Historia fupi ya Zuberi Mtemvu

Mohamed Said

JF-Expert Member
Nov 2, 2008
21,193
30,533

ZUBERI MTEMVU NA TITI.jpg

Zuberi Mtemvu na Bi. Titi Mohamed siku Mtemvu aliporudi TANU.
 
Mwanzoni wa miaka ya uhuru wa Tanganyika tulifundishwa tumuimbe vibaya,ubeti mmoja ulikuwa hivi
"..Zuberi Mtemvu kapotea .........uhuru
Mapesa yanamteketeza ........uhuru"
Chama dola kilianza propoganda miaka mingi
 
Yakhee, tuletee historia fupi ya Sheikh Osama na katibu wake Sheikh Dr Ayman al-Zawahiri.

Asanta.
 
Kama ninavyokumbuka kwenye historia alijiondoa TANU akaunda chama chake African National Congress?
 
Kutwa umekaa kujadili personal histories za Wanaume Wazee au wafu waumini wa dini ya Kiiislamu na siyo broad and practical issues za taifa zima la leo.
 
Hazina maana kwako lakini kwa baadhi yetu tunaona zina thamani kubwa sana.

Wewe kama unaona hazina maana kwa nini unazisoma?
Siyo lazima nizione kama zina thamani ili nizisome. Huyu Mzee kaishiwa siku hizi. Hana hoja kabaki kuwasifia Wanaume wenziye wafu wa Kiislamu kama vile hao marehemu na vizee wa dini ya Kiislamu ni muhimu sana kwa maendeleo ya Taifa.
 
Kutwa umekaa kujadili personal histories za Wanaume Wazee au wafu waumini wa dini ya Kiiislamu na siyo broad and practical issues za taifa zima la leo.
Flora...
Ungeweza kuuliza swali hili kiungwana na likaeleweka na tukafanya mjadala wenye tija.
Lakini hivi ulivyoandika ni mtu uliepandwa na ghadhabu nami sipendi ugomvi.

Kuhusu ''wanaume wazee, wafu na Waislam,'' ndiyo historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika ambayo ilipotea na mimi nikafanya utafiti na kuandika kitabu.

Ama kuhusu chembelecho, ''broad and practical issues,'' hili lisikupe tabu.
Ikiwa hilo halipo kwangu tafuta kwa wengine.

Ingia Google kuna mengi.
 
Siyo lazima nizione kama zina thamani ili nizisome. Huyu Mzee kaishiwa siku hizi. Hana hoja kabaki kuwasifia Wanaume wenziye wafu wa Kiislamu kama vile hao marehemu na vizee wa dini ya Kiislamu ni muhimu sana kwa maendeleo ya Taifa.
Flor...
Umesoma vitabu hivi?:

1630428997344.png
1630431505964.png

1630431578202.png
1630431663984.png

''Huyu mzee kaishiwa siku hizi.''

Mwaka jana 2020 nimeandika vitabu viwili:
The School Trip to Zanzibar, Africa Proper Education Network 2020, Dar es Salaam
Rajabu Ibrahim Kirama, Jemadari wa Vita Kuwa Jemadari wa Uislam, Readit, 2020, Dar es Salaam
1630435075370.png
1630435155285.png
 
Hazina maana kwako lakini kwa baadhi yetu tunaona zina thamani kubwa sana.
tosoma
Wewe kama unaona hazina maana kwa nini unazisoma?
Biti...
Mimi siku zote huo ndiyo ushauri wangu kwa wasomaji ambao wanaumizwa kwa kuandikwa historia ya uhuru wa Tanganyika kwa kuona imejaa Waislam.

Huwashauri kutosoma nyuzi zangu.

Haipendezi kwa wao kusoma na kutoa matusi na kejeli.
 
Back
Top Bottom