hizi

Hizi Koyke (1902 – September 1991), born Koike Hisako, was a Japanese singer based in the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kama wewe ni masikini usicheze mbali na hizi course

    Mtoto wa masikini course zake zinajulikana. Ni udaktari Kilimo na uvuvi Ukizidi Sana ualimu wa kingereza au science Mtu unasoma HR hata sehemu ya kujitolea kupata tu ni mziki mnene kuzidi hadi ule wa disco sound Watu wanaumwa kila siku magonjwa kibao madaktari wanatafutwa huku kwenye Elimu...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu bei ya taa hizi

    Wadau hivi ni kweli taa hizi za mbu zina uwezo wa kuvuta na nzi. Vipi bei yake halali ni Tsh ngapi
  3. R

    JamiiForums Tanzania Mvua hizi ambazo zinanyesha kwa kuchelewa, zinafaa kupanda? TMA tusaidieni kama zitaendelea na kuwezesha kuvuna

    Mvua inayesha sana leo na jana Tanga, Zimekuja very late nina wasiwasi zitakatika may be end of May na mazao kukauka TMA, Je, mkulima anaweza kupanda. Ushauri please
  4. B

    JamiiForums Tanzania Twitter imekuwa ya ovyo sana siku hizi

    Serikali imefungia kurasa za mitandao ya Fabebook 361, Instagram 198, Twitter 12 na vikoa 2,456 ambazo zilikuwa zinajihusisha na matangazo ya ukiukwaji wa maadili ikiwemo mapenzi ya jinsia moja. Kauli hiyo imetolewa bungeni leo Jumatatu Aprili 17, 2023 na Waziri wa Habari Nape Nauye wakati...
  5. JamiiForums Tanzania Mvua hizi zina utamu wake jamani!

    ...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Hizi bilioni Kumi za vikundi mbona hakuna kikundi kijijini kinachodaiwa? Waliolipwa ni wakina nani?

    Hizi fedha zilitolewa Kwa ajili ya viongozi wa CCM, wakagawana Kwa mgongo wa kijiji. Hakuna mwana ACT wala CHadema wala chama kingine cha siasa aliyepewa hizi fedha. Zilichukuliwa zikapelekwa kwenye matawi ya CCM wakagawana. Hii NI mara ya pili zoezi kama ili linafanyika, yalitolewaga mabilioni...
  7. JamiiForums Tanzania Natamani sana Kumjua huyu 'Mwamba' aliyebuni hizi Mbinu Mpya za 'Kuua' Vibaka / Wezi Wasumbufu Uswahilini

    Ya Kwanza ( #1 ) Kibaka / Mwizi anabebwa na Watu Wawili tu kama Maiti inavyoingizwa katika Jeneza kisha ANATIKISWA ( ANACHEKECHWA ) mara Saba ( 7 ) kisha anaachiwa na baada ya dakika 15 tu anawahishwa Mochwari iliyoko Jirani nae Kusubiri Kuzikwa. Ya Pili ( #2 ) Kibaka / Mwizi akikamatwa tu...
  8. JamiiForums Tanzania Katika hizi Ajira Mpya za ualimu TAMISEMI Mtu aliyesoma masomo ya arts tofauti na kingereza hizi nafasi hazimuhusu?

    Nimesoma PDF ya Tamisemi nimeona watu wa arts wamepigwa k.O Na K.T.O Sasa hii imekaaje naona English ndo wamepewa nafasi tu.
  9. JamiiForums Tanzania Siku hizi hata uhudumu wa mabasi unatakiwa uwe na degree

    Kampuni ya mabasi ya ABC imetangaza nafasi za kazi kwa wahudumu wa mabasi (Bus Hostess) ambapo kuna vigezo kadhaa unatakiwa kuwa navyo. Kigezo kimoja wqpo ni Bachelor Degree in Public Relation, Procurement, Account, Marketing au Business Administration. Yaani wanataka wahudumu wasomi na sio...
  10. JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG 2021/22: Hizi ndio Wizara 5 zilizofanya ubadhirifu wa Tsh. Bilioni 212 za UVIKO-19

    Ripoti hiyo ya CAG imeibua hoja nyingi zinazoonyesha matumizi mabaya ya fedha hizo zilizopelekwa kwenye wizara mbalimbali za serikali (Afya, Elimu, Utalii, Maji na Watu wenye Ulemavu). Jumla ya thamani ya hoja zote za ukaguzi zinazoashiria kuwepo kwa matumizi mabaya zinathamani ya Shilingi...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Hivi hawa watu wanalipwa na hizi redio?

    Kuna kipindi nilikuwa nikisikiliza radio hukosi simu au message za hawa watu katika kipindi chochote; 1. Mwalimu Kennedy mpemba kutoka Kahama hasa kwenye DW 2. Hamisi full migebuko kutoka kigoma 3. Daudi wa kota 4. Salma Msangi kutoka Dodoma 5. Kuna mwingine Filbert japo jina la mwisho...
  12. M

    JamiiForums Tanzania We Zitto Kabwe kibaraka wa CCM acha propaganda uchwara. Habari hizi peleka kwenu ujiji.

  13. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Sabaya siyo mkosaji wa kisiasa ni jambazi

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu alihojiwa na Dar 24 Media siku chache zilizopia. Akiwa katika mahojiano hayo Lissu amezungumza masuala mengi yanayohusu mwenendo wa kisiasa nchini. Aidha alipoulizwa kuhusu kumchukulia Mkuu wa Wilaya wa zamani wa Hai, Lengai Ole Sabaya kama Mkosaji wa...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Hizi ripoti mbili za CAG zinaonyesha madhaifu ya utawala wa Magufuli. Je, zinazofuata zitaruhusiwa kuonesha madhaifu ya Rais Samia?

    Kashfa nyingi za ripoti ya CAG kwa mwaka jana na mwaka huu zimetendwa wakati wa Magufuli; ndege, nishati, mashirika ya umma ikiwemo TTCL yanatuhimiwa kuiba au kusababisha upotevu wakati wa Magufuli. Hii nikutokana na ukweli kwamba maelekezo yalikuwa mengi kuliko utaratibu. Maelekezo na speed ya...
  15. JamiiForums Tanzania Nilisema humu kabla feitoto hakuitwa stars ili acheze Bali kukutanishwa na Yanga. Fact 10 hizi hapa

    Kwa uzito. 1. Tayari kocha mkuu wa stars na Msaidizi Moroko wamekiri kumshauri arudi Yanga ili acheze stars. 2. Alipofika tu airport akapigwa picha akiwa na wachezaji wa Yanga. 3. Tff iliwaacha Kapombe na mohamedi huseni. Ili feitoto aone kuwa mchezaji mkubwa Basi ucheze Yanga. 4. Kwa uhalisia...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa mechi hizi zilizobaki unampa nani ubingwa wa Premier League?

    Ligi Kuu ya Uingereza inaelekea ukingoni, zikiwa zimebaki mechi kadhaa, Arsenal anaongoza ligi kwa alama 5 huku akiwa amecheza mechi moja zaidi ya Man City. Man City yeye amebakiza mechi 10 wakati Arsenal amebakiza mechi 9. Haya tuone kila timu imebakiza mechi zipi na baada ya hapo tabiri nani...
  17. JamiiForums Tanzania Gari za serikali zimepotea sio hizi bus za Esther?!

    Kuna kila haja ya kuunganisha dots. Juzi tu tuliambiwa kuna waziri kaingiza basi 60. Leo CAG anasema kuna gari hazionekani. Najaribu kuwaza isije kuwa hela za magari anayosema CAG ndio yamechepuka kuagiza basi? Kwani GPSA ipo chini ya wizara gani?
  18. JamiiForums Tanzania Ndege nyingine ya Urusi yapigwa chini Bakhmut, zitaisha hizi

    A Russian Alligator Ka-52 helicopter was destroyed by the forces of the 10th Separate Mountain Assault Brigade "Edelweiss" on 5 April. Source: Serhii Cherevatyi, spokesperson for the East Grouping of Forces of the Armed Forces of Ukraine, in a comment to Ukrainska Pravda; "Edelweiss" Brigade on...
  19. JamiiForums Tanzania Nani ananunua gazeti siku hizi? Hakuna umuhimu tena

    Habari wakuu.Miaka ya nyuma kidogo tulisoma magazeti, tena kila habari kuanzia za siasa michezo hadi vibonzo bila kusahau matangazo. Nakumbuka miaka ile, mzee alikuwa akija na magazeti ya Nipashe, Majira na Mwananchi kila alipotoka kwenye mihangaiko. Hii ilitujengea hamasa ya kupenda kusoma...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna raia au kiongozi wa Serikali mweusi(asili ya Afrika) nchi za Urusi na China..?

    Maana siamini km hakuna watu weusi katika NCHI hizo km hawajaolewa au kuoa na wenyeji wa hizi nchi.. Huwa wanaishia wapi? Pia naamini wapo watu weusi wamezaliwa hizi nchi MIAKA na MIAKA na hawahi kuishi nchi nyingine kuishi zaidi ya hizi, Hawa nao huishia wapi? Yasije tokea Yale ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…