hivyo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kifo chako kitakuja siku ya kawaida, katikati ya mipango ambayo haijakamilika na dunia itaendelea bila wewe. Hivyo basi achana na kushindana na maisha

    Usijalaumu kwa kuchelewa Usijalaumu kwa kusemwa Usijalaumu kwa kupitwa Usiogope kushindwa Sio lazima uwe tajiri kwa njia yoyote ile. Sio lazima uwa lidhishe watu kwa namna yoyote ile. ishi na asili, usiishi ya watu
  2. OMKEIT 93

    JamiiForums Tanzania Je, kujenga nyumba ya makazi bila kibali ni kosa? Kwanini watu wengi hufanya hivyo bila kusumbuliwa?

    Wakuu, Kuna jambo nimekuwa nikijiuliza kwa muda na naamini kuna watu humu wanaweza kuwa na uzoefu au uelewa mzuri wa sheria za ujenzi Tanzania. Je, mtu anayejenga nyumba yake ya makazi kwenye kiwanja chake anatakiwa kuwa na kibali cha ujenzi kabla ya kuanza kujenga? Kwa sababu ukienda mikoani...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania CCM hamtawaweza walahi. Hiyo Kete ya Dudu baya na magenge mengine kama imewachota kirahisi hivyo sijui kete zingine

    Bado Niko Kanda ya ziwa huku! Aiseeh! Hii CCM kuiondoa madarakani ni kazi kwelikweli. CCM haipo tuu midomoni. CCM ilipandwa kwenye akili za watu. Yaani asilimia 90% ya Watanzania wanaakili za kiccm CCM. Wengi unaowaona wanapinga CCM wengi wao ni Njaa tuu. Wala hawapingani na uccm ambao...
  4. polokwane

    JamiiForums Tanzania Polisi muwe na aibu mmekuwa waongo kupindukia kwa unyeti wa taasisi yenu hamkupaswa kuwa waongo hivyo, dereva tu anapata wapi ujasiri kuteka?

    Hao ni wenzenu hao wa kitengo cha utekaji dereva wa kawaida hawezi kujiwekea namba za kiusalama kienyeji tu, lakini hana ulazima wa kuwa na bastola toy yeye ya nini? Halafu dereva tu anaoata wapi nguvu ya kutaka kumteka dereva wa kampuni kubwa kabisa ya usafirishaji ? Halafu awe dereva tuu ...
  5. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Algorithm vs AI(akili mnemba) kwenye ugumu wa maisha kwa sasa.

    Katika dunia ya sasa, watu wengi huzungumzia AI (Akili Mnemba) kama teknolojia inayobadilisha maisha kwa kasi kubwa. Hata hivyo, swali moja muhimu linaibuka: Je, ni AI kweli inayotawala maisha yetu, au ni algorithm zilizopo nyuma ya pazia? Algorithm ni seti ya kanuni na maamuzi yaliyopangwa...
  6. figganigga

    JamiiForums Tanzania Kila moyo wa kike kuna nafasi ya Mwanaume. Hivyo hivyo kwa Wakike

    Kama Baba usipoijaza hiyo nafasi, mtoto ataitafuta mtaani. Kama Mama hajajaza roho ya mtoto wa kiume, ataitafuta nje. Tuishi na watoto kwa upendo. Mtoto akioa ndo Mama anajiondoa. Na Mtoto akiolewa Baba kaa pembeni. Msipojiondoa kwenye urafiki wa mtoto, ndoa za watoto hazitadumu. Kwa...
  7. Kigongoi kwetu

    JamiiForums Tanzania Nini kitatokea

    Najiuliza tu,siku vyombo vya dola vikisema hatupokei maagizo ya kisiasa ys mtu yoyote,tutafanya kazi kulingana na kanuni na taratibu zilizopo. Najiuliza tu,siku vyombo vya habari vikisema, hatupokei maagizo ya kisiasa ya mtu yoyote,tutafanya kazi zetu kwa mujibu wa sheria zilizopo. Najiuliza...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Sasa nimeelewa: Lissu alitoa tu taarifa kuwa DCI amekataa kuwa shahidi wake, hivyo lilikuwa ni jukumu la mahakama kumtaka DCI afike mbele ya mahakama

    Baada ya kusoma maelezo ya wakili Matata, hiyo ndivyo nilivyoelewa. Kwahiyo, mpaka hapa, Lissu aliitega mahakama na mahakama ikaingia kingi ingawa nashindwa kuamini kuwa mahakama haikuona hii kasoro. Swali ambalo bado linaumiza kichwa changu, ni kuhusu CDF ns IGP kusemewa na DCI na...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mwigulu aje hapa akanushe kuwa Lissu alipopigwa risasi Magufuli hakumwambia atangaze serikali haihusiki akakataa kufanya hivyo na Magufuli akamchukia!

    Nimeshangaa sana kuona leo hii Mwigulu Nchemba anasema waliompiga risasi Lissu walifanya hivyo ili ionekane serikali ilihusika. Niwaambie ukweli wa siku ya tukio la Lissu kupigwa risasi. Wakati huo Mwigulu Nchemba alikuwa waziri wa mambo ya ndani. Mara tu baada ya Lissu kujeruhiwa kwa risasi...
  10. Kichwa Kichafu

    JamiiForums Tanzania Hongera JJ Ephraim Kwa Maudhui Bora, Ukiendelea Hivyo Utafanya Zaidi Ya Hapo

    Habari, Nimemtazama JJ Ephraim ambaye ni mtoa Maudhui ya video kwa namna ya kuburudisha jamii pamoja na kutumia lugha ya Kiswahili kwa ufasaha. Nampa Kongole kwenye ubunifu wa kuandaa mawazo, jumbe na mafunzo yanayolenga jamiii moja kwa moja kwenye kuonya,kufundisha na kuburudisha. Umekuwa...
  11. polokwane

    JamiiForums Tanzania Swala la kumfukuza nchimbi sio la CCM ni la Samia na genge lake na ni kwa maslahi ya genge hilo tu sio taifa elewa hivyo.

    Na kwakuwa CCM wengine ni fuata upepo ukweli upo mioyoni mwao, Hiyo ndiyo habari iliyopo mezani
  12. G

    JamiiForums Tanzania Siku ya hukumu ya kunyongwa Kwa Lissu kama wataamua hivyo itampa umaarufu Dunia nzima na chama chake huku ikiwachawachafua na nchi yetu ikipata aibu

    Kwa hatua aliyofukia Lisu akiachiliwa au akinyongwa Bado credits zote zinarudi kwake na chama chake maana wamechagua haki na ukweli Lakini waswahili wanasema heri nusu shari kuliko Shari kamili au heri aibu kuliko fedheha Hamna haja ya kumtumia Lisu kama kete ya kulazimisha maridhiano...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Makocha tunaajili wazungu,kwanini shule pia isiwe hivyo?

    Tanzania bado tuna amini makocha wa kizungu ndo wenye material kichwani ya kuwafundisha watu wetu katika michezo mbali mbali hasa mpira wa miguu.Mpaka Leo wazawa hawaaminiki kwenye ufundishaji wao wa mpira hapa nchini iwe ni vilabu hadi timu ya taifa. Je kwanini tusiajili pia wazungu wakaja...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Tusichukulie Kirahisi, Rais Samia anaweza kufika Mahakamani kuwa prove wrong. Hivyo Lissu ajiandae kisawasawa

    Hamjambo! Kwanza poleni kwa wote walioumizwa na taarifa ya Lisu kukutwa na kesi ya Kujibu. Sasa isiishie kujifariji kwamba Mashahidi aliowaita Lisu hawawezi kufika mahakamani. Sitegemei Tundu Lisu awe aliwaita hao mashahidi kwa kudhani kwamba wanaweza kukaidi amri ya mahakama na kuivunjia...
  15. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Papa hawapati saratani hivyo wanaweza kutumika kama tiba ya saratani?

    Kumekuwa na taarifa kuwa samaki aina ya Papa ana uwezo wa kuzuia saratani na anaweza kutumika kama tiba ya saratani. Ni upi uhalisia wake?
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DED Mtwara Mikindani: Muuza Samaki anayetozwa ushuru kisha akiomba risiti anatishiwa, aje aripoti tuwabaini wanaofanya hivyo

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Mtwara Mikindani, Hassan Nyange ametoa ufafanuzi kuhusu malalamiko ya wafanyabiashara wa Soko la Samaki Feri, kuhusu madai ya ukiukwaji wa taratibu katika ukusanyaji wa ushuru. Hoja ya awali ya Mdau hii hapa ~ Wafanyabiashara wa Soko la Samaki Feli, Manispaa ya Mtwara...
  17. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Wahadhiri 100 kuchanga sh laki tano pekee kwa Mhadhiri wa UDOM anae shitakiwa kwa ugaidi. Je huu ndio ujumbe wanao upeleka kwa serikali ya Samia? 👇👇

    Picha lina anza mhadhiri wa UDOM anakamatwa na vyombo vya dola kisha kushtakiwa kwa kosa la ugaidi. Je huyo mhadhiri ametenda kosa la ugaidi? Mimi sio mwanasheria ila najua kuwa this case is Res Sub Judice, and therefore very little to comment about that. Hukumu ya Mahakama ndio itakayo tupa...
  18. J

    JamiiForums Tanzania KERO Ameripoti katika Kituo cha Kazi na kuambiwa vitendea kazi ni vichache hivyo hawezi kufanya kazi hapo. Hii ni sawa?

    Ndugu yangu ameitwa kazini kama Afisa Usafirishaji na katika barua yake ya ajira ameagizwa kuripoti Dodoma. Alifika mapema katika kituo alichopangiwa na kuanza taratibu za kuripoti kama alivyoelekezwa. Hata hivyo, alipofika katika kituo hicho, aliambiwa kuwa kituo kina magari machache na hivyo...
  19. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Hatukuwa tofauti sana na Singapore; kwanini Nyerere aliamua kujirundikia madaraka ya Urais ikawa kama ufalme?

    Wakati tunakabidhiwa uhuru 1961 hatukuwa na huu mfumo wa siasa na utawala kama tulionao sasa wa Rais kuhodhi madaraka makubwa kupitiliza. Tulikuwa na mfumo wa kibunge naweza kusema hivyo kama uliokuwepo Singapore ambao hupo mpaka sasa na hapa Waziri mkuu wa zamani wa Singapore Lee Hsien Loong...
  20. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ndio hivyo tena, tumeikosa. Dangote

    Ndio hivyo tena, tumeikosa. Dangote ameiambia BBC, ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta katika mji wa Lamu nchini Kenya utaanza Oktoba 2026. Ujenzi utagharimu Dola za Kimarekani bilioni 15.5 badala ya bilioni 20 zilizotajwa awali. Upungufu wa gharama umetokana na uzoefu wa kujenga kiwanda...
Back
Top Bottom