historia

Canal História, currently branded as História, is a Portuguese basic cable and satellite television channel that features history documentaries most of which are produced by History USA and Portuguese and Spanish historic productions, owned by the joint venture known as The History Channel Iberia, between A&E Networks and AMC Networks International Iberia. More recently, it started broadcast some reality television series. Initially it was a single Iberian channel founded by Multicanal (currently AMC Networks International Iberia) with feeds in Portuguese and Spanish. It was created in March 1999 and it split into different channels on 21 March 2012.Some Portuguese historic productions airing in Canal História include Foz Côa about Coa Valley Prehistoric Rock Art, O Tratado de Tordesilhas about the Treaty of Tordesillas, Marquês de Pombal concerning Marquis of Pombal, Portugal e a NATO (Portugal and NATO) and A História Do Azulejo (History of Azulejo).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Yaliyojificha juu ya historia ya hifadhi ya taifa Arusha na maajabu ya vivutio vyake (episode 2)

    EPISODE 2 Hifadhi hii ina vivutio vingi vyenye upekee wake vyenye kukufanya ubaki na kumbukumbu zisizofutika. ZIWA MOMELLA Ndani ya hifadhi ya taifa Arusha kuna mgawanyiko wa maziwa makuu mawili. Hakuna mito inayopeleka maji kwenye maziwa hayo bali huingiza maji kutoka chini ya ardhi. 1...
  2. JamiiForums Tanzania Yaliyojificha juu ya historia ya hifadhi ya Taifa Arusha na maajabu ya vivutio vyake

    YALIYOJIFICHA JUU YA HISTORIA YA HIFADHI YA TAIFA ARUSHA NA MAAJABU YA VIVUTIO VYAKE. EPISODE 1 Hifadhi ya taifa Arusha inapatikana kaskazini mwa Tanzania ndani ya mkoa wa Arusha. Ni hifadhi inayokadiriwa kuwa na kilomita za mraba zisizopungua 500 sq. km. Huchukua takribani dakika 45 kuifikia...
  3. JamiiForums Tanzania Historia ya Zanzibar Kama Inavyoelezwa na Joseph Mihangwa

    Gazeti la Jamhuri la Jumanne 21 - 27 November, 2023 lina makala: ''Zanzibar Ndani ya Muungano Haishikiki - (14). Baada ya kusoma niliingia Maktaba na nikakuta hayo yafuatayo niliyoandika miaka mingi nyuma (2016): ''Katika mambo yaliyosaidia sana kuiweka vyema historia ya Zanzibar ni vitabu...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Erick Kabendera: Rais Samia “Thucydides Trap” haitakuacha salama

    Kwenye historia ya vita na mahusiano ya kimataifa, kuna nadharia inaitwa “Thucydides Trap” ambayo utumika kuelezea ulazima wa kutokea mgogoro au vita endapo taifa linalochipukia linapotishia kulizidi nguvu na ushawishi taifa lenye nguvu. Kama wewe ni msomaji wa siasa za Nicollo Machiavelli...
  5. JamiiForums Tanzania Salma Kikwete apongezwe, amesaidia Wenza maskini wa Wastaafu. Historia itamkumbuka

    Salma Kikwete ambaye ni Mwalimu Mstaafu wa Oystrbay Primary, Mbunge huko Mtwara na pia Mmiliki. wa WAMA -NGO ya Kitajiri: Ikumbukwe huyu Salma Kikwete alikuwa Mwalimu shule ya Msingi{elimu yake nadhani mnaijua} , kakatishwa kazi , mshahara wa Certificate ya ualimu ni 420,000/kwa mwezi mwaka...
  6. JamiiForums Tanzania Mwalimu wa Historia alituongopea?

    Miaka mingi imeshapita lakini ningali nikikumbuka bara bara! Tulipokuwa "High School", kwenye moja ya somo la Historia, Mwalimu wetu alituambia kuwa waliokijenga Chuo Kikuu cha Makerere ni Wamarekani. Miaka hiyo, Marekani ilianza utaratibu wa kuwapeleka Marekani baadhi ya Waafrika kutoka...
  7. JamiiForums Tanzania Mwenezi Makonda amwambia waziri wa Maji ndani ya wiki 3 tatizo la Maji katoro liwe Historia

    📌📌 WAZIRI WA MAJI MHE. AWESU AMTHIBITISHIA MWENEZI MAKONDA NDANI YA WIKI 3 MAJI KUPATIKANA KATORO - GEITA Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa , Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndg. Paul Makonda amempigia simu Waziri wa Maji Mhe. Juma Awesu na kumtaka kutolea ufafanuzi kero ya upatikanaji wa Maji...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Somo la Historia ya Tanzania na Maadili liwekewe sura maalumu kwenye katiba ili kulipa msisitizo wa kisheria

    Wasalaam, Taifa likiwa katika mchakato wa kuandaa sera ya mtaala mpya ya Elimu na mtaala huo kupendekeza kuwepo kwa Somo la Historia ya Tanzania na Maadili ni jambo jema kwa kizazi Cha Sasa na kijacho kulilinda Taifa dhidi ya mmomonyoko wa maadili. Huu ni mtazamo wangu juu ya uwepo wa Somo...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Je, kuna uongo juu ya historia ya vita vya Majimaji?

    Kuna haja ya kurudi pale kwenye kaburi la Shujaa Nduna Songea Mbano na kumuomba wapi alipo ficha siri ya vijana wake kukaa miaka miwili wakiwa wanapigana kwa kutumia silaha za jadi wakipambana na wajeruman waliokua wanatumia silaha za moto. Au kuna uongo wa mtu mmoja akaona amzalilishe mzee...
  10. JamiiForums Tanzania NOTORIOUS B.I.G historia kwa ufupi.

    Christopher Lattore Wallace, A.K.A The Notorious B.I.G. au Biggie Smalls, alikuwa rapper na mtunzi wa nyimbo kutoka Marekani. Anachukuliwa kuwa mmoja wa rappers wakubwa na wenye ushawishi zaidi wakati wote. Alizaliwa Mei 21, 1972, alipata mafanikio makubwa katika miaka ya 1990 kwa mtindo...
  11. M

    JamiiForums Tanzania John Boko anaenda Kuandika Historia Mpya Leo!

    Salamu, Leo Novemb 5 2023 Mshambuliaji wa Taifa Captain wa Simba ,John R.Boko.anaenda Kuandika Historia Mpya katika maisha yake ya Soka! Tukutane saa moja jioni! Nakala: Gentamycin...Aione kwenye Faili.
  12. JamiiForums Tanzania Napata shaka na historia ya Israel ndani ya Palestina

    Wanajamvi! Ujue katika biology kuna topic form 3 nakumbuka inaitwa classification unapoichukua hii topic na kuapply kwenye nchi ya Palestina na Israel unagundua hawa jamaa wa Israel wamepandikizwa katika nchi za kiarabu kuleta chokochoko na hata tukisema wayahud ni Israel hawafanani kabisa kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Chimbuko halisi la migogoro shule ya sekondari Nyiendo

    Kuanzia Mkuu wa shule aliyeifungua Issa Izengo mpaka Mkuu wa shule aliyepokea kijiti chake Erasto Arende, Shule ya Sekondari Nyiendo haikuwahi kuwa kwenye vuguvugu la migogoro mpaka alipoingia mkuu wa shule aliyepo sasa! 1. Philosophy ya kwanza ya mkuu wa shule ni kutopenda kukosolewa na...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Ipi ni historia ya kweli kuhusu Israel na wayahudi wa leo?

    Kumekuwa na mkanganyiko mkubwa kuhusu ukweli kuhusu Israel. Wengi wakidai waisrael wa leo siyo OG ni kikundi cha watu tu waliamua kuja kufanya makazi kwenye ardhi ya wa-Palestine kwa lazima. Mwenye uelewa anieleweshe wa-Israel wa kwl ni wapi na ipi historia yao kabla ya mwaka 1947.
  15. JamiiForums Tanzania Historia ya ubashiri duniani

    Je, huwa unafanya ubashiri? Ubashiri ni mfumo wa utabiri wa tukio fulani kuchukua nafasi katika wakati ujao. Historia ya kufanya ubashiri ni ndefu zaidi kuliko inavyofikiriwa na wengi. Ubashiri umefanywa kwa muda mrefu katika historia ya zamani kwa kutumia njia nyingi tofauti. Katika dini...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Historia ya Zelothe inaonesha alikuwa RPC akiwa na Miaka 66. Je, ndivyo ilivyo?

    Kila mtu Kila mtaani anajua Umri wa kustaafu Kwa mtumishi wa Umma ni miaka 60, Tena Kwa majeshi Huwa ni kidogo zaidi. Napenda kujifunza , kifo Cha mwenyekiti wa CCM Arusha ambaye alishatumikia jeshi la polisi ngazi za uandamizi kimenofanya nijiulize mambo mawili matatu, wakati wa usomwaji wa...
  17. JamiiForums Tanzania Zama zimebadilika, demokrasia nayo ichukue maana halisi kulingana na historia yake

    Tunakumbushwa madarasani pia hata mitandaoni kuwa demokrasia ilianza katika mji ATHENS - Ugiriki ambapo watu wachache wenye busara zao walifanya maamuzi juu ya mustakabali ya mji wao ndiyo maana wengi tunaelezea demokrasia kama ni watu (wachache) wanaongoza walio wengi ila tumewaondoa wanawake...
  18. JamiiForums Tanzania Hawa watu wakirudishwa chamani historia ya nchi itabadilika ghafla

    Kikosi kazi 1. Makonda 2. Polepole 3. Ally Hapi 4. Sabaya Ili kikosi kicheze vizuri tunahitaji hawa: 1. Bashiru 2. Kabudi 3. Chalamila 4. Gambo 5. Majaliwa 6. Ndugai
  19. JamiiForums Tanzania Je katika historia za Dunia kuna falme yoyote iliyoongozwa na mwanamke iliwahi kusimama imara bila kuanguka?

    Tafadhari sana naomba tushirikiane kwenye mjadala kwa kuangalia nafasi ya mwanamke katika kupewa uongozi wa juu katika jamii zenye ufalme. Je mwanamke amewahi kuweza kuongoza falme yoyote hapa Duniani na ikasimama bila kuanguka?. Na ilikuwa ni falme ipi? Karibu kwenye comments natarajia...
  20. JamiiForums Tanzania Historia ya familia ina umuhimu unapotaka kuchagua wa ubani?

    Kuchagua partner au wa kufanana na wewe ni uamuzi wa kibinafsi na inategemea mambo mengi, ikiwa ni pamoja na mazingira ya familia. Ingawa kwa uwelewa wangu historia ya familia inaweza kuwa na umuhimu kwa baadhi ya watu, si lazima iwe kigezo pekee. Mambo mengine kama vile tabia, maadili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…