King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).
Hii nchi kama unataka kuchukia watu bila sababu unaweza kufa kabla ya wakati.
Hii nchi kama una akili timamu kabisa jidai huna utaishi kwa amani kabisa.
Jipendekeze kwa sana na kuwalamba miguu watawala,utakula mema ya nchi
Jamani hii maana yake nn ivi kwann mafundi simu wengi sana yaaan wengu huwa ni maotadh wa dini ya kiislamu alilimia 99 ni kwann fundi simu na ushekhe vinamausiano gani asanteni
Hata kama Ruto ataondoka ajae atafanya nn kuboresha maisha yao? Wanabomoa hata kile kilichopatokana kwashida kwa Kodi zao, ndio Martha Karua anataka kutufundisha hivi tuwe kama wao?
https://youtu.be/GF2phAJ9_4o?si=tucl1UWNHZzqXZj7
https://youtu.be/fJ5USRBsM-Y?si=2McBkDNFYy6HF8hx
Wakuu
Haya sasa matokeo ya kidato cha 6 yametoka rasmi. Kama kawaida ufaulu umeongezeka
Matokeo yote yanapatikana kupitia tovuti ya NECTA au unaweza kwenda moja kwa moja kupitia link
Matokeo Ya Kidato Cha 6 Mwaka 2025
Kama unajijua wewe ni mtu wa mishe za magumashi ikiwemo wizi, ujambazi, utapeli na mambo meusi meusi hakikisha hutumii simu aina yeyote sasa hivi mifumo ya usalama wa taarifa imeboreshwa kiasi kwamba hata ukizima simu minara ya 5G iliyofungwa na inayoendelea kusimikwa inasoma frequency ya simu...
Nimeikuta huko YT
Inaelekea ni hotuba ya hivi karibuni jamaa anahutubia wananchi wake mahala flani
Maswali ni mengi
Anadai "we have capacity you don't know"
Nani anafokewa hapa?
https://youtu.be/kVNhySLWZqg?si=7eH09SQ-1rsztQBp
Alichoandika ni mish mash. Lakini I have tried to sort it out.
Hii ndiyo msg yake.
Nitaongea mengi ya kusikitisha.
Lakini kabla sijaongea mtafute yule mtu aliepanda gari na Mr. Magufuli kutoka Mbezi. Kwa sababu walipopanda Ile gari ulikuwepo ugomvi kati yao.
Ugomvi wao ulikuwa yule...
Sikuona ukaribu Sana wa Mwinyi na Nyerere
Sikuona ukaribu Sana wa Mkapa na Mwinyi kiasi hiki
Sikuona ukaribu wa Kikwete na Mkapa kiasi hiki
Sikuona ukaribu wa Magufuli na Kikwete kiasi hiki
Sasa ni Hawa ni Kama mke na mme wanafuatana tu Kama siafu Nini ajenda nyuma ya pazia ?
Sasahivi kila...
Hili swala mke wangu lazima atambue...
Siku nikiwa naumwa sana hadi hali yangu ya kula Chakula ikabadilika kabisa nikawa nakula kidogo, maumivu kama yote, sijui natapika sina hamu ya kula...
Nakuomba mke kipenzi siku hiyo usiache kunipa Mbususu, fanya kila namna nikila kidogo kuniongezea hamu...
Za kwenu wakuu?
Jana usiku tulizozana na wife,nikaudhika nikazira kula msosi,nikajua labda angekuja chumbani kunibembeleza kula.matokeo yake naona mtu kaja chumbani kaingia bafuni kaoga kapanda kitandani kulala.hapa nilipo nina hisi ubao sio wa nchi hii wakuu.
Is there any idea...
Ombi: Hii mada inafaa kujadiliwa na makundi matatu yafuatayo:-
i. Wanaume wenye umri kuanzia miaka 50 au zaidi;
ii. Akinamama wenye wenza (mume au mchepuko) wenye umri wa miaka 50 au zaidi; na
iii. Wenye wazazi ambao wanasumbuliwa na Matatizo ya Tezi Dume.
Utangulizi:
Nilihamasika kuanzisha...
dume
hii
kati
kiume
kuendelea
kuongezeka
kwa wanaume
mada
miaka
miaka 50
nguvu
nguvu za kiume
tezi dume
uhusiano
ukosefu
umri
wanaume
wenye
wenye umri
za kiume
zaidi ya
Wasalaam,kuota ni kawaida kibinadamu.Ila natamani nijue maana hii ndoto.
Nimeota nimeshika Hot Pot ina Pilau nzuri sana.Nikawa napita njiani watoto wadogo wananifuata wanataka niwape.
Nikawa nawapa kidogo ila bado wanataka na wananifuata.
Wadau nini maana yake
Nawafanyia watu (natuma) maombi ya vyeti vya kuzaliwa online. Nikiwapa fomu wakienda ofisi za RITA wanapewa cheti lakini huku kwenye mfumo hakuna mabadiliko yoyote yanayoonekana
Ni kwa nini?
https://video.a7.org/media/a7radio/misc/video/25/jul/video5996852085654558388.mp4
Am sure Iran kipigwa sana hadi kulia lia eti walipwe fidia.
Ndio Maana Israel walikuwa wanatoa kabisa kwa Raia wasikae karibu na maeneo ya Utawala wa Ayatollah
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.