hisia

Ghizela (Hungarian: Gizellafalva) is a commune in Timiș County, Romania. It is composed of four villages: Ghizela, Hisiaș (Hosszúág), Paniova (Panyó) and Șanovița (Sziklás).

View More On Wikipedia.org
  1. Huwa napata hisia kali kama vile nilishawahi kuishi huko zamani sana

    Yani kiona picha za zaman, magofu/abandoned places, au documentaries, huwa kunahisia zinanijia kama vile nilikua part of the stories, ni ipi saikolojia nyuma ya hili?
  2. Mwanamke hupata hisia ya ngono anapomuona mwanaume akiwa mtupu?

    Hivi kibailojia suala hili limekaa vipi? Ni kweli kuwa damu za wanawake huchemka wanapokutana na tupu za wanaume hasa za kushtukiza?
  3. Kila mtu ana namna anapata hisia (nyege) ili ashiriki tendo, kuna namna nyingine huwa ni magonjwa ya afya ya akili na hamjui. SOMA

    Leo utayafahamu haya magonjwa ya afya ya akili yanayoitwa Paraphilic disorders. Haya magonjwa pia uhusisha matamanio ya kingono ambapo mtu hupata hisia (nyege) katika hali ambayo sio ya kawaida aidha kwa mawazo, vitu au tabia fulani ambazo zinaweza kumletea madhara au kumuweka katika hatari ya...
  4. Wanaume huwa tunasema hatuongozwi na hisia tunafata logic, sasa hasira na maumivu kwenye mapenzi yanatoka wapi?

    Huu ni wimbo wetu wanaume, kwamba sisi hatuongozwi na hisia, kwenye kuangalia kitu na kufanya maamuzi tunafata logic na kuwaambia wanawake ni viumbe wanaoongozwa na hisia. Sasa hasira na maumivu kwenye mapenzi yanatoka wapi? Maumivu hayo si ni matokeo ya hisia? Pisi kali ikikupiga tukio...
  5. T

    Hili la utafunaji wa kodi zetu! Wananchi tuonyeshe hisia zetu!

    Mpaka lini sisi tutaendelea kuitwa masikini? Huu umasikini tunaoitwa nao kila leo, sababu yake ni ipi kama sio hii ya wakubwa kuiba mapesa yetu? Ni kweli kabisa sisi ni masikini au ni upumbavu wetu? Umasikini upi tulionao sisi ili hali robo nzima ya bajeti yetu, inaishia mifukoni mwa...
  6. Ugumu wa kupambana na ushoga, usagaji, malaya na madada poa uko hapa

    Naongea ukweli na huu ndio ukweli pekee Vita ya kupambana na ushoga kwa karne hii ya teknolojia na utegemezi wa hali ya juu ni ngumu sana kwa sababu zifuatazo. 1. Mlengo wa serikali zetu-Serikali zetu nyingi zinaendeshwa kidemokrasia, moja ya haki za kidemokrasia ni usawa na haki za binadamu...
  7. Freeman Mbowe: CCM ijenge mifumo ya kudhibiti viongozi wake ndani ya Chama ili wasiumize Watanzania

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Kongamano la Siku ya Wanawake Duniani lilioandaliwa na Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) katika Ukumbi wa Kuringe - Mkoa wa Kilimanjaro leo tarehe 08 Machi, 2023. Rais Samia akipokelewa na Viongozi wa Chadema...
  8. K

    Hongera Raisi Samia anatumia akili kukuza uchumi na sio hisia binafsi

    Namshukuru Raisi Samia kwa kutumia akili na maarifa kukuza uchumi wetu bila kuweka mbele hisia binafsi. Hisia binafsi ni pamoja na kuweka ukanda, ukabila na uchama mbele ya Tanzania kwa ujumla wake. 1. Kitendo cha kuelewa katiba ni muhimu kwa uchumi wetu. Hasa kwenye sheria za kibiashara na...
  9. Stamina anaimba hisia za kujeruhiwa kwa mapenzi kwa hisia kali sana

    Inawezekana huyu msanii ana bahati mbaya sana katika upande huu wa mahusiano. Ni kweli au kazi tu!? Tizama wimbo huu mkali kabisa.. Bushoke nae karejea vizuri kabisa.
  10. Wasikilize, lakini usipokee ushauri wa wanawake kuhusu wanawake

    Wanawake ni wazoefu wa kuwa wanawake lakini hawana uzoefu juu ya jinsi ya kumvutia na kumtunza mwanamke mwingine kimapenzi. Asilimia kubwa ya wanawake hawajui kitu haswa kinachomvutia kwa mwanaume aliyenaye, ni wachache wanaoweza kuweka hisia zao kwenye maneno yanayoeleweka. Japo unaweza...
  11. Mambo ambayo ukiyafanya utajikuta katika hali ambayo ukiwaangalia wanaokuzunguka utajiona una ahueni

    Leo natamani kukuambia mambo ambayo angalau ukiyafanya kwa kujua au kutojua utajikuta ukiwa katika hali ambayo ukiwaangalia wanaokuzunguka utajiona una ahueni. Sitamani sana kukutia moyo au kukususimua hisia ila kuifunua asili mbele yako. Nadiriki kusema bayana kuwa haya yote ninayoyasema...
  12. S

    Hivi unapotaka kuolewa unatakiwa kutii hisia za mapenzi ama hisia za maisha mazuri?

    Watu wawili wanaonesha interest kwangu. Mmoja ana hela chafu, nikikohoa muamala unasoma. Na kwake ni full kiyoyozi, gari kali, geto kali na mipango ya maisha iko kwenye mstari. Huyu mwingine mm ndiye nampenda haswa, nikimuona nategwa kihisia kama samaki kaona chambo. Lkn huyu kiuchumi...
  13. Asante Mungu nimepata mwanamke mwenye hisia kali za imani ya kweli katika mapenzi

    Hello Umofia kwenu! Niende kwenye maada, baada ya kuwa na ubize mwingi sana nikiwa katika mizunguko yangu hapa Dodoma hatimaye, Mungu kanikutanisha na mwanamke ambaye ameniipenda siku ya kwanza na ametoa machozi ya mapenzi. Akiwa na mdogo wake wa kike mwenye umri wa kati 22-24, yeye ana 28yrs...
  14. Ushauri: Sina hisia na mwanamke mwenye malengo mazuri na mimi

    Habari za majukumu ndugu zangu wa Jf, Kama kichwa cha habari kinavojieleza yaani nimekuwa sina hisia kabisa na huyu binti ambae ni dhahiri kabisa anaonekana kabisa kuwa na faida kwangu. Kwanza ni mpole, msikivu na mcha Mungu na ninaona kabisa huyu ni mke bora kabisa kwangu ila tatizo sina...
  15. Hisia

    .
  16. Tundu Lissu: Niliwahi kufanya kazi katika kampuni iliyokamata ndege ya Tanzania Uholanzi. Kauli hii inakupa hisia gani?

    Tundu Antipas Mugwai Lissu, akichangia mada huko space Twitter, alieleza kwamba aliwahi kufanya kazi katika kampuni hiyo akiwa kama mshauri wa masuala ya ardhi. Kauli hii inaleta ukakasi kidogo. May be kuna Watanzania wenzetu wanaotarajiwa kuwa viongozi, lakini wakati mwingine wanauza mechi kwa...
  17. Hisia zangu

    Habari za humu ndani, Nimewahi kuweka uzi wa kutafuta mwenza hapa, nawashukuru mliyojitokeza lakini kutokana na sababu mbali mbali sikuweza au hatukuweza kuwa pamoja. Waliojitokeza wengi tumeshindwana tabia, muonekano na hata utayari. Kwakweli naumia sababu hisia zangu hazijapata sehemu salama...
  18. Wazazi/ walezi jitahidini sana kuzisoma hisia za watoto wenu

    Hii kitu imeleta shida hapa eneo ninaloishi, nipo huku mkoani kikazi na kwakuwa kazi yangu itachukua muda mrefu nimeona nipange nyumba kabisa. Sasa hapa nilipopanga naishi na mama mwenye nyumba ambae ana kibinti chake kilichovunja ungo, nadhani mnaelewa sifa ya hivi vibinti vinakuwa vya moto...
  19. Usihangaike kutongoza Mwanamke Mzuri asiye na hisia na wewe. (Jinsi ya kutongoza.) Raha ya mapenzi kupendwa

    Kukataliwa na Mwanamke uliyetokea kumtamani sana imekua ni mala nyingi sana. Christian Ray nadhani hata wewe nimuhanga katika hili. but mala nyingi ni tamaa tu ya nje. na kumbe huyo mwanamke hana maajabu yoyote, raha ya mapenz ni kupendwa, so tafuta atakayekupenda na kitu gani kitafanya...
  20. Kipi kinakufanya ujihisi siku yako imekamilika au haijakamillika?

    Kila binadamu apa duniani ana kitu au jambo ambalo akilifanya, akilipata ama kulifikia basi anajihisi na kuona kuwa siku yake imekamilika. Na kila binadamu, mwanadamu ana jambo ama kitu ambacho akikikosa ama kutokukifanya au kutokukifikia basi moja kwa moja hujihisi kuwa siku yake haijakamilika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…