KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 36,547
- 89,095
Unataka watu wasigome ikiwa bado mnafanya siasa zakishamba!, mahitaji ya watu yapo serious we ndo kwanza unaleta wabunge wakununua gari la harusi!..
Hivi Tanzania yasasa ndo kusema wafikiriaji mmeshindwa kabisa kabisa..?
Kama hivi ndivyo mnavyoendesha basi hili lazima liwalalie tu!, mnashindwa hata kuelewa kuwa sasahivi kunahitajika mabadiliko sio tena midomo midomo!.
Na kama pia hamtaki lawama acheni wanaoweza kulaumiwa nakufanya kazi ipasavyo maana imeshawazidi haya mambo hayataki nguvu ni akili tu.