hivyo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Uwezi kuwa mpinzani, ukajiunga ccm UNAENDELEA na akili zako? Mtatiro amekuwaje hivyo hivi?

    Leo mtatiro anawaamisha watumishi walio kuwa na shida ya ubadhifu na matumizi mabaya ya MADARAKA alafu mtatiro anaamua kama jitu la CCM na sio Cuf? Hivi Mtatiro Ujui ukifa UTAKUTANA maelf self?Ujui kama lipumba yupo Alie kujenga?kweli ccm imekubadili akili? Naumia sana WIZI ULIO kuwepo...
  2. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Hata wale waliotekwa walitekwa yale ya 29/10 hivyo maridhiano yanawahusu.

    Huko serikalini ni kama watu wamepanick hata hawaeleweki. Sababu nikwamba hawaelewi washike lipi waache lipi. Mambo ni mengi: . Ukosoaji unaongezeka . Utekaji unaendelea . Shinikizo kutoka ndani na nje bado ni kubwa. . Wanaitwa serikali bandia maana uchaguzi ulivurugwa. Wasichokielewa...
  3. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Askofu Josephat Gwajima: Mlipaswa kunisikiliza. Hata hivyo itakuwa vilevile kama nlivyowaeleza...!

    https://youtu.be/4ZAYXzEBXt8?si=izBx2goyWhBTHUYH RV Mahuburi ya Askofu Josephat Gwajima Jana katika mkesha wa mwaka mpya kanisa GCTC - UFUFUO NA UZIMA yalikuwa too philosophical, indirectly yakiwalenga watesi wake - CCM, Rais Samia Suluhu Hassan na serikali yake... Soma pia PreGE2025 - Askofu...
  4. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Tunaingia mwaka mpya huku mtu akiwa ameuwa maelfu ya watanzania wenzake sio hivyo tu amewasingizia watoto wadogo wa miaka 13 uhaini

    Tunaingia mwaka mpya huku mtu akiwa ameuwa maelfu ya watanzania wenzake sio hivyo tu amewasingizia watoto wadogo wa miaka 13 uhaini. Sio hivyo tu amewafunga wababa wa watu wakina polepole kinyume cha sheria kwa hirq zake.
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mapokezi ya kijana Jovin mhaini yanasisimua; moyo usinifanyie hivyo

    Aiseeh! 1. Mungu mwenyewe anajua. Na yeye ndiye ataamua. 2. Moyo usinifanyie hivyo. Nimejikuta katika Hali ya kupatwa na simanzi nilipoiona video ya Jovin Yule kijana aliyembeba mhaini mwenzake aliyevunjwa miguu. 3. Video inamuonyesha Jovin akipokelewa huko kwao Arusha kama sijakosea. 4...
  6. Raia Fulani

    JamiiForums Tanzania Islam meanse Peace. Hivyo basi...

    Merry Christmas to all good people. Kama unaona hii salamu haikuhusu, basi sio mbaya. Mimi sina hiyana. Salaam Alaikum. Hii salamu ukiondoa lugha, kimuktadha haina mipaka. Ni kwa vile tu imenasibishwa na uislam. Hata hivyo wapo wakristo katika hizo nchi za kiarabu wanaitumia salamu hii...
  7. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wabongo wengi ukiwasaidia wanaamini kuna kitu unapata. Hivyo usimsaidie MTU burebure

    WABONGO WENGI UKIWASAIDIA WANAAMINI KUNA KITU UNAPATA. HIVYO USIMSAIDIA MTU BUREBURE Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Wabongo wengi wanaamini huwezi kuwasaidia burebure. 2. Wanaamini wanastahili uwasaidie kwani nawe unakitu utapata unapowasaidia. 3. Kwamba wewe ndio unashida kuliko...
  8. Rungwe88

    JamiiForums Tanzania Watanzania hali ya nchi imeshabdilika hivyo mnatakiwa kubadilika haraka iwezekanavyo kama ifuatavyo

    Nchi imeshabadilika baada ya maelfu ya mauaji ya Watanzania kufanyika bila hatia, hivyo wananchi wamejaa na chuki, hasira, visasi, sumu n.k dhidi ya utawala huu haramu uliopo unaoongozwa na samia. Watanzania hawa wapo ndani na nje ya nchi hivyo chochote kinaweza kutokea Sasa kulingana na haya...
  9. Trainee

    JamiiForums Tanzania Tuache kuwaletea dharau, kebehi na kiburi wale wenye mzuka wa kuandamana kwani kufanya hivyo ni kuwachochea watekeleze kile walichokuwa wanakipanga

    Lengo la kuzuia na kupinga maandamano haikuwa kuonesha ubabe au kumkandamiza mtu Serikali iendelee kutatua changamoto na matakwa ya vijana hao kwa kadri inavyowezekana Sisi wengine hakuna kinachotuhusu hivyo ni vyema tukachunga ndimi zetu. Mwenye jukumu la kutekeleza matakwa yao ni serikali...
  10. Sitakuumiza Kamwe

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mnaodhani Jeshi litaungana na Wananchi katika utawala huu mnajidanganya. Hawafundishwi hivyo!

    👇👇👇👇👇👇👇
  11. C

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kuna ambao wanajifanya maandamano ya kudai uhuru wa kiraia,kukataa ubadhirifu na mauaji hayawahusu, ndio hao haki ikipatikana wataanza tena kufurahia

    Huwa ipo hivyo , kwa sasa wanajifanya hayawahusu kwa sababu tangu uhuru hawajawahi iona tanganyika yenye uhuru wa kiraia , yenye uwajibishanaji, inayo heshimu haki na utu wa mtanganyika kwa vitendo na sio maneno. Tanganyika isiyo na rushwa wala viongozi kujilimbikizia mali na familia zao...
Back
Top Bottom