hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Umejifunza nini kuhusu orodha hii!

    1. Mke wa Mwalimu 2. Mke wa Mkapa 3. Wake wa Mwinyi 4. Mke wa Karume Sr 5. Mke wa Lowassa 6. Mke wa JPM 7. Wake wa Sokoine 8. Mke wa A. Jumbe 9. Mke wa I. Wakili
  2. wete

    JamiiForums Tanzania DOKEZO X Wamefunga account yangu msaada tafadhali hii ya A current, dated and signed statement on official company letterhead conforming that you're an autho

    Mnisaidie nitoke kwenye hii kitu wazee nilibadilishaga profile picture ndo yote haya yakatokea nimeshatuma email kibao bila mafanikio Kwa anaeweza kunisaidia tafadhali wakuu
  3. AlphaMale_

    JamiiForums Tanzania Hii ndio mechi yangu ya week

    Newcastle fc vs Man United Namuona Isack akienda kugusa mioyo ya mashabiki wa united duniani My bet Newcastle 3 united 1 FT
  4. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Makamanda wamemuingiza chaka Lissu leo hii wanaomba kesi ipelekwe haraka kwenye hizo hizo mahakama zisizo na haki wanazolalamika miaka nenda!

    Akili ni nywele kusema sio kutenda na uoga ni adui mkubwa...kila mara ukiwaambia makamanda jambo la kimahakama watakwambia mahakama zetu hazifuati sheria maagizo yanatoka juu bora tukinukishe...leo hii badala ya kukinukisha kumchomoa mwenyekiti waliye muingiza chaka kwa kumdanganya tupo pamoja...
  5. Half american

    JamiiForums Tanzania Maafisa usafirishaji hii tabia yenu ya kujifanya hamna chenchi iacheni

    Habari wakuu. Kuna tabia nimeiona kwa hawa maafisa usafirishaji hasa bodaboda na bajaji, ndani ya wiki 2 nimetumia sana usafiri wao ukifika mwisho wa safari ukampa hela inayohitaji kurudi chenchi hasa tsh 500 & 1000 wengi wanasema hawana ila ukiwakazia watafute chenchi utaona kaingia mfukoni na...
  6. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni mnipigie hesabu ya hii nyumba Mimi mgeni kwenye ujenzi

    Sebule 5m+5m Chumba 5m+5m Jiko 2m+2m Choo 2m+2m na kibaraza Cha 2m 2m hapa naomba kujua zinaingia bati ngapi Kwa upauaji wa paa nne na tiles ngapi wakuu Mimi ni mgeni kwenye ujenzi
  7. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Hii Video ya Kijana alofukuzwa JWTZ, imenikumbusha kati ya mwaka 2014-2015 JWTZ iliwafukuza vijana zaidi 30

    Rais Mwinyi Enzi hizo ni Waziri wa Ulinzi,analijua Mkuu wa Majeshi akiwa Mwamnyange ,analijua. Waziri Mkuu Kasimu analijua. Mwaka 2014 Vijana zaidi ya 50 wa JWTZ waliokua wanafanya Mafunzo ya Ukamandoo pale Morogoro, Kwa kunyimwa posho zao waliamua Kutoroka Kambini na kwenda makao makuu ya...
  8. Augustine Aloyce

    JamiiForums Tanzania Hii ni kwaajili ya Wanaume tu

    WANAUME AMBAO HUFANIKIWA KATIKA BIASHARA, KAZI NA MAISHA... Ni wale tu ambao hukubali kuishi tabia hizi 7 1. WANACHUKUA HATUA. Wasiofanikiwa Wengi wana ndoto, hupanga malengo na kuyaongelea lakini hawafanyi chochote. Wanaume Wanaofanikiwa Hawasubiri wakati sahihi, Wanachukua hatua...
  9. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini jamaa wa aina hii kwenye picha huwa ni waluga luga sana mtaani🤣

    Utakasikia: "Masela nina koneksheni ya vidio ikionesha mababu wa Simba wakiwa na mbuzi ndani ya basi sema niliifuta bahati mbaya" "Dah mechi ya Arsenal juzi imenikosesha mkeka wa milioni 20" "Niliwahi kuishi Dodoma, nilikuwga nawaitishia wabunge wale watoto wazuri wa udom" 😁
  10. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Mnaikumbuka hii picha ya huyu mwamba anae wabeza wasomi?

    Maisha hayana formula, Maisha ni mchakato na mafanikio ni pale bahati inapokutana na michakato na mapambano yako kujumlisha na pale utakapokuwa sehemu sahihi ambayo mwanga wa bahati utakapo pita ukumilke wewe. Mimi nafikiri unapoipata bahati ya mafanikio kitakacho fata ni wewe kuwa humble, sio...
  11. Fateema

    JamiiForums Tanzania Airtel Money hii maana yake nini kuidhinisha malipo bila idhini ya mteja. ( Kuna mchezo gani unaendela hapo Airtel Money)

    Nipo nimekaa zangu nashangaa kupokea ujumbe " Ndugu mteja umelipa. Sh 2999 kwenda Google Play. " Kweli Mimi Nina akili zangu timamu nilipe sh elfu 2 na 999 kwenda Google Play? Ili iweje? Toka lini Google Play ikalipiwa? Nimepiga simu kuongea na huduma kwa wateja aliposikia tu shida yangu...
  12. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Kama HII Sauti ni ya Kwake YEYE Mwenyewe,na Aliyepangiwa,kwenye Sauti Hiyo ni Huyu Mhaini,Namshauri DPP,Do The Needful ASAP!Kabla YEYE Hajakinukisha!。

    Wanabodi Hili ni moja ya mabandiko yangu ya kikubwa,hakuna jina la mtu yoyote, naomba tusitaje taje majina!。 Haya sio mambo ya ulimwengu huu wa kimwili,ni mambo ya ulimwengu wa kiroho hivyo naomba kuanza na disclainer Huko siku za nyuma,niliwahi kuisikia sauti fulani kutoka ndani yangu na...
  13. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Wivu kwa vijana wadogo wanaofanikiwa haraka, haya ni majibu ya ‘ChatGPT’ juu ya hilo

    Nadhani wengi mnakumbuka sakata la Niffer… Majibu ya ChatGPT ni haya.. [Why are older people jealous of sucessful young people?] =============== Wivu dhidi ya vijana waliofanikiwa unaweza kutokana na sababu mbalimbali za kisaikolojia na kijamii, ingawa si watu wote wazima wanahisi hivyo. Hapa...
  14. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hii ndio "THE NEW NORMAL" katika jamii zetu kwa sasa.

    🚩Mashoga kujivinjari na kujionesha waziwazi katika masherehe na shughuli za kutuzana, zamani mtu aliekuwa ushoga aliishi kwa usiri mkubwa sana yani unasikia juju kwa juu tu kuwa fulani ni shoga. 🚩Aina ya mwanamke alie katika utupu au historia ya skendo chafu ndio inakuwa televised na glorified...
  15. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Hili la kuwaajiri graduate wa miaKa hii na kuwaacha wa miaKa ya nyuma sana limekaaje?

    Nimekuwa nikifuatiria wahanga mbalimbali wa ajira za serikali, moja ya jambo linalonishangaza ni kuona wahitimu wa vyuo wa miaKa hii yaani 2020 mpaka 2024 wengi wao wakipata ajira za serikali kwa wingi zaidi ukilinganisha na wale waliomaliza vyuo kwa miaka 2014 mpaka 2021 je kigezo...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Nunua Azam hii ufurahie malipo nafuu

    Habari zenu wadau, ninauza Azam Dekoda kutoka Malawi Dekoda hizi ni sawa na zilizopo Tanzania, ila zina baadhi ya vitu hasa gharama zake Comparison:- ✓Dekoda pekee Azam malawi Tsh 60,000 Azam Tv Tsh 55,000 ✓Ofa Azam malawi unapata mwezi 1 bure, package ya kufungua channel zote Azam tz inakuaja...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Hii kauli sijui kama mama Samia anaikumbuka na kuitekeleza

  18. W

    JamiiForums Tanzania Picha hii inakukumbusha tukio gani?

  19. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Nauza raman ya nyumba hii ya vyumba 3 vya kulala 0743 257 669

  20. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kesi dhidi ya Lissu ni kesi dhaifu sana, Jamhuri ondoeni hii kitu kabla hamjapata aibu

    Kesi dhidi ya Lissu imejikita kwenye dhana kuwa ametoa kauli ya 1. Kuhamasisha uasi 2. Kuzuia uchaguzi 3. Kukinukisha. Makosa yote hayo ni abstract, hayana legal stand na ni vigumu kwa Jamhuri kutengeneza kesi ya maana. Sanasana inaenda kumdhalilisha SSH, Polisi, Mwendesha Mashitaka na dola...
Back
Top Bottom