hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Alini block ila now naona kwenye whatsapp yake " Hi there am using WhatsApp " Hii ina maanisha nii wataalamu? Kwamba ame ni unblock? Au?

    Huwaga ana ni block kisha ana ni un block mwenyewe. This time around naingia WhatsApp kuna jina nilikuwa na search herufi ya mwanzo ya jina lake inafanana na ya huyu mtu, so likaja jina lake na tazama naona " Hi there am using WhatsApp". But kwenye profile still bado hakuna picha yake...
  2. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Kwa hii penalty hii mliowanyima Singida endeleen kuwabeba Simba uovu una mda wake nawahakikishia utaisha

    Sisi wana zuoni tunaamini uovu una mda wake unaishaaa Kwa penalty hii isiyo na shaka nasema we refa na waliokutuma mkalaaniwe maisha yenu yote na vizazi vyenu Mda ukifika itasema
  3. K

    JamiiForums Tanzania Sababu ya CHADEMA kuendelea na Tone tone

    Angalia watu wa kawaida wanavyo changia. Hii ndiyo sababu ya hiki chama kuwepo leo hii sio ruzuku ni watu
  4. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Hii ni mfano wa prototype ya kiwanja cha KiA kitakavyokuwa kama nikiwa Rais wa Tanzania

    Hata sisi waafrika mambo mazuri tunaweza yafanya, ifuatayo ni prototype ya uwanja wa KIA utakavyokuwa sio kinyonge tena sio lazima uwe hivyo ila point ni kwamba lazima uwe mzuri Lazima ufahamu hata sisi mambo mazuri tunaweza yafanya #no mediocre# Na KIA ni mfano tu viwanja vyote vitakuwa vizuri
  5. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu halisi kwanini mtu akijitoa kwenye uchawi anauliwa.

    Kutoka Pm: " Mkuu Likud mbona siku hizi uandiki mada kuhusu uchawi? Anyways mtaani kwetu kuna mdada kafariki ghafla, mama ake anasemekana ni mchawi. Tetesi ni kwamba binti aliingizwa Kwenye uchawi then akaukataa. So nauliza kwanini MTU akijitoa Kwenye chama cha uchawi wana muua...
  6. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Video: Jerry Muro aropoka na kusema Rais ni wa ovyo

    Baada ya Gwaji boy kutupa jiwe gizani kupitia mkutano wake na waandishi wa habari , ambapo hoja zake zilienda moja kwa moja katika kuhoji uwajibikaji wa taasisi ya Raisi kufuatia kuongezeka kwa matukio ya utekaji , uteswaji na hata unyanyasaji wa kijinsia wa raia wa Tanzania na hata wale...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dudubaya: Katiba imeruhusu kuwa na wabunge wajinga

    Msaani Dudubaya amesemea kwamba Katiba ya nchi imeruhusu mtu akijua kusoma na kuandika anaruhusia kugombea ubunge kitu ambacho kimezalisha wabunge wasiojuwa sheria na katiba. Ukijua kusoma na kuandika darasa la saba uwe ubunge kwa dunia ya sasa kwa sababu ubunge umekuwa ni biashara, jitu...
  8. kyagata

    JamiiForums Tanzania Mke wa mtu kaniomba tukapumzike Zanzibar weekend hii.

    Habari zenu Kuna mchepuko wangu ni mke wa mtu,sasa kazini kwao weekend hii wanatakiwa kwenda training somewhere huko arusha ila yeye kaniambia hatoenda huko kwenye hiyo training instead kaniambia twende zetu zanzibar tukale raha. Nikubali au nikatae wakuu?
  9. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Je, hii video ndo inamfanya Mbowe Kuogopa na Kubaki ndani akiwa anachungulia Dirishani?

    GT. Laana ya watoto wadogo wa taifa hili zitawatesa wasaliti. 'Waacheni watoto wadogo waje kwangu". Mkisaliti mapambano x3
  10. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Nina umia sana aliye vujisha Siri hii alikosa fursa ya kumwona raisi kwa sababu ya vizingiti, mshahara wake anaitwa mtu hasiyezarendo, aliyeiba je?

    Mh Rais shikamoo! Aliyevujisha Siri alikutafta kukuona zaidi ya mara Tano akanyimwa nafasi na katibu wako IKULU Je kwa Nini tunamhukumu yeye Badala ya aliyeonekana bilionea without sweeting? Kimsingi Mh raisi upo ushahidi wa kiaibu dhidi ya Ile taarifa .
  11. G Sam

    JamiiForums Tanzania Esther Matiko hivi ukiangalia hii video bado una nguvu ya kuongea uliyoongea jana bungeni?

    Askari polisi abakufanyia udhalilishaji hadharani na bado una nguvu ya kuongea uliyoongea jana. Kwa wenzetu hiyo ni kesi kubwa kama mhusika akivalia njuga na anaungwa mkono na mamlaka. Ila wewe sasa. Hii video watakuja kuiona wanao wakiwa watu wazima kisha wataangalia ulizungimza nini!
  12. Bird Watcher

    JamiiForums Tanzania Kero za Muungano Awamu hii ya Sita Hazipo?

    Wakuu ndugu zetu kule upande wa Visiwani naona kwasasa hawaoni Kero za Muungano kabisa, Nimeona wabunge wao majority wanapiga kelele kukemea activists wanaokuja kutoka Nje ila Mambo ya Muungano wameweka Pembeni kabisa Kulikoni tena ndugu zetu?
  13. Mzee Kimamingo

    JamiiForums Tanzania Wadau Hii CV ya Mbunge mnaionaje

    Huyu Mbunge aliyeita watu ni Kenge kumbe katumia miaka 27 kupata Diploma. Ila nadhani hakuna Bunge duniani lina vilaza kama hili.
  14. Tauceti Rigel

    JamiiForums Tanzania Ukiwasikiliza Kina Maulid Kitenge kwenye hii Morning Show ya Wasafi Utaelewa kwanini wananchi wana hulka ya Mazombie

    Kipindi Cha Asubuhi, Mazungumzo ya Maudhi: Tunalelewa na Vyombo vya Habari au Tunadhalilishwa? Je, tumewahi kukaa chini kama taifa na kujiuliza: tunapata nini tunapowasha redio zetu asubuhi? Ni maarifa, ni uelewa, ni mwelekeo wa kujenga taifa au ni mzaha, upuuzi na mazoea ya kihuni...
  15. Poor Brain

    JamiiForums Tanzania UMEONA HII: Maambukizi ya aina mpya ya COVID-Omicron

    Tahadhari: VAA BARAKOA KWA SABABU KIFO KIPO NDANI YA COVID-OMICRON MPYA: ⚠️ Tofauti inayoua 💀 lakini haionekani kirahisi 😱 ni: 🔥 Hakuna kikohozi 🗣️ 🔥 Hakuna homa 🌡️ 👉 Dalili zinazojitokeza mara nyingi ni: 💥 Maumivu ya viungo 💥 Maumivu ya kichwa 💥 Maumivu ya koo 💥 Nimonia 💥 Udhaifu wa mwili 💥...
  16. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Nakuambiaje, hii leo Israel abadirishe dini na awe muislam, hautakuja kuona mabango ya free palestine. So the issue ni itikadi wala sio haki ya ardhi.

    Niambie ni lini mwenyaaazi wa JF waliwahi kuandika nyuzi kama hizi ku-condemn yafuatayo👇🏻👇🏻 Ushawahi kusika free sudan? Ushawahi kusikia free syria? Ushawahi kusikia free yemen?
  17. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mbinu hii itakupa viewers wengi kwenye content yako. Pesa ipo mtandaoni vijana.

    Kwenye safari yangu ya kutumia maudhui ya mtandaoni especially Facebook nimejifunza kitu. Unaweza kuweka content murua kabisa lakini ikawa na views 200 kwa wiki au wiki mbili na ukaweka content ya kawaida kabisa ikapata viewers million 1 kwa siku mbili au moja. Nina account Instagram ila hata...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kiwanda cha TOOKU F kuwatisha wafanyakazi kuwa wakiacha kazi hawatapewa mafao licha ya kumaliza mikataba yao?

    Je, hii ni sahihi ikiwa mfanyakazi yupo kwa mkataba na mkataba wake umefika ukomo na ameandika Barua ya kuacha kazi mwezi mmoja kabla ya ukomo wa mkataba wake, lakini Mwajiri Badae anasema hakuna kuacha kazi na ukiacha Basi stahiki zako za NSSF hutapata. Hii imetokea Kwenye kiwanda kimoja cha...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Karma ni Karma huwa inawatafuna sana wanafiki, refa aliyeinyima Yanga goli halali kule Afrika Kusini Simba wakakenua leo hii ndio analaumiwa

    Mashabiki wengi wa Simba ni awajielewi kabisa,,Leo hii wanapiga mayowe eti refa kawanyonga na wamesahau ni refa uyu uyu alikataa goli halali la yanga kule kwa madiba na wakakenua meno yote 32 nje? Goli lile laiti lingekubaliwa lingeipekeka yanga hatua ya nusu fainali ya klabu bingwa laana ambayo...
  20. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kwenye hii umewatambua wakina nani ?.

Back
Top Bottom