufedhehesha sana Sisi Waisilam na Jamii ya Afrika Mashariki
Haya angeyafanya nje ya Camera. Mahaba gani haya jamani?
Kumbuka rais wetu ni Mke wa Mtu.
Kiprotocal hii...
FAIDA KUMI (10) ZA KUSOMA VITABU.
1. Ni chakula cha ubongo. Bila kusoma ubongo unadumaa. Hivyo inakupasa kusoma ili kukuza ubongo/akili yako.
2. Vitabu vinakufikisha mahali popote duniani. Utapata kufahamu mazingira na maisha ya watu wengine waishio mbali. Ninaye rafiki, anafahamu miji na...
Wakongwe wa tasnia ya habari akiwemo mkuu Pascal Mayalla mtanisaidia kujua ukweli wa hili.
Kwa muda mrefu redio na TV zimekuwa na hizi habari wanazoziita za kimataifa na wakati mwingine wanavuka na kuzichambua kabisa, kiukweli Sina Shaka na hilo, lakini Shaka inakuja wanatuletea habari za...
NAMBA ZA OFISI ZA WAKUU WA POLISI WILAYA(OCDs) MIKOA YOTE
Ndugu Balozi/Mtumiaji wa Barabara
Tafadhali hifadhi namba hizi kwenye simu yako ili kukurahisishia kutoa taarifa za matukio ya kihalifu au kutaka huduma ya OCD wakati wowote. Ni AIBU kwa balozi kutokuwa na hizi namba.
OCD CHAMWINO...
Habarini wanajukwaa na watanzania tunaokamuliwa na wajanja wachache. Yaani inakuwaje jamani watu Kama watano tu wanatuendesha sie nyumbu. Tunamcheka nyumbu 10k wanakimbia chui 5 Ila na sie hatuna tofauti.
Wanatumia nyumbu wenzetu maaskari kutudhibiti tunaotaka kuwatetea Mana watt wao wanasoma...
Hili litakaaje kwa waanglikana. Kwa kawaida mfalme au malkia wa Uingereza ndiye mkuu wa kanisa la Anglikana. Sasa huyu ndoa yake aliyopo leo haina baraka za kanisa. Atakuwaje kiongozi wa kanisa hilo?
Makamu wa Rais yuko Marekani kuhudhuria mkutano, Rais yuko Uingereza kwenye msiba.
Kuna mawaziri wako nje ya nchi kwa ziara mbalimbali. Mambo haya ni tofauti na awamu iliyopita.
Natamani kufahamu umuhimu wa hizi safari hasa hii ya makamu wa rais. Ikiwa baadhi ya marais wako msibani kuhudhuria...
Kuna makampuni matatu ambayo kiukweli usijaribu kuweka dau refu au usiwategemee sana pindi unapobashiri michezo mbalilili.
1.Gal spot Betting; hawa jamaa siku wakiliwa sana wanazima mtandao,au wakiona kuna mechi zimekaa mkao wanahofu watapigwa lazma wazime mtandao.Ukiweka dau kubwa kuanzia...
Wana wa mama tozo hopeful mnapambana ipasavyo...
Basi bwana mwezi uliopita nikiwa benk flan ya kikulima kikulima nikakutana na ndugu yangu kwenye ukoo tulipotezana mda sana. Huyu ndugu alikuwa na mkewe pamoja na rafiki wa mkewe. Hawa wanawake wote walikuwa na vibendi vikubwa tu vya kujifungua...
Karibu marais wote wa Kenya wamewahi kuonana na malkia Elizabeth II kasoro William Ruto ambaye ameenda kumzika.
Hapa kwetu ukiondoa mwalimu Nyerere Nani mwingine?
Tuliwahi kumuweka mtu mmoja pale ikulu kila uchwao yeye alikuwa akiwaita wazungu mabeberu. Yule mtu sijui tuliteleza wapi?
MAISHA HAYANA FORMULA LAKINI YANA SIRI NYINGI! ANGALIA HIZI 11, KAMA ZITAWEZA KUKUFAA
1. SIRI YA KWANZA
Tengeneza "connection" na watu usitengeneze urafiki, Iko siku marafiki uliowatengeneza watakugeuza Chakula Cha Kula maana "kikulacho kinguoni kwako!", Siyo rahisi rafiki akakubali upate...
Kaitka miaka hii michache nyuma maendeleo ya teknolojia yamepelekea kutengenezwa taa za vimuli vimuli kwenye magari ambazo nionavyo mimi ni hatari kwa maisha yetu.
Nazungumzia zile taa za kuashiria kupinda au kusimama kwa vyombo vya moto. Taa hizi sasa zimekuwa zikitumika ovyo kiasi kwamba...
Habari. Hawa mabwana wanajiita Samsung discount wapo china plaza bei zao ziko chini sana ukilinganisha na maduka mengi yanayo uza simu za kufanana na hizo mpaka nimeshawishi nataka nikachukue Note 10+ lakini ninakuwa na wasiwasi ebu team Samsung nitoeni uwoga na wasiwasi nataka nikaitie petrol...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.