historia

Canal História, currently branded as História, is a Portuguese basic cable and satellite television channel that features history documentaries most of which are produced by History USA and Portuguese and Spanish historic productions, owned by the joint venture known as The History Channel Iberia, between A&E Networks and AMC Networks International Iberia. More recently, it started broadcast some reality television series. Initially it was a single Iberian channel founded by Multicanal (currently AMC Networks International Iberia) with feeds in Portuguese and Spanish. It was created in March 1999 and it split into different channels on 21 March 2012.Some Portuguese historic productions airing in Canal História include Foz Côa about Coa Valley Prehistoric Rock Art, O Tratado de Tordesilhas about the Treaty of Tordesillas, Marquês de Pombal concerning Marquis of Pombal, Portugal e a NATO (Portugal and NATO) and A História Do Azulejo (History of Azulejo).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Historia ya mtandao wa YouTube

    Historia ya mtandao wa YouTube YouTube ilianzishwa na Chad Hurley, Steve Chen na Jawed Karim ambao awali wote walikuwa wafanyakazi wa PayPal. Hurley alisomea urasimu katika Chuo Kikuu cha Indiana ya Pennsylvania, huku Chen na Karim wakisomea kompyuta sayansi pamoja katika Chuo Kikuu cha...
  2. JamiiForums Tanzania Historia Na maana ya Bongo Fleva

    Bongo Flava ni jina Mbadala la muziki wa Hip hop ya Tanzania. Mtindo huu ulianzishwa kwenye miaka ya 1990, hasa ukiwa kama mwigo au utokanaji wa hip hop kutoka Marekani, ikiwa na ongezeko la athira ya muziki wa reggae, R&B, afrobeat, dancehall, na mitindo ya asili ya Kitanzania kama vile taarab...
  3. JamiiForums Tanzania Ushauri Kwa BAVICHA na CHADEMA; Someni Historia ya Nchi hii, mnajidhalilisha kwa wenye akili

    Habarini Bavicha na Chadema kwa Ujumla Leo napenda kuwashauri jambo la kuwasaidia kutokana na trend yenu ya kuanzisha vi thread humu kuongelea kesi ya Mbowe na kuleta nadharia zenu kuhusu watu waliokuwa Wanajeshi ambao wamedhibitiwa na vyombo vya ulinzi na Usalama Napenda kuwashauri hivi...
  4. JamiiForums Tanzania Historia ya Mshume Kiyate na Julius Nyerere

    MSHUME KIYATE ALIKUWA NA UHUSIANO GANI NA JULIUS NYERERE? Wadau wa historia ya uhuru wa Tanganyika wanataka kufahamu Mzee Mshume alikuwa na uhusiano gani na Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kiasi cha Nyerere kuagiza wapi Mzee Mshume akazikwe?
  5. B

    JamiiForums Tanzania Ijue historia ya muziki wa Disko Tanzania

    IJUE HISTORIA YA MUZIKI WA DISCO TANZANIA Promasika / blogger 0 Promasika.Com Na Mwandishi wetu, Washington, DC Nimeona nikae chini niipitie maandiko ya mhenga moja aliyeandika habari ya DISCO iliyokua na kichwa cha habari "WAHENGA TULITESA SANA ENZI ZETU DISCO LA MCHANA (BOOGIE) NA MA-DJ...
  6. JamiiForums Tanzania Historia ya uhuru wa Tanganyika sehemu ya pili

  7. JamiiForums Tanzania Historia ya uhuru wa Tanganyika 1950 - 1961

    [18/09, 22:27] MOHAMED SAID: Historia Ya Uhuru Wa Tanganyika |1950 - 1961 | Mohamed Said | Shemu Ya Kwanza [18/09, 22:27] MOHAMED SAID: Tutaaza Saane na nusu Usiku Huu, LIVE usikose Sehemu ya Kwanza
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ifahamu historia ya uchumi wa Kenya kulingana na video ya kitaalam ya uchumi

    Sio nchi nyingi za kiafrika ambazo uchumi wao unafanyiwa research na hata kuandaliwa video na wataalam wa uchumi mabeberu.
  9. K

    JamiiForums Tanzania R.I.P Zacharia Hans Poppe: Historia fupi ya Jabari lilotaka Kumpindua Mwalimu Nyerere

    Kama anavyotambulishwa, jina lake ni Zacharia Hans Poppe, ambaye alizaliwa mwaka 1956 mjini Dar es Salaam na kukulia mkoani Iringa. - Baada ya kumaliza elimu ya sekondari, Zacharia alijiunga na Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) ambako alifikia cheo cha Kapteni - Kabla ya kuachishwa kazi na...
  10. JamiiForums Tanzania Ninavyowafahamu wateule wapya wa Rais Samia kwa historia yao ya nyuma na uhusiano wao na viongozi wa leo

    Wote walioteuliwa wanafahamika kwa sura na kwa tabia. Sababu za kuteuliwa kwao ndo vigumu kuzitambua. Hapa nitajaribu kuzitaja kadri ninavyowafahamu. Tuanze na Stergomena Tax Huyu ni mtu mwenye elimu nzuri, mwanamke ambaye ktk wengi walioko baraza, hatuna wanawake wenye uwezo. Ana matatizo yake...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Historia ya Katiba ya Tanzania na mabadiliko 14 ya Katiba tokea Uhuru mpaka sasa

    Katiba ya nchi ni muafaka wa kitaifa unaoanisha namna taifa linavyohitaji kujitawala katika mambo yote na kuendesha mambo yake. Hivyo basi, Katiba ya nchi ni sheria mama inayoainisha misingi mikuu ya kisiasa na kuonyesha madaraka na majukumu ya serikali pia huanisha haki za msingi za wananchi...
  12. JamiiForums Tanzania Vuta N'kuvute Official Trailer

    Hii ndio Official Trailer ya Filamu ya Vuta N'kuvute (Adaptation ya ile novel ya Vuta N'kuvute by Shafi A. Shafi) Filamu ilikuwa Directed & kuandaliwa Amil Shivji (Kijiweni Production) akisaidiana na Big World Cinema. What do you all think? #vnv #tiff #kijiweniproductions #bongomovies...
  13. JamiiForums Tanzania Utalii kitaifa hauhitaji vivutio vingi na matangazo; unahitaji historia, siasa, muingiliano, biashara na miondombinu

    Mataifa yanayofanya vizuri na kuongoza katika utalii duniani ni pamoja na; Ufaransa, Hispania, Marekani, China, Italia, Uturuki, Mexico, Ujerumani, Uingereza. Kwa Africa ni South Africa, Misri, Morocco, Algeria, Zimbabwe, Mozambique, Ivory Coast, Kenya na Botswana. Ukiyatazama mataifa haya kwa...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Historia ya Kanisa Katoliki Tanzania

    HISTORIA YA KANISA KATOLIKI TANZANIA Jubilei ya Miaka 150 ya uinjilishaji Tanzania: Furaha ya Injili KANISA Jubilei ya Miaka 150 ya Uinjilishaji Tanzania: Furaha ya Injili Kanisa lililo hai ni lile, linalojiweza katika uinjilishaji, utawala na kujitegemeza. Kanisa la Tanzania limepiga hatua...
  15. JamiiForums Tanzania Soma vitabu hivi ujue historia ya tanu na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

    SOMA VITABU HIVI UJUE HISTORIA YA TANU NA UHURU WA TANGANYIKA Unajua kwa nini kadi ya TANU No. 3 ni ya Abdul Sykes, No. 2 ni ya Ally Sykes na No. 1 ni ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere? Unaijua azma ya Hamza Mwapachu (1913 - 1962) katika kuwakusanya vijana wasomi ndani ya TAA...
  16. JamiiForums Tanzania Historia ya Ukristo na kuenea kwa neno la Mungu Tanzania

    Ukristo nchini Tanzania ulianzishwa na wamisionari wa Shirika la Mt. Agostino kutoka Ureno walioongozana na Vasco da Gama mwaka 1499 hadi Zanzibar. Huko walijenga konventi ya shirika lao ili kuhudumia kiroho Wakristo toka Ulaya tu. Misheni ilipingwa na Waarabu Waislamu na e kukoma mwaka 1698...
  17. JamiiForums Tanzania The Torch on Kilimanjaro: kitabu cha watoto kuhusu Historia ya Baba wa Taifa

    "THE TORCH ON KILIMANJARO" KITABU CHA WATOTO KUHUSU HISTORIA YA BABA WA TAIFA Miujiza ya Mwenyezi Mungu haiishi. Maofisa kutoka CCM Dodoma walikuwa wamemaliza mazungumzo na mimi kuhusu mengi katika historia ya Mwalimu Nyerere, TANU na mambo mengi yaliyotokea wakati wa kupigania uhuru wa...
  18. JamiiForums Tanzania Historia ya mapenzi ya Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron

    Ulishawahi kusikia japo kwa uchache kuhusu Emanuel Macron Rais wa sasa wa ufaransa? Je ushawahi kusikia kuhusu mke wake? Ni hivi Rais Emanuel Macron wa ufaransa ana miaka 43 ndio rais kijana kuliko maraisi wote waliowahi kuiongoza ufaransa Emmanuel Macron alianza kumpenda mwalimu wake wa...
  19. JamiiForums Tanzania Historia fupi ya Zuberi Mtemvu

    Zuberi Mtemvu na Bi. Titi Mohamed siku Mtemvu aliporudi TANU.
  20. JamiiForums Tanzania Kipindi maalumu kuhusu harakati za kupigania Uhuru wa Tanganyika

    KIPINDI MAALUM KUHUSU HARAKATI ZA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA 1954 - 1961 Swahili Villa on line TV ya Washington DC wamefanya Kipindi Maalum na Mwanahistoria Mohamed Said kuhusu harakati za kudai uhuru wa Tangayika kati ya 1954 - 1961. Mohamed Said ameeleza yale mengi ambayo wanahistoria...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…