hisia

Ghizela (Hungarian: Gizellafalva) is a commune in Timiș County, Romania. It is composed of four villages: Ghizela, Hisiaș (Hosszúág), Paniova (Panyó) and Șanovița (Sziklás).

View More On Wikipedia.org
  1. Surya

    JamiiForums Tanzania Usihangaike kutongoza Mwanamke Mzuri asiye na hisia na wewe. (Jinsi ya kutongoza.) Raha ya mapenzi kupendwa

    Kukataliwa na Mwanamke uliyetokea kumtamani sana imekua ni mala nyingi sana. Christian Ray nadhani hata wewe nimuhanga katika hili. but mala nyingi ni tamaa tu ya nje. na kumbe huyo mwanamke hana maajabu yoyote, raha ya mapenz ni kupendwa, so tafuta atakayekupenda na kitu gani kitafanya...
  2. ankai

    JamiiForums Tanzania Kipi kinakufanya ujihisi siku yako imekamilika au haijakamillika?

    Kila binadamu apa duniani ana kitu au jambo ambalo akilifanya, akilipata ama kulifikia basi anajihisi na kuona kuwa siku yake imekamilika. Na kila binadamu, mwanadamu ana jambo ama kitu ambacho akikikosa ama kutokukifanya au kutokukifikia basi moja kwa moja hujihisi kuwa siku yake haijakamilika...
  3. Ibrahimeliza

    JamiiForums Tanzania Unataka kupendwa?

    Kama kweli unataka kupendwa na kuheshimiwa na watu fanya haya. 1) Jua thamani yako. Kujitambua 2) Jifunze kuzuia hisia zako. Husivauke, maamuzi sahihi yanapatikana kwakutokuwa na hasira wala shahuku/furaha 3) Husishobokee vitu vya watu. Iwe mke, gari, nyumba chochote kile acha shobo. 4) Jua...
  4. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Confessions: Umewahi kupata hisia za kimapenzi ama kuwa katika mahusiano na ndugu yako?

    Kiukweli haya ni mambo ambayo hatuwezi yaweka hadharani maana ni kufru lakini kwa hapa jamiiforums hakuna anaemjua mwenzake kuna privacy hivyo uhuru wa kutiririka siro zetu upo. Niliwahi kuwa na feelings na mtoto wa mamamdogo wangu ambae niliishi nae miezi miwili akiwa likizo ya form 6...
  5. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania wengi hatupo huru kuonyesha hisia zetu hadharani?

    Ni kama vile hisia zetu zimefungwa gerezani kwasababu ya hadhara, na pake mtu anapokuwa huru kuonyesha hisia zake maswali yanaanza kwamba ni kichaa ama kalewa. - Muziki unapigwa unaoupenda lakini unajizuia kuufatisha au kucheza huku miguu imedinda inataka kuruka ruka. -Kitu kimekuchekesha...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Waziri Abdallah Ulega: Madai ya Samaki kuhifadhiwa kwa maji ya maiti ni hisia tu

    Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Hamis Ulega amesema suala la maji ya kuoshea maiti kudaiwa kutumika kuhifadhia Samaki halina uhakika na kwamba ni hisia tu. Akijibu swali Bungeni kuhusu taarifa hizo ambapo inadaiwa matumizi ya maji hayo yanasababisha Saratani kwa walaji, amesema “Siyo...
  7. Africanicity

    JamiiForums Tanzania SoC02 Linda sana hisia zako

    Linda Sana hisia zako zisije kukupa au kukupatia madhara baadae kwenye Maisha yako, hata kama zitakuwa au kuonekana chanya kiasi gani kwa Wakati huo, usiwe mwepesi wa kuzionesha kwa Kila mtu na kwenye Kila kitu. jaribu kutumia Akili kabla ya hisia zaidi,hii yaweza kukusaidia kwa baadae. Mtu...
  8. Ushauri nasihi

    JamiiForums Tanzania SoC02 Yajue magonjwa ya afya ya akili katika kupata hisia

    Paraphilias Hii ni tatizo ambalo mtu anapata hisia za KIMAPENZI kwa kupitia vitu ambavyo sio binadamu,kwakuumizwa au kuumiza na kwa watoto Aina za paraphilias. 1 fetishistic Hili ni tatizo la kihisia ambalo mtu anapata hisia za KIMAPENZI pale tu kwakutumia vitu ambavyo sio binadamu mfano...
  9. BAAJUN POET

    JamiiForums Tanzania SoC02 Dhana ya ushoga na sintofahamu iliyopo juu ya wahanga wa ukatili wa kihisia, kijinsia, na kimaumbile Tanzania

    DHANA YA USHOGA NA SINTOFAHAMU ILIYOPO JUU YA WAHANGA WA UKATILI WA KIHISIA, KIJINSIA, NA KIMAUMBILE TANZANIA UTANGULIZI: Kuna vilio vingi chini ya hiki kivuli cha woga. Kuna mambo jamii inaogopa kuzungumza. Familia nyingi zinasubiri muujiza; hali ya kuwa ziko katika sintofahamu juu ya namna...
  10. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Shida ya kiongozi wa sasa anaongoza nchi kwa hisia badala ya uhalisia

    Magufuli alipokaa miaka 6 (mwaka 2018/19 walimu waliongezewa kiasi kisichozidi elfu 10 kila mwalimu) bila nyongeza ya mishahara kwa watumishi wengine watu walimlalamikia sana. Kwa tunaojua na kufuatilia uhalisia(facts) tulijua ni kwa nini Magufuli hakuwa anaongeza mishahara, ni kwa sababu...
  11. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Hisia za Wanawake za kupenda ziko karibu sana, watu wengine hatuhitaji kupendwa

    Binafsi niseme, kitu nisichohitaji ni mwanamke anipende, sitaki kupendwa na mwanamke kabisa (labda mke wangu nitakapokuja kuamua kuoa). Lakini ajabu ni kwamba nimekua napendwa tu hovyo hovyo na wanawake. Wanawake ni watu wanao-catch up feelings mapema sana. Mwanamke unaweza kumfanyia kakitu ka...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Kwa hiyo ndo kusema kuwa wanawake hatuna haki ya kuelezea hisia zetu?

    ila nyie, kupenda ni kubaya asikwambie mtu. Hasahasa unamwonesha ishara zote, ukaribu na attention, lakini ndo kwanza walaa hana muda mchafu, unatamani ulifungukie ulisaidie, lakini wapi Shida inakuja, atanichukuliaje? Labda nataka nimgawie ujauzito? Atahisi mi mgonjwa? Au mi kahaba? Wanaume...
  13. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Mwinyi alileta upinzani uliofutwa, Samia anaenda kuileta katiba mpya, Kwa hili inabidi niweke hisia zangu pembeni kwa wazanzibari

    Yes, mimi kiukweli ni mmoja wa watu ambae huu muungano sijawahi kuupenda hata kidogo hasa pale ninapoona uongozi wa bara tunachangiana na wazanzibar lakini huko kwao ni wao wenyewe wanajiongoza, huwa inaniuma mno. Ila kuna kitu nimetafakari hapa juu ya mchango wa hawa wenzetu wanaposhika...
  14. I

    JamiiForums Tanzania Mkono kupoteza hisia baada ya ajali ya gari

    Habari za mida hii. Nina mdogo wangu wa kiume umri miaka 24 ni dereva, miezi minne iliyopita alipata ajali ya gari, alipata mikwaruzo mwilini pia akavunjika mkono wa kulia (mfupa mmoja wa chini na mfupa wa juu). Akawekewa POP kwa wiki sita, ila mpaka sasa mkono huo wa kulia hawez...
  15. Surya

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Mwanadamu na hisia za Mwanadamu Duniani ni mfano wa Mungu (Kiungu)

    Soma kwa Makini uhusiano huu..hadi mwisho. ******************* Yohana 1:1-5 [1]Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu. [3]Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika. NENO Maneno yalitumika Kuumba ulimwengu...
  16. Joseverest

    JamiiForums Tanzania HISIA ZA EDO KUMWEMBE: Simba SC itacheza na ''Wasoweto wagumu'' zaidi

    SIMBA wameileta timu nyingine kutoka Afrika Kusini ambayo ilikuwa haijawahi kugusa ardhi ya Tanzania. Mamelodi Sundowns wamewahi kugusa hapa. Manning Rangers wamewahi kugusa hapa. Santos wamewahi kugusa hapa. Zilibaki Kaizer Chiefs na Orlando Pirates tu. Timu mbili kubwa Afrika Kusini. Moja ni...
  17. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Hii ya kuchinja watu kiroho, imekaaje kisheria?

    Leo nilimiss kusikiliza redio baada ya zaidi ya miaka Miwili. Maana Nina vyanzo mbadala vya taarifa. 'Nikagugo' redio ya kusikiliza nikajikuta nasikiliza redio moja ya kiroho Kondoo wa Bwana walikuwa wanatoa ushuhuda jinsi yanavyomkabili adui yao ibirisi. Kilichonishtua Mwanamama mmoja jasiri...
  18. Mr Sir1

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya Rais Samia kufundishwa jinsi ya kudhibiti hisia zake anapoongea/anapohutubia

    Nimeangalia clip kadhaa Mama akiwa aidha anaongea ama anahojiwa, kuna hali anakuwa nayo anapojibu maswali ya kuonyesha kutoweza kudhibiti hisia zake. Kama kiongozi anapaswa kuwa na busara ya kujua 'tone' ya sauti yake tu inaweza leta tafsiri tofauti. Huwa anatoa majibu kama vile ana ugomvi...
  19. Zero IQ

    JamiiForums Tanzania Unawezaje kuishi na mtu ambaye huna hisia naye?

    Hii kitu inanitesa sana, binti wa watu mzuri kabisa, hana makuu, mpole, heshima na ana kila sifa ya kuwa wife material, Tatizo kubwa niko nalo ni kwamba sina hisia naye, sina wivu naye hata kidogo, kuishi naye ni kama nimelazimishwa ni vile tu sina sababu ya kuachana naye, na kuna mengi...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Kuachiwa kwa Mbowe; Nimeamini muda mwingine kuna hisia za kweli na ni ushahidi kuna mawasiliano kati ya nafsi zetu na ulimwengu wa nje

    Habari wadau, Hapa niko mahali fulani nasubiri kukamilisha jambo fulani na kwakuwa jambo husika linachukua muda, nimeamua kujilaza kwenye benchi nikisubiri kuhudumiwa. Wakati nikiwa nimejilaza kwenye benchi(nimetoka shift ya usiku), nikiwaza mambo mbalimbali, likanijia wazo la kesi ya Mbowe na...
Back
Top Bottom