King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).
Wadau nauza hii cherehani sina matumizi nayo kwa sasa, nauza pamoja na kila kitu cheke. Bei 400k
Brand name : JANOME.
Mawasiliano : 0763708877 (Whatsap)
Maginjwa ya ebola, na marbug yamekuwa yakiitesa sana East afrika hasa DRC, kwa mbali Rwanda, Burundi na Uganda ila kituko tunasubiria huruma za nchi za magharibi watutengenezee dawa to be honest hiki ni kituko
Yaani tatizo lipo nyumbani kwako unamsubiria mtu wa mbali ambaye hata haishi hapo...
Hawa tunapaswa kuwatandika si chini ya bao 3. Ni team ambayo ipo nafasi ya chini kwenye ligi yao. Ni kipimo kizuri cha kutupatia ushindi na kutuchangamsha.
pikipiki yangu inatoa moshi, kila nikitepeleka kwa fundi anabadili piston kits, na bla blaa kibao kwamba imepona. after few period inajirudia tatizo lile linajirudia!
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi amesema ni haki ya kikatiba kwa raia kusikiliza kesi, hivyo wasibuguziwe wale wanaofika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masijala Ndogo ya Dar es Salaam kwa ajili ya kusikiliza kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA...
Nimeshangaa sana huyu mwanaCCM kuongea namna hii.
Kwamba wasiompigia kura Rais Samia wasipande SGR au kutumia barabara zilizojengwa kwa kodi za Watanzania.
Hajui kuwa kila mtanzania awe CCM au sio CCM analipa kodi?
Soma >> GE2025 - Kasesela: Kama unataka kumnyima kura Rais Samia, usiende...
1: Devil's advocate
Kijana mwanasheria machachali kutoka mji mdogo ana kuwa recruited kwenda kwenye law firm ya kitajiri na anapewa kila kitu ambacho hata aliowakuta hawakuwahi kupewa, lakini anakuja kugundua aliajiriwa na shetani kutetea wafanya makosa ya hatari, kinachofata ni sokomoko.
2...
Kwema hapo wakuu, nimekaa nje ya JF toka waifungei Sasa natafakari tangazo la kuifungia JF Kuna statement moja inasema hatutapatikana ndani ya Tz kwa muda wa siku tisini.
Wazo likaja kumbe nikiwa Malawi naweza ipata JF, kwa Sasa nipo Malawi waku na wasalimu.
Serikali isikie kilio cha abiria wanaotumia Reli ya TAZARA, wanapitia changamoto zisizoelezeka kutokana na ubovu wa mabehewa, tuliahidiwa mabehewa mapya lakini hadi sasa kimya na muda unazidi kusonga mbele.
Pia, tuliambiwa Wachina wanakuja lakini tangu Mwaka 2025 hadi leo kimya, treni ya abiria...
Wakuu naomba mwenye utaalamu na hii smartphone gimbal ya hohem isteady m6 jinsi ya kuitumia yenyewe pamoja na app yake anisaidie maana imekuwa inanipa shida sana namna ya kuset na kubalance simu yangu
Wapenda haki na mabadiliko wote walioko ndani ya serikali wnapaswa kuhiriki ktk vita dhidi ukandamizaji wa demokrasia na uonevu unaofanywa na serikali hii kwa njia hii.
1: THE GOOD SHEPHERD
Mwamba anachukuliwq kutoka chuo ili kuwa sehemu ya CIA, anaanzia kazi nyumbani kugundua maspy wa kinazi marekani hadi kupelekwa ujerumani kupambana na maspy wa kirusi. Jamaa ni mtiifu kwa CIA hadi ilifikiwa wakati alimuua mchumba wa mtoto wake baada ya kugundua ni spy...
Kuna binti mmoja kazini kwangu ni rafiki yngu wa kawaida Ambaye tunashirikiana vitu baadhi
Sasa sababu ya kuja hapa jamvini ni kuhusu tabia ya huyu binti.
Mimi nimeoa yeye hajaolewa na hapa kazini kuna vijana kama watatu wameshamtongoza wajenge familia lakni yeye hatak na mbaya zaid aanakuja...
Tatizo la kutokuhuzuria vikao ndo Haya sasa,
Wanaume na nyie baadhi yenu Kuna kaushamba flani mnako Tena kanaboa saana ndo maana hata mnavyo tongoza wadada wanawakataa ......mfano mtu.....
👇
anakuja inbox 📥 anakwambia dada mambo ...wajibu poa....anakuliza unakaa wapi....wamjibu pengine...
Poleni na majukumu ya kila siku, nimekuja na ID yangu hii sina haja ya kujificha.
Moja kwa moja kwenye mada, nahitaji msaada kama kuna mtu anamjua mganga wa uhakika anifanyie kazi yangu, kuna waganga huwa nasikia wanatoa watu mabusha, wanatuma majini au kumpa mtu ugonjwa nahitaji mganga wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.