hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. Maya Angelou

    JamiiForums Tanzania Natafuta mganga wa kienyeji konki

    Poleni na majukumu ya kila siku, nimekuja na ID yangu hii sina haja ya kujificha. Moja kwa moja kwenye mada, nahitaji msaada kama kuna mtu anamjua mganga wa uhakika anifanyie kazi yangu, kuna waganga huwa nasikia wanatoa watu mabusha, wanatuma majini au kumpa mtu ugonjwa nahitaji mganga wa...
  2. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Leo nimekumbuka hii stori nikasikitika sana

    Nilikuwa kanisani mwaka jana. Ikatokea wagonjwa waliokuwa wanahitaji kiti cha magurudumu cha KKKT. Nyumbani nilikuwa na viti viwili vya magurudumu vya baba na bibi. Niliamka asubuhi nikakabidhi. Waliweza kuzitumia kwa wagonjwa. Baada ya semina na mkutano kumalizika, nilihudhuria ibada na...
  3. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Mitandao huwa haisahau, Diamond mwaka 2013 ulikuwa unalalamikia yaleyale ambayo raia wengi wanayalalamikia leo hii

    Masikini akipata matako hulia mbwata!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hii ni sawa na Barcelona vs Toto Africa ya Mwanza

    Uchaguzi wa mwaka huu ni sawa na mechi kati ya Barcelona vs Toto Africa ya Mwanza
  5. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta mdada ambaye jimbo lipo wazi mwenye lifestyle kama hii yangu

    Habari wakuu, About Umri wangu 25, location dar maeneo ya airport, nipo single sina mtoto, mrefu kiasi, mwembamba kiasi, sio mweupe au mweusi, na najitambua. mimi nime jiajiri kwenye masuala ya programming developer. Sio mlevii na situmii vitu kama bangi, mimi ni mkristo lakini sina kanisa...
  6. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Honda wamezindua 6th Gen Honda Prelude: Hii Coupé imerudi baada ya Civic na Accord coupés kusitishwa!

    Honda Prelude ni sport car iliyotengenezwa kutokea 1978 na kusitishwa mwaka 2001, na sasa inarudi officially. Inakuja na 2.0 L engine, ikiwa imeunganishwa na dual-motor hybrid system, ambavyo kwa pamoja vitakupa 200 hp na efficiency ya 20 km/L average. Wanatumia CVT transmission ikiwa na...
  7. Surya

    JamiiForums Tanzania Ndoto hii itakuwa na ujumbe gani ? kwetu

    Njozi niliyopata ilikuwa hivi.. Nilikuwepo kwenye mkutano wa ccm, (Kambarage stadium) nipo juu kwa nyuma kwenye seat za ngazi ya juu, gafla Askofu Josephat Gwajima akiwa kwenye uniform za kijani katikati ya mkutano akaanza kuongea na kumpinga Mheshimiwa Samia Suluhu, ikatolewa amri...
  8. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Hivi ilikuaje mwl Nyerere hakumpa heshima hii Mugabe?

    Habari wanaJF wenzang Mwl Julius K. Nyerere aliwapenda na kuwaheshimu wapigania Uhuru wote wa Bara letu la Africa. Katika kuonesha heshima na upendo huo kwao, mwl Nyerere aliamua baadhi ya barabara na mitaa ya nchi yetu kuipa majina ya wapigania Uhuru hao wa nchi zetu za Africa. Hapo chini ni...
  9. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hii ndio ilikuwa original bongoflava, vijana waliumiza kichwa sana but all for nothing

    Maudhui yalikuwa bongo flava ila kila mmoja alikuja na style yake kupelekea wawe authentic na kitu walichotoa na sisi wapokeaji tulipata vitu quality ambavyo hadi hatutakaa kusahau. WIMBO UNAUKUMBUKA SANA? https://youtu.be/i-qPIcfoOwA?si=-mI_dTpLqlR3WXvA...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kumuamini Mungu lakini, sijaambulia chochote kwenye imani hii

    Habari zenu Ndugu zangu. Niliamua sasa nianze kumwomba Mungu ili nione kama maisha yangu yatapata ahueni lakini wapi. NB: Kazi nafanya na wala sitegemei miujiza , ila nilichofanikiwa ni kushika makalio ya hawa dada zetu na kupiga show, ambayo ni kawaida ya kila kiumbe hai wala si kitu cha...
  11. M

    JamiiForums Tanzania I wonder if you actually think they will hesitate to do it ? Tundu Lissu atanyongwa !

    Kwa hali ya sasa, wengi wanadhani Lissu kafungwa tu kama mbinu ya kawaida ya kumzuia(delay tactics), lakini mambo yatakuwa tofauti na tulivyozoea. tumezoea upinzani wakikamatwa huwa kuna nafasi ya msamaha, maridhiano, mazungumzo, Lakini hizo zama zimefikia ukingoni !! Tunaingia stage mpya...
  12. McLaren

    JamiiForums Tanzania Huyu MwanaCCM kama hampendi Samia angesema tu. Ni Nini hiki amechora?

    Wakuu, Huyu angekuwa hataki kuchora picha angeacha hata Haiwezekani amchore hivi Rais wetu ambaye ameleta maendeleo kwenye nchi hii kwa kiwango cha kushangaza Sijapenda na nimeumia sana. Huyu hajui kama Rais wetu kajenga SGR, kamaliza bwawa la Nyerere, katiangaza Tanzania kupitia Royal Tour...
  13. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu amesema ikisimama asubuhi haisimami tena mpaka kesho asubuhi je hii ni kawaida au mwanaume ni shoga?

    Haya Marijali naomba mje mjibu swali Du, kwa siku mara moja, alooo!
  14. J

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia, hii ahadi ya kuondoa tatizo la umeme mpaka lini?

    Moja kati ya mambo yanayokera katika nchi hii ni changamoto ya kukatika kwa umeme. Nakumbuka nikiwa kule kusini mwaka jana, nikiwa kwenye hotel Moja, umeme ukikatika ghafla. Pembe yangu kulikuwa na wazungu wanne wakipata vinywaji. Mara umeme ulipokatika walisikika wakisema, " welcome to...
  15. Sambinyakwe kitololo

    JamiiForums Tanzania Kuna aliewahi fanya rebuild engine hii?

    Msaada Kuna mwana jf yoyote aliewahi fanya engine rebuild ya 2.7L tdv6 ilioko kwa baadhi ya discovery na range sport za nyuma kidogo around 2004 - 2007 Kuna matatizo kama crankshaft failure Gharama zake zikoje kwa hapa bongo kufix versus kununua engine nyingine na air suspension ku fail...
  16. Digital base

    JamiiForums Tanzania Tengeneza kipato cha Tsh. 500,000 mpaka Tsh. 1,500,000 kwakujiajiri katika biashara hii

    Hello habari ya leo wakuu, hongera kwa mapambano ya kutafuta ajira pasipo Kuchoka licha ya kukosa nafasi Leo nimekuja na wazo la biashara ambalo binafsi nimelifanyia kazi kwa zaidi ya miaka 3 mfululizo na kwa mafanikio makubwa Kama utaamua kuchukua hatua na kulifanyia kazi basi utajikomboa...
  17. Diwani

    JamiiForums Tanzania Makada wa CCM. Chama chenu hakitawali hii nchi. AMKENI!!

    Ukiwa huku mtaani Vijana wa CCM wanadhani Chama chao ndicho "Chama Tawala". Chama kama taasisi haiishii tu kwa watu, bali Ilani, sheria, kanuni, taratibu na miongozo ya chama, kisha Wanachama na wafuasi. Katika hali ya kawaida tu; taifa lenye mfumo wa vyama vingi kama Tanzania suala la uhuru...
  18. Godoro la kioo

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje demu kuja geto na rafiki yake

    Salamu wakuu. Hii kitu nashindwa kuelewa Anampanga demu mida flani njoo geto demu anaitikia Mwisho wa siku unashangaa amekuja na marafiki zake na hao marafiki zake na wao wanakuja na marafiki zao Basi wakifika utadhani wamekuja kuandamana maana sio kwa msululu huo Sasa mi nashindwa kuelewa...
  19. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Huu nao ni URAIBU mbaya sana Kuna watu wakiona hii kitu karoho kanadundadunda...

    Huu nao ni URAIBU mbaya sana Kuna watu wakiona hii kitu karoho kanadundadunda... Kama unajipenda anza zoezi la kuacha.. SODA ZOTE NA ENERGY DRINKS HUSABABISHA 1. Shambulio la moyo 2 uraibu 3.kichwa kuuma mara kwa mara. 4.Kisukari type 2 5. Uharibifu wa figo. 6.kipandauso (Migraine) 7...
  20. Inside10

    JamiiForums Tanzania Enyi Wadada Kabla Hujaingia Kwenye Mahusiano Na Mwanamme Mwenye Miaka 34-40 Sikiliza Hii

    https://www.instagram.com/reel/DNXjr6kMXuQ/?igsh=ZTR6Nm1qeG00dXE0
Back
Top Bottom