hizi

Hizi Koyke (1902 – September 1991), born Koike Hisako, was a Japanese singer based in the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Nina wasiwasi kuna watu wapo kimakosa katika zama hizi walipaswa wawe stone age

    Ukichunguza vizuri kuna baadhi ya wafuasi ,wakeleketwa na machawa Promax wa chama fulani kilochongukia katika list ya terrorist organization ,nina kila sababu ya kusema hawakupaswa kuwa katika zama za sasa za ustaarabu bali walipaswa kuwa stone age ,kwasababu maisha wanayoishi na fikra walizo...
  2. JamiiForums Tanzania Kuna siri gani ya namba 3,6,9 na kwa nini ukiweza kujua hizi namba wewe umekuwa universe?

    Mshana Jr hii elimu naomba nikupe uweze kuwajibu. Ila nimeona mpaka kwenye teknolojia sio jina ila kwenye mambo mengi ambayo tunafanya kama binadamu. mfano namba 9 inaweka kuwa 6 hapa ndio binadamu wakapishana. Mfano 3 kwa mwengine ikawa B. Kwa nini 6 iwe jicho la ufahamu . Mwanasayansi...
  3. JamiiForums Tanzania Mwigulu tafadhali usiseme 'Zanzibar' na 'Tanzania bara' unaporejelea pande hizi mbili za muungano

    Mwigulu, tafadhali sana usitaje jina 'Tanzania bara' na 'Zanzibar' unapozungumzia pande mbili za muungano unaounda Tanzania, badala yake tumia Tanganyika na Zanzibar. Ukishasema Zanzibar lazima useme Tanganyika, hilo ni sharti na siyo ombi. Ukishasema Tanzania bara ni sharti umalize kwa kusema...
  4. JamiiForums Tanzania Tarehe Mbaya Hizi...

    Wazee wa magari tarehe mbaya hizi na Hormuz imepigwa pin basi inakuwa double trouble. Mshale wako umesimama wapi? Cc Mad Max
  5. JamiiForums Tanzania Hivi hizi kombi mpya za advance nazo wakimaliza wanasoma kozi hizi hizi za baed?

    Wakuu mna maoni gani?
  6. M

    JamiiForums Tanzania UDOM: Hizi hapa hoja 15 nzito alizozipangua David Kafulila

    Wasalaam, Hivi ndivyo alivyofanya David Kafulila chuo kikuu cha DODOMA, amefafanua jambo moja baada ya jingine kwa kina, Soma mpaka mwisho l, === 1. $1 Trilioni Club inawezekana Historia inatufundisha: Korea Kusini ilitoka uchumi wa ∼$90-100 bilioni → $1+ trilioni ndani ya miaka 25. Mwaka 1995...
  7. JamiiForums Tanzania Usinunue Tena Iphone Kwenye Box Bila Kujua Siri Hii , Utashangaa….

    Asilimia 95% ya simu za iphone ambazo watanzania wengi wanauziwa kwenye box huwa ni simu used…. Je, Ulikuwa unajua hili ? kama hujui basi habari ndio hiyo. ……naona unabisha pengine wewe mwenyewe au rafiki au ndugu ulisha wahi muona amenunua simu mpya kabisa na amefungua kwenye box …sasa...
  8. JamiiForums Tanzania Nataka nibadili jina langu JF baada ya watu kulisema sana

    Mzuka wana jamvi ? Kuna wapuuzi humu JF walikuwa wanafananisha jina langu na la ID ya Chizi Maarifa wakati ni majina mawili tofauti yasiyo fanana sasa baada ya kelele zao nimeona nibadilishe jina na nataka nichague jina Moja kati ya yafuatayo 1. Ghayo de Nyangwisi 2. Ghayo de Nyambumbu 3...
  9. JamiiForums Tanzania Taarifa kama hizi potofu lengo lake linakua nini? Tuwe na imani na jeshi

    MNAKUMBUKA NILISEMA, HIZI NI SAA NA HAKUNA KESI HAPA Kwanza nitakuwa wa kwanza Leo kuugana Mwamposa kwamba hapa hakuna mmasai , hebu angalia hizi picha na sura hawa ni wamasaia ? Okey hata kama ni wamasaia bado inakataa kabisa kuingia akilini. Ipo hivi Jeshi la Polisi ambalo, Kwa miaka zaidi...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Jifunze kukataa hizi laana kwa nguvu zako zote.

    Kwa nini hatuanzi, na tukitaka kuanza tunaghairi? Moja ni ‘laana’ ya kuwa na uwezo. Unajua unaweza, ukitulia siku moja tu kazi ya mwezi mzima utaifanya ndani ya siku mbili na hakuna tatizo. Kwa nini uanze mapema kama unaweza kuanza siku moja kabla? Unaahirisha upumzike kwanza. Pili, imani kuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Mishangazi ya siku hizi ina njaa balaa

    Tofaut na zaman ambapo ilizoeleka mishangazi inajiweza kiuchumi. Kwa sasa mishangazi mingi midangaji tu. GenZ stuka usipoteze nguvu kwenye show za mishangazi. Bora upige punyere tu. Utunze kibunda.
  12. JamiiForums Tanzania Kwa takwimu hizi, Huyu hakustahili kubeba EPL

    Yaan8 ni kipofu Hata mashabiki wake ni vilaza
  13. JamiiForums Tanzania Magari ya Toyota generation mpya mpya zinafanana sana kimuonekano. Unaweza usijue ni model gani ukiona picha kwa mbele

    Kama umefuatilia, generations mpya za Toyota kuanzia 2023 kuja mbele zimekua kama zinashare design language moja kwa mbele. Mfano: Toyota Crown 2025 Lexus ES 350h 2025 Camry 2025 Prius 2025 Ata ukicheki baadhi ya crossovers/SUV kama nazo kwa mbele zinafanana design. Angalia mifano...
  14. JamiiForums Tanzania Nimefatilia hizi ndizo kozi za afya unazoweza kuajiriwa kwa urahisi

    ●Biometrical Engineering Hapa soma diploma tu fanya kazi utapanda daraja kidogo kidogo ●clinical ●Nursing ●health laboratory ●physiotherapy ●Dental therapy and surgeon ●Environmental health ●Radiology ●Nutrition ●occupational therapy ● Technologist pharmacy
  15. JamiiForums Tanzania Hizi busara za Omar Mahita na Pascal Mayalla zimeanza lini?

    Mzee Mahita ameongea mambo mengi kiasi kwamba jamii haiamini anachosema. Mfano rais mstaafu kutumia vibaya madaraka kwa sababu katiba tuliyinayo ni mbovu na kumteua Said Mwema kuwa Igp kisa tu ameoa kwao. Na keleza namna vyombo vingine vya usalama vinakamata watu na kuwaweka kwenye sero za...
  16. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Siku Hizi Wanaingia kwa Merit au Kufahamiana?

    Katika jamii nyingi za leo, swali ambalo limekuwa likiulizwa mara kwa mara ni kama viongozi wanaochaguliwa au kuteuliwa kwenye nafasi mbalimbali wanaingia kwa sababu ya uwezo wao halisi au kwa sababu ya kufahamiana na watu wenye nguvu. Hoja hii imeibua mijadala mikubwa hasa pale wananchi...
  17. JamiiForums Tanzania Harakati ni kupambania yale ambayo yanaonekana hayako sawa

    HARAKATI siku zote huwa zina lengo la kupambania yale ambayo tunadhani hayako sawa kwenye jamii na yale ambayo tunadhani yalitakiwa kufanywa kwa mtazamo mwingine kabisa na huwa zinakuwa na lengo la kuikumbusha serikali au watawala juu ya mambo fulani fulani. HARAKATI haiwezi kugeuzwa kuwa ni...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Nini kinatokea siku hizi?

    Hija katika Uislamu Hija ni nguzo ya tano ya Uislamu. Ni ibada takatifu inayomuwajibisha kila Muislamu mwenye uwezo wa kiafya na kifedha kusafiri hadi Makkah, Saudi Arabia, kutekeleza taratibu maalum ndani ya Mwezi wa Dhul-Hijjah, angalau mara moja katika maisha yake. 🕋 Misingi na Utekelezaji...
  19. JamiiForums Tanzania Sababu ya mabinti wa siku hizi kuzaa mapema ni nini?

    Salama. Jamani sasa hivi kwenye miji iliyochangamka mabinti kujitunza imekua uongo kabisa . U can't imagine mabinti wadogo mtoto ana mzaa mtoto ,watoto wadogo wa kike wanakunywa pombe kali ni kama akili imestuck ,wanavuta Sitara na shisha sasa najiuliza ! Mtoto anamleaje ? Will she be a good...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Hadhi ya Mwanza na majiji mengine ipo wapi? Tukisema hizi ni dharau tunakosea? Bajeti na mikopo ni kwajili ya miradi ya Dar na Dodoma?

    MIRADI YA MIUNDOMBINU YA MAJIJI – BAJETI YA MWAKA 2026/27 1. JIJI LA DAR ES SALAAM BRT na Maboresho Makubwa ya Barabara I. BRT Awamu ya 3: Maktaba – JNA – Gongolamboto (km 23.3) II. BRT Awamu ya 4: Maktaba – Morocco – Mwenge – Tegeta pamoja na Mwenge – Ubungo (km 30.1) III. BRT Awamu ya 5...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…