Canal História, currently branded as História, is a Portuguese basic cable and satellite television channel that features history documentaries most of which are produced by History USA and Portuguese and Spanish historic productions, owned by the joint venture known as The History Channel Iberia, between A&E Networks and AMC Networks International Iberia. More recently, it started broadcast some reality television series. Initially it was a single Iberian channel founded by Multicanal (currently AMC Networks International Iberia) with feeds in Portuguese and Spanish. It was created in March 1999 and it split into different channels on 21 March 2012.Some Portuguese historic productions airing in Canal História include Foz Côa about Coa Valley Prehistoric Rock Art, O Tratado de Tordesilhas about the Treaty of Tordesillas, Marquês de Pombal concerning Marquis of Pombal, Portugal e a NATO (Portugal and NATO) and A História Do Azulejo (History of Azulejo).
Hivi Gen Z mnajua kweli historia ya huu mnara? Kitu kilichonipa ushawishi wa kutaka kukua zaidi ni hili neno 'Bismini'. Maana yake ni nini? Na chimbuko lake ni nini? Nimejaribu kutafuta lakini hakuna walikoeleza maana ya Bismini
====
Hekaya fupi ya Mnara wa Askari Jijini Dar es Salaam
Mnara...
Kijito cha Kidron, kinachojulikana pia kama Bonde la Kidron (kwa Kiebrania: נַחַל קִדְרוֹן Nahal Kidron; Kigiriki: Kedron; Kiarabu: Wadi al-Nar), ni eneo maarufu mashariki mwa mji wa kale wa Yerusalemu. Bonde hili linaelekeza kati ya Mlima wa Mizeituni na Mlima Moria—eneo ambalo Hekalu la...
Mziki wa JAZZ mimi kwangu nilianza kuupenda kipindi cha miaka ya 90 katika king’amuzi cha DSTV kulikuwa na upande redio zilizokuwa zikiwa na mtiliiko wa JAZZ.
Mziki wa jazz ni aina ya muziki ulioanzia Marekani mwanzoni mwa karne ya 20, hasa miongoni mwa jamii ya Wamarekani Weusi huko New...
Picha: Pinterest
Mtanzania lazima ufahamu kuwa Kila kitu unachokiona au kusikia kupitia media huathiri ubongo wako, na kwa hivyo utu wako.
Kwani taarifa tunazopokea kupitia media zina athari kubwa kwenye fikra zetu, na hisia.
Hivi karibu nimeona media zikipa kipaumbele habari za local...
Ninaelewa unachotaka kufanya — kuwasilisha hoja yenye mtazamo mkali kuhusu kuangamia kwa wanadamu duniani.
Kutamani kufutika kwa wanadamu au kuangamia kwa dunia kunaweza kuashiria maumivu ya ndani au kukata tamaa. Kama unaandika haya kwa sababu ya hasira, huzuni au hisia za kukosa maana ya...
ALIAMINI VITU HALALI KUTAFUTA MUDA WOTE NI FEDHA NA WANAWAKE.
Unamkumbuka gwiji wa Kenya marehemu Asentus Ogwella Akuku "Danger" ambaye inasemekana alioa mara 130, talaka 80 na kuzaa watotozaidi ya 200. Akuku "Danger" alioa mke wake wa kwanza mnamo 1939 na wa mwisho mnamo 1997 akiwa na miaka...
CCM KUFADHILI KITABU CHA MZEE SONGAMBELE KUENZI HISTORIA YA NCHI, CHAMA NA SERIKALI
- Balozi Nchimbi atoa neno, akimwakilisha Dkt. Samia msibani
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amesema kitabu alichoandika Alhaj Mzee Mohamed Mustafa Songambele...
Katika karata zilizokosewa CCm 2015 walijua ushindani wa kuweka mtu fulani kama ilivyo wanavyo fanya kufurahisha Demokrasia wanayo jua wao.
Ni kitu kumuweka mwenye uchungu na wajomba zake ambao waliishi kwa imla nchi hiyo sasa wanarudisha majibu.
Nimekumbuka uganda kipindi cha amin ilifikia...
Top 10 Hacking Attacks Zilizotikisa Dunia (Kwa Historia, Impact, na Ujanja)
---
1. The Melissa Virus (1999)
Iliundwa na David L. Smith
Iliambukiza Microsoft Word docs kupitia email
Ilienea kwa email zote kwenye contact yako — ndani ya dakika chache
Ilivuruga systems za FBI, Microsoft na...
Historia ya Mauaji Iliyofichwa kwa Lengo la Kutawala Afrika Upya
Na
Maleko Goodluck J
Wakati dunia inapoikumbuka Rwanda kama alama ya mauaji ya kimbari, kuna upande wa hadithi ambao haujawahi kuruhusiwa kusikika wazi.
Simulizi rasmi kwamba Wahutu walipanga na kutekeleza mauaji dhidi ya...
JE WAJUA?.
Pichani ni Aliyekuwa Makamwa Rais wa Serikali ya Awamu ya Tatu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr Omar Ali Juma (Wa kwanza Kulia) akiteta Jambo na Rais wa Zamani wa Afrika ya Kusini, Ndugu Nelson Rohlanla Mandela "Madiba" pamoja na Mkewe, Mama wINNIE mANDELA.
Picha hii ilipigwa...
SABATO NJEMA ....
"Ee Tanzania, Tanzania… Uwauaye Wakosoaji wako Kama Yerusalemu"
Neno Kuu Mathayo 23:35
“Ili juu yenu ije damu yote ya haki iliyomwagika juu ya nchi, tangu damu ya Habili mwenye haki, hata damu ya Zakaria mwana wa Barakia, mliyemwua kati ya patakatifu na madhabahu.”...
Yani ukitaka kujua mwanzo wa historia ya kweli ya jungle, siyo ile ya kwenye vitabu vya shule wala documentary za wazungu zenye voice ya baridi, tunaanza hapa – kwenye ardhi ya moto, nyasi ndefu na upepo mkali unaopiga hifadhi ya Serengeti, Tanzania. Hii ni block ya nguvu, na kuna OG mmoja tu...
Hii ni muhimu kuweka kumbukumbu sawa kwenye maandishi yasiyofutika. Kuna mengi mliyopitia na CCM/serikali ambayo can be missed if history is not put in the right perspective.
Andikeni historia, mtakuwa mnafanya Prelude ya earlier versions of the book
Naandika uzi huu wa historia yangu ya mahusiano ya kimapenzi na dada mmoja niliyempenda lakini wazazi wake wakaharibu na sasa wanajuta
Hii ni historia ya kweli na sio fiction. Katika maisha yangu nilimpenda binti mmoja na tuliendana sana kiasi kwamba tulipendana kwa dhati
Wachawi wa mahusiano...
Miaka kadhaa nyuma aliwahi kutokea padre muasi wa imani ya kanisa katoliki Tanzania.
Padre huyu alikuwa na wafuasi wengi waliomkubali kwa mahubiri yake na hakika alileta changamoto na taharuki kubwa sio tu kwa waumini wa kanisa katoliki lakini pia kwa nchi nzima.
sakata hili lilipelekea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.